Ndege ya Emirates imegoma kutoa matairi ya nyuma

Ndege ya Emirates imegoma kutoa matairi ya nyuma

Hata mimi naungana na mdau aliesema uwezekano wa ndege kushindwa kutua ni sababu ya tairi ni mdogo..ila inawezekana(ingawa bado tusubiri taarifa kamili)..nasema hivi kwa sababu ki kawaida ndege hutoa tairi zake ikiwa bado ipo umbali mrefu wa kutosha (6-10miles kutoka airport ndege ikiwa umbali wa futi 1500 juu ya ardhi)..mpaka matairi yanatoka yote hutumia mda mfupi tu kiasi cha pilot kujua kama yametoka au kunatatizo..na endapo kukitokea tatizo basi pilot hutoa taarifa kwa contoller na maamuzi mengine kufanyika ambapo la kwanza ni ku abort landing na ndege kuzunguka huku pilot wakijaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo..

sasa basi ku abort landing kwa sababu ya tairi ki kawaida ndege haiwezi ikawa imeshuka chini kabisa mpaka kukaribia airport/runway afu ndo ipae tena..!! ku abort huku mara nyingi hutokea ikiwa kuna kitu cha dharula kwenye runway haswa kama ndege ingine ama ndo imetua na imechelewa kutoka runway maana ki kawaida ndege zinapokuwa zinatua controller ndie anaepangilia umbali kati ya ndege moja na ingine na anaweza kuruhusu ndege zaidi ya moja zikawa kwenye foleni moja ya kutua kwa kufuatana isipokuwa itambidi kuizuia ndege isitue hata kama ilibaki kidogo sana kugusa runway pale anaoona inabidi ifanyike hivyo sababu ya safety!

All in all haya na maoni yangu tu..kama nlivyosema taarifa zaidi ndo zitasema ukweli ..
 
Yawezekana kaona zile za mbele zipo nje na za nyuma hazionekani na kwakuwa zote hutoka kwa pamoja ndipo aka conclude kuwa zimegoma, anyway nadhani tusubiri kujuzwa zaidi lakini tuwaombee wenzetu watue salama ndilo jambo la muhimu

Nikweli ,a mbele yalikua yametoka yanyuma yalikua hayajatoka
 
Ndege hata matairi yake ikiwa mbali na uwanja acha uzushi
 
Mimi nimeshuhudia mara kibao ndege ikiingia mjini/karibu na uwanja na bado haijafungua matairi. Ikikaribia ndio hufungua then kushuka/kutua. So kama mleta uzi alivyotoa taarifa, it happens.

Na wewe unazidi kutuchanganya,ikiingia mjini/karibu ya uwanja na bado haijafungua matairi?
Huu utani sasa.
Mjue mleta mada anaongelea Ndege zenye ukuwa wa Emirates.
 
Na wewe unazidi kutuchanganya,ikiingia mjini/karibu ya uwanja na bado haijafungua matairi?
Huu utani sasa.
Mjue mleta mada anaongelea Ndege zenye ukuwa wa Emirates.

Zanzibar Spices,mimi ni mpenzi sana wa point zako lakini hiki kitu ni possible ,tatizo kama ili linawezatokea ata hapo juu kuna link nimeweka yawezakuwa technical issue,nimefanya na Emirates kama Cabincrew kwa miaka 6,tatizo la tairi lawezatokea.Inaitaji maelezo marefu sana lakini to cut it short yawezekana.
 
Naona kama mabishano yamekuwa mengi, cha msingi hapa mimi nafikiri zingepatikana taarifa kama ndege imetua au haijatua bado, inaendelea kuzunguka haewani?
 
Majanga!!!
Mkuu una uhakika lakini ya kuwa hiyo ndege kushindwa kutua kulitokana na kushindwa kutoa matairi? Sikupingi, ila pengine tusubiri maelezo ya kitu gani kimepelekea ndege hiyo ku 'abort landing'... Tuombe salama mkuu, kama sikosei ni Boeing 777 ndiyo inayotumiwa na Emirates na kwa kweli huwa inabeba abiria wengi na mizigo!

naamini mpaka muda huu watakuwa wametua salama japokuwa sina taarifa zaidi.yap emirates wanatumia 777-300ER.mara nyingi huwa inatokea miss calculation ya captain,pengine ameshukia katikati ya run-way sasa akaona anaweza ku skid kama ataendelea na landing,so ana abort ili arudie upya,or some times kuna change ov winds,na hasa winds zinazopiga kutokea ubavuni wakati wa land.any way so many a reason.
 
Zanzibar Spices,mimi ni mpenzi sana wa point zako lakini hiki kitu ni possible ,tatizo kama ili linawezatokea ata hapo juu kuna link nimeweka yawezakuwa technical issue,nimefanya na Emirates kama Cabincrew kwa miaka 6,tatizo la tairi lawezatokea.Inaitaji maelezo marefu sana lakini to cut it short yawezekana.
Mkuu Lucky nakubali maelezo yako,unajua tatizo ni fact za muhusika.Yeye anasema ameona,which is ok.
Tatizo la Tairi kugoma linatokea sana tu na kwenye ndege nyingi.
Lakini umbali muhusika aliokuwepo kwa jiji la Dar lilivyo,maana hofu yangu ni kwamba yeye hajasema kama kapewa habari kisha kairusha.Ila anasema ameona.
Maana kwa Ndege zile zao kama ni AIRBUS zinakasi ya ajabu,maana ni za GAS,sasa umbali kutoka landing point na ilipo lazim uwe mkubwa sana kabla ya kutoa Landing Gears.
Na mara nyingi utakuta taarifa Staffs wanaipata kutoka kwa Control Tower kwenye kitengo cha Dharura kama ndege husika imegoma kutoa tairi.
Sasa ili mtu kujua hilo tatizo lazima uwe umepata taarifa.Lakini sio kwamba ndege tayari ipo kwenye kushuka then zikagoma kisha ikaenda tena juu,hapa hapana sikubaliani napo hasa kwa ndege kama hizi zenye kasi ya namna hiyo lazima zipige chini.Tutofautishe katio ya Ndege za abiri na Kunguru ambae anaweza kuchange motion haraka akiiba chupi ya mtu.
 
Ndege huwa hutoa matairi yake ikiwa mbali sana kabla ya kutua, tena kabla hata haijashuka kwenye landing zones, siamini kuwa ilitaka kutua then ikarudi juu ghafla kwa sababu ya matairi kugoma...,

Mkuu ni kweli usemavyo, lkn inaweza kana rubani kaona kitu km vile mbweha maana nasikia huwa wanakatiza sana pale Jnia kwenye runway ndo maana ameabort landing

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nimeishuhudia ndege hiyo ikiwa imejiandaa kutua hivi punde ktk uwanja Mwl nyerere imebidi rubani airudishe tena hewani

Ameyaonaje akiwa angani?au wewe umeyaona ukampigia simu!
 
Hembu tuangalie hapa,iende chini halafu irudi juu,kweli?
images.jpeg

Halafu angalie anga ambalo aliloanza kutoa tiiri kwa ukubwa wa ndege yenye(AIRBUSES)
ee.jpeg

Ifahamamike kwamba endapo kama inatokea Zanzibar basi ni muda wa chini ya 18 minutes tu.
Sasa ndio najiuliza kasi hii na kutoa tairi kwa kubahatisha anakosema mkuu ndio tatizo.
The issue ni kwamba kadakia habari na hajaona wewe.Unajua ukiwa mkweli kwamba nimepata habari kutoa Airport sio kwamba utamchongea rafiki yao alikupa habari.
We angalie hata wengine walivyopost kwamba kuna kitu nimepata taarifa kadha wa kadha then watu tunajua kwamba jamaa wengine watatujuza.
Sasa yeye anasema ameshuhudia,duhh hapo ndio tatizo
labda angekuwa huyu
k.jpegki.jpeg
 
Zanzibar Spices,mimi ni mpenzi sana wa point zako lakini hiki kitu ni possible ,tatizo kama ili linawezatokea ata hapo juu kuna link nimeweka yawezakuwa technical issue,nimefanya na Emirates kama Cabincrew kwa miaka 6,tatizo la tairi lawezatokea.Inaitaji maelezo marefu sana lakini to cut it short yawezekana.

Ila mngekuwa mnatuelekeza tusiojua ni umbali gani ndege inatoa matairi kabla ya kutua, na je rubani anakuwa anajua kama ndege imefanikiwa kutoa matairi? na kama anajua iweje ailetee mpaka karibu na uwanja kabisa alafu ndio anaipaisha tena juu ina maana hakujua kama matairi ya ndege hayajatoka mpaka akaambiwa (vinginevyo mleta uzi angesema ilikuwa juu umbali gani kwa makadirio) kwa tafsiri ya haraka kabla ya kufika maeneo kama ya kipawa au vingunguti ndege inakuwa tayari imeshatoa matairi siku nyingi hasa kwa ndege kubwa kama hizo. (wengi tunajenga picha kama hiyo sasa kitu kilikuwa usawa huo kama wa Kipawa hivi alafu ikarudi alafu cha kuzingatia hapo tayari hata na speed imeshapunguza sasa sijui itarudi vipi angani tena)
 
Mkuu ni kweli usemavyo, lkn inaweza kana rubani kaona kitu km vile mbweha maana nasikia huwa wanakatiza sana pale Jnia kwenye runway ndo maana ameabort landing

Sent from my iPad using JamiiForums

Kwa point yako inawezekana tena amechukua hatua akiwa mbali na kuipitisha karibu na uwanja lakini kwa umbali mrefu kidogo kutoka usawa wa ardhi maana wengi tunajaribu kujenga picha yaani kitu ndio kilikuwa kinaelekea eneo la tukio alafu ghafla akairudisha angani
 
Hembu tuangalie hapa,iende chini halafu irudi juu,kweli?
View attachment 183264

Halafu angalie anga ambalo aliloanza kutoa tiiri kwa ukubwa wa ndege yenye(AIRBUSES)
View attachment 183265

Ifahamamike kwamba endapo kama inatokea Zanzibar basi ni muda wa chini ya 18 minutes tu.
Sasa ndio najiuliza kasi hii na kutoa tairi kwa kubahatisha anakosema mkuu ndio tatizo.
The issue ni kwamba kadakia habari na hajaona wewe.Unajua ukiwa mkweli kwamba nimepata habari kutoa Airport sio kwamba utamchongea rafiki yao alikupa habari.
We angalie hata wengine walivyopost kwamba kuna kitu nimepata taarifa kadha wa kadha then watu tunajua kwamba jamaa wengine watatujuza.
Sasa yeye anasema ameshuhudia,duhh hapo ndio tatizo
labda angekuwa huyu
View attachment 183273View attachment 183274

Au atakuwa ameiona inaruka tena in opposite direction maana mara nyingi huwa inaruka kutokea usawa Gongolamboto kuelekea town na kutua inakuwa opposite hivyo kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa imeruka upande mwingine akaona kitu kimeibukia gongo la mboto huku matairi ya nyuma yameshaingia ndani kabla ya mbele nalo zamu yake kufika, Emirate si huwa inaruka mida ya alasiriji kweli kama sikosei
 
jamani mbonamehamishia mada kwnye ujuaji na mabishano .

Hiyo ndege so ilikua natua Mw Nyerere ,na aloyeweka post si yuko Hapo .
Nadhani atuambie imeshafanikiwa kutua ,haijarudi baada ya kua abort,au imerudi ilipotoka . ?
 
Hivi hamna watu waliokuwa zamu control room wakaeleza nini kimetokea ili mada ihitimishwe maana sehemu kubwa ya mjadala ni assumptions ambazo zinaweza zisitupe jawabu halisi la kitu gani kimetokea na kwanini, kuna maada nyingi humu nimeona haziendi zinatusubiri tutoke huku.
 
Safii, nlitaka kumwambia hiki hiki. Hatukatai kuwa ndege imerudi hewani lakini kwa yeye kujua tatizo ni kushindwa kutoa matairi ni ngumu sana.

Kaka nimeiona kwa macho yangu sina sababu kudanganya nilikua mitaa ya tabata nikaona ndege tayari ipo nose down then tairi zambele tu ndozilikua zimetoka baada ya hapo nikaona moshi mwingi kwenye engine halafu nikaona chombo kina ninaanza kurudi juu na tairi la mbele likarudi ndani tena .kama atakua amerudisha kwa sababu nyengine sifahamu but hicho ndicho nilicho kiona
 
Bwana Zanzibar Spice aksante kwa maelezo mazuri,Ndege inaanza kutoa matairi kwa distance kama ulivyosema lakini kunawezakuwa na failure ambayo wewe uliye nje na abiria waliondani wasielewe tatizo,ila pilot na crew wakaelewa tatizo.Sasa basi tairi zinawezakuwa zimetoka lakini zikawazimetoka vibaya [rejea attachment hapo chini]kwa rubani anawezakuamua kurudi tena juu kama akigundua tatizo,pili tairi zawezatoka vizuri lakini akagundua hazina pressure ya kutosha rubani atarudi juu kufanya utaratibu mwingine.Hili tatizo la tairi kutoka vibaya kama unavyoona hapo chini ni very common.
SCARING PLANE CRASH LANDING WITHOUT FRONT TIRES UNSEEN VIDEO - YouTube
 
Hivi hamna watu waliokuwa zamu control room wakaeleza nini kimetokea ili mada ihitimishwe maana sehemu kubwa ya mjadala ni assumptions ambazo zinaweza zisitupe jawabu halisi la kitu gani kimetokea na kwanini, kuna maada nyingi humu nimeona haziendi zinatusubiri tutoke huku.

Mm si ndio nashangaa ,yaani watu ni wajuaji ,maada imeshahamaa kabisaaa ..

Huyo aliyepost sikasema yupo hapo hapo atupe ni nn kinaendelea . ,acheni ujuaji
 
Back
Top Bottom