Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

Mungu ni mkubwa! Mimi ni muoga sana wa kupanda ndege... Mara kwa mara huwa naangalia kipindi cha "second from disaster" cha National geographic channel. Acheni tu abiria wa ATC waliokuwepo katika ndege iliyopata ajali watafikiri mara 2 kupanda ndege tena...
 
Mkuu nakwambia we acha tu, namuomba mwenyezi mungu anisaidie make bado miezi kama 3 hivi niingie kwenye ndege na ni safari ya masaa 16 mpaka niipate Dar.

Nikuomba Mungu tu pale ni kwamba Mungu tu kasaidia viumbe wake wapone. kwa sababu kama injini ingeendelea kuburuza chini ndege ingelipuka moto na hapo hakuna kupona.
 
Ni kweli ATCL imepata ajali na mimi nilikuwa nisafiri na Precission nimeelekezwa nirudi mjini kutulia mpaka hapo baadaye tutakapojulishwa.Ndege ya hiyo iko imepiga magoti yaonekana undercarriage zimetumbukia/collapse au tairi zimezama! Tumeaambiwa sisi wa Precision mambo yanaweza kuwa mazuri leo leo tuondoke. Wana JF niombeeni, maana sina imani na hizi ndege zetu bongo!!

Imani yako iweke kwa Mungu na siyo ndege kwani hata za huko ulaya kama yametimia zinawazika watu tena baharini. Mfano Air France, Ethiopia n.k.
 
Ni kweli ATCL imepata ajali na mimi nilikuwa nisafiri na Precission nimeelekezwa nirudi mjini kutulia mpaka hapo baadaye tutakapojulishwa.Ndege ya hiyo iko imepiga magoti yaonekana undercarriage zimetumbukia/collapse au tairi zimezama! Tumeaambiwa sisi wa Precision mambo yanaweza kuwa mazuri leo leo tuondoke. Wana JF niombeeni, maana sina imani na hizi ndege zetu bongo!!

Damu ya Yesu iwafunike Mama Mdogo na Roho Mtakatifu awe ndiye rubani wenu huku Damu ya Yesu ikijitanda njia yote hadi mfike kujiunga na familia zenu.
 
DSC00850.JPG
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • DSC00849.JPG
    DSC00849.JPG
    293 KB · Views: 153
  • DSC00850.JPG
    DSC00850.JPG
    111.8 KB · Views: 149
  • DSC00851.JPG
    DSC00851.JPG
    258.5 KB · Views: 150
  • DSC00853.JPG
    DSC00853.JPG
    190.7 KB · Views: 151
Tumshukuru Mungu kwa kuponesha maisha ya jamaa zetu kwani nchi hii tuna matatizo mengi na yametuzidi kimo; juu ya yote hata inawezekana hiyo ndege hata bima haina!!!
 
Mungu linusuru shirika letu la ndege.,mambo haya yakianza napata picha kuwa mazishi rasmi ya shirika hili la umma yamekaribia, maana inagine ndege zenyewe tulizonazo ni mbili-tatu tu halafu zinaanza kupata ajali hivi, hapa hatutachelewa kusikia ooh shirika linashindwa kujiendesha kwakuwa kwa sasa linategemea ndege moja tu, mara ooh sijui wafanyakazi wapunguzwe basi tu mradi tafrani.,sitaki tufikie huko ndio maana namwomba mwenyezi Mungu atunusuru na majanga ya aina hii.
 
Duh! hizi picha zimenikumbusha mbali sana nakumbuka kuna dege moja la samaki lilishuka maeneo hayo hayo hivyo hivyo mguu mmoja kwenye run way mwingine kwenye tope tuliokuwa na ndugu 602(JW) tukaambulia mafuta kwa ajili ya majiko yetu ya mchina wiki nzima watu tuna pump mafuta kutoka kwenye bawa na vifaa kibao zikiwemo nyaya na mataa ....yaani nimeangalia hizo pics zimenikumbusha mbali sana.

Lakini inamaana ilivyotekea ile ajali ya mara ya kwanza awakufix tatizo au ?
 
Kichwa cha habari ni potofu. Ndege ilikuwa inatua maji yakaingia kwenye injini ikazima na ndege (B737-200) ikaserereka nje ya runway na nose gear ikaharibika. Huko sio kuanguka. Hakuna majeruhi.

Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza
PakaJimmy

UMEONA VYEMA KINASEMAJE??
AMA SIJUI KISWAHILI VIZURI JAMANI
K
 
Ni kweli ATCL imepata ajali na mimi nilikuwa nisafiri na Precission nimeelekezwa nirudi mjini kutulia mpaka hapo baadaye tutakapojulishwa.Ndege ya hiyo iko imepiga magoti yaonekana undercarriage zimetumbukia/collapse au tairi zimezama! Tumeaambiwa sisi wa Precision mambo yanaweza kuwa mazuri leo leo tuondoke. Wana JF niombeeni, maana sina imani na hizi ndege zetu bongo!!

Kwanini unakosa uzalendo na ndege zetu? Kwani viongozi wetu si wanapanda ATCL?

Mungu awe nawe katika safari yako.
 
Nafikiri ni muda muwafaka kumshukuru mungu pamoja na madhambi yoote ya management ya ATC bado anawakumbuka waja wake waliojitolea kufa na ATC
Ni jambo jema na hapa Mungu anatuonyesha upendo wake si wa kibaguzi

Tatizo kubwa lililotokea si human error kwanza ashukuriwe huyo aliekuwa akiendsha maana dodosa zetu zinasema ndicho kichwa cha atc kwenye kurusha ndege sasa kama angekuwepo magumashi wakina naniino saahizi tunaongelea lingine kabisa

Tatizo haswa ni technical problem .nimerjaribu kuongea na engineer mmoja anakiri ile ndege ilikuwa na techn prblm,na wakati wa kutua kuna chombo ambacho huwa pressed kutokana na weather ,rubani alipkuwa akishuka akapewa go ahead ,alipokaribia akaona hali ya hewa imebadilika ku press ili tairi zifwatane na hali ya maji maji ngoma ikadinda ndipo akaloose control.....polen sana abiria msikate tamaa hiyo ndio ndege yetu tusiache kupanda ........mskini kama sijakosea hii kampuni ilikuwa na ndege 2 tu sasa iko kimoja kilichobaki si balaa tupu kisije ua jamani kwa kuchoshwa......
Mungu inusuru ATC warehemu Viongozi wake na madhambi zao
 
pale itachukua miezi miwili mpaka mitatu kupata hela ya kurepair,ku repair nossel gear jamani si mchezo,...ni shuguli imewakumba,...
 
Mungu ni mkubwa! Mimi ni muoga sana wa kupanda ndege... Mara kwa mara huwa naangalia kipindi cha "second from disaster" cha National geographic channel. Acheni tu abiria wa ATC waliokuwepo katika ndege iliyopata ajali watafikiri mara 2 kupanda ndege tena...

ukisema hivyo unadanganya umma kaka

Mwombe mungu akupe nafasi uone mkeo akiwa anajifungua
anakutukana matusi yote ni siri ya nurse na dk wakati akipata
uchungu ,,baada ya kujifungua akikuona anakkukumbatia kama amelogwa
nenda wakati akizaaa wa pili matusi ni yale yale mshenzi mkubwa,mbwa wewe
huna maana,...laana wa jf,..na mengineyo akijifungua miezi sita tu anaanza kuomba mttoto wa tatu so hii ni bahati mbaya na ikitokea ni kama uchungu wa mwana ajuaye mzazi songa mbele tafuta mtoto mwingine
 
Afadhali imeharibika kwa njia hiyo kuliko ingetumbukia ziwani au kuangukia kwenye miamba hapo mwanza... bora tunajua moja kwamba No More ATCL kuliko kuwa na Flying Coffin:(

ATCL menejimenti mbovu, Ndege zao mbovu, bado watu mnaenda kujihukumu kifo hivi hivi? hata nipewe tiketi bure siendi ng'oo mie ntapanda Najmunisa,
 
ATCL menejimenti mbovu, Ndege zao mbovu, bado watu mnaenda kujihukumu kifo hivi hivi? hata nipewe tiketi bure siendi ng'oo mie ntapanda Najmunisa,

ukio na watu 70 ujue 30 wana tiket za bure ama bei karibu na bure wataacha kujiua wengine ndio mitaji yao hiyo ...ooohhh
 
Once again, ni bad experience kuwa kwenye lile dege aisee.... sijui waliokua ndani wanajisikiaje
 
Back
Top Bottom