ni poor maintenance, kusema kua ni mvu its pathetic lie, ndege zina fly route ndefu tu na kwenye mvua mbona hazifail engine, kwa mfano route ya kutoka rio de jeneiro to paris, ndege zina fly over atlantic ocean for over 8hrs non stop na ii route most of the time mvua inanyesha, tena very heavy lakini daily ndege zinafly!
watanzania tuache kudanganyana izi ndege zetu apa bongo zina fly kimungumungu tu, watupe record ya maintenance tuione? boeing 737 is a very versatile transporter plane ime earn reputation ya ubora through its number of yrs in service with almost all airliner in the world, uzuri wa boeing matukio kama haya hawayaachi yapite ivivi hua wanatuma team kuja kuinvestigate kufind what went wrong, tuwasubiri waje muone iyo report watayotoa!