Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

03_10_z076qg.jpg

Ndege ya ATCL aina ya Boeing 737 ikiwa imelalia tumbo baada ya tairi lake la mbele kupasuka jana asubuhi wakati ikitua katika uwanja wa ndege wa Mwanza. Hakuna majeruhi katika ajali hiyo.(Na Mpigapicha Wetu).
 
baada ya tairi lake la mbele kupasuka jana asubuhi wakati ikitua katika uwanja

MKUU HII NI NYINGINE NINI MKUU,,NAJUA ILIOTOKEA LEO,..HUKO MWANZA,...
 
03_10_z076qg.jpg

Ndege ya ATCL aina ya Boeing 737 ikiwa imelalia tumbo baada ya tairi lake la mbele kupasuka jana asubuhi wakati ikitua katika uwanja wa ndege wa Mwanza. Hakuna majeruhi katika ajali hiyo.(Na Mpigapicha Wetu).

Kaka vipi tena? uko sydney nini? hii kitu si imetokea leo? Na tairi imepata pancha? teh teh
 
ray B
niko na wewe kwenye swala la madimbwi na hii si mwanza kaka nenda
kia,ark mvua ikinyesha utajua nini Tcaa WANAFANYA PALE IPS
nilicho kukatalia ni swala la maji kuingia kwenye ingine na ndege kugeuka hilo alipo labda nipe muda nikuletee sifa za jet ya B737/200...hakuna mvua inayoweza kuzimisha hiyo engine,...hiyo ndege imeruka kongo/zimbabwe kipindi mvua balaa aikuzimika,..so kwenye uwanja tuko pamoja kabisa,..swala la kutoka kwenye runway ni kawaida,..kwanza napenda kueleza runway ya mwanza ni ndogo sana ukifianya mchezo mnacheza na maji kabla amja take off,..so muhimu si tu kurekebisha na pamoja kuongezwa ukubwa wa uwanja hilo muhimu zaidi,...kesho amna mvua utasikia ndege imeanguka kwa kushindwa kupaa,..hilo nalo ni tatizo.....
TCAA wanaitajika kufwatiliwa sana sasa hivi imekuwa taasisi ya mama ya takukuru,..wana malengo mazuri wakifika hata ndege mbovu ikionyeshwa chapaa wanasaini na mambo yanaenda mbele,...tuna kazi kubwa

mkuu hebu nipe somo hapo kwenye red,runway ya mwanza airport ina urefu gani??
 
Kaka vipi tena? uko sydney nini? hii kitu si imetokea leo? Na tairi imepata pancha? teh teh

na wewe mchokozi ujui nchii hii hii kuna wanaoamini rais kikwete na wengine JULIUS NYERERE
 
Mkuu unamshambulia mwenzako kumbe na wewe hujui. Maji yaliyotuama kwenye runway hayatakiwi kutuama hapo ndo maana lazima TCAA walaumiwe kwa nini maji yatuame kwenye runway?

Rubani alitua vizuri tatizo ni maji mengi kutuama kwenye run way na hiyo imesababisha breki kufail. Na ni kweli kwamba maji mengi yakiingia kwenye injini lazima itazimika.

MAGEZO MKUU
Mbona mi sijapinga swala la maji na nimeelezea si tu mwanza hata dar es salaa, mvua ikinyesha viwanja ni aibu tupu,..swala nililopinga ni kwamba ndege ya ATC aikuzimika engine kama ilivyoelezwa maji yaliiingia yakzima engine naweza kukupa msaada uwasiliane na waliokuwepo wakueleze hali halisi kweli maji yalikuwa tatizo,..na hili nimetoa mwongozo
 
Hata mimi nimeipata hiyo but nowdays ATL wamefulia hata kufanyia ndege zao severce wanashinda coz wajanja wanakula tu,poleni wasafiri wote mlionusurika!
 
hata mimi nimeipata hiyo but nowdays atl wamefulia hata kufanyia ndege zao severce wanashinda coz wajanja wanakula tu,poleni wasafiri wote mlionusurika!

nasikia ma engineer wao wanashindana kuwalalia wafagizi wa taa usiku na mchana
we unafikiri kazi watafanya muda gani,..nimeambiwa nkacheka nkasema yawezekana hata mmoja wao aliingia kwenye ndege bila kuoga ,...si mnajua mambo ya jianami
 
mkuu hebu nipe somo hapo kwenye red,runway ya mwanza airport ina urefu gani??

Runway ya mwanza ni kweli ndogo na hata mkuu wa kaya aliwaambia waangalie ilikuboresha runway yao.Kwa sasa inamita 3000 tu(3km)...nadhan standard run way inatakiwa kuwa na mita6000 (6km)
 
details zaidi za runway
Runway dimensions vary from as small as 245 m (804 ft) long and 8 m (26 ft) wide in smaller general aviation airports, to 5,500 m (18,045 ft) long and 80 m (262 ft) wide at large international airports built to accommodate the largest jets, to the huge 11,917 m (39,098 ft) x 274 m (899 ft) lake bed runway 17/35 at Edwards Air Force Base in California - a landing site for the Space Shuttle.
 
Runway ya mwanza ni kweli ndogo na hata mkuu wa kaya aliwaambia waangalie ilikuboresha runway yao.Kwa sasa inamita 3000 tu(3km)...nadhan standard run way inatakiwa kuwa na mita6000 (6km)

A runway of at least 6,000 ft (1,829 m) in length is usually adequate for aircraft weights below approximately 200,000 lb (90,718 kg). Larger aircraft including widebodies will usually require at least 8,000 ft (2,438 m) at sea level and somewhat more at higher altitude airports. International widebody flights, which carry substantial amounts of fuel and are therefore heavier, may also have landing requirements of 10,000 ft (3,048 m) or more and takeoff requirements of 13,000 ft (3,962 m)+.

At sea level, 10,000 ft (3,048 m) can be considered an adequate length to land virtually any aircraft. For example, at O'Hare International, when landing simultaneously on 22R and 27L or parallel 27R, it is routine for arrivals from the Far East which would normally be vectored for 22R (7,500 ft (2,286 m)) or 27R (8,000 ft (2,438 m)) to request 27L (10,000 ft (3,048 m)). It is always accommodated, although occasionally with a delay.

An aircraft will need a longer runway at a higher altitude due to decreased density of air at higher altitudes, which reduces lift and engine power. An aircraft will also require a longer runway in hotter or more humid conditions (see density altitude). Most commercial aircraft carry manufacturer's tables showing the adjustments required for a given temperature.

mkuu senator,cheki hio red, hio post hapo nimetoa kwenye article moja na wanaconsider 3km runway is ok,hapa tatizo sio runway ni hio ndege yao.
 
Nimemsikiliza shuhuda wa ajali , una weza zimia, ndege ime skid toka kwenye runway ,halafu ilipo simama na huku ikiwa engines zime haribika, , milango haikufunguliwa haraka ,wakaambiwa wakae kwenye viti , mbaka gari yenye ngazi ikaja, ina mana aircraft ilikua haina emergency slides?

Kibaya zaidi fire imechelewa kufika , najiuliza je ingelipuka baada ya kusimama wangetoka watu kweli? maan najua inabidi , ndege iwe evacuated in 90 seconds kupitia kwney emergency slides , kama ndenge mime pata tatizo hilo mana hakuna aliye ikagua imediateli kama ina cracks na labda aviation fuel zina mwagika na kufanya mlipuko, dah walikua so lucky !
 
Naomba niwaambie mambo mawili hivi

1.ATCL haijapata hasara yoyote coz hiyo ni ndege ya kukodi na ina Insurance ,hivyo wenye kampuni wataitengeneza hiyo ndege na itarudi tena hewani hapa hapa

2.Ile Air bus inarudi Mwezi ujao hivyo biashara haitaharibika sana kwa ATCL.ila kuna cost ambazo zitaingiwa coz ya watu kutaka refund

Ajali hii tumejifunza nini kutokana na tatizo hili

1.Serikali haitaki kufanyia Marekebisho viwanja vyake vya zamani mpaka matatizo yatokee na hii imekuwa ni tabia,Mungu atuepushie mbali mabalaa mengine.

2.ATCL wanachukua ndege za kukodi kwa bei za juu huku zikikiwa ni ndege zilitumika kwa muda mrefu badala ya kununua ndege mpya.

Hatua za kuchukua

1.Serikali iweke mpango wa muda mfupi kutengeneza viwanja vyake kwa standard za kimataifa .Viwanja hivyo vitaweza kuwa na uwezo wa kunyonya maji ndani na kuweza kusababisha ndege kutua wakati wowote

2.Shirika la ATCL liangaliwe upya,na wviongozi wa serikali waache tamaa ya ten percent ,wanunue ndege mpya kwa bei za halali na suala la kiukodi ni dhambi kubwa.Tumechoka na huu uwe mwisho wa kutumia pesa ya walipa kodi vibaya
 
Gembe!

I wish wangekuwa wanasikiliza na kufanyia kazi mapendekezo... i hope they will from now on kwasababu nature yetu huwa ni responsive rather than proactive
 
Gembe!

I wish wangekuwa wanasikiliza na kufanyia kazi mapendekezo... i hope they will from now on kwasababu nature yetu huwa ni responsive rather than proactive
Sidhani kama wanaweza kusikiliza....!
 
Sidhani kama wanaweza kusikiliza....!

We si ndo usafiri wako huu uliokufikisha kwa PakaJimmy na kwa FL1? Next time ukkiupanda tena nistue niwasiliane na Kakobe apige maombi kama anayowapigia TANESCO!
 
Nimemsikiliza shuhuda wa ajali , una weza zimia, ndege ime skid toka kwenye runway ,halafu ilipo simama na huku ikiwa engines zime haribika, , milango haikufunguliwa haraka ,wakaambiwa wakae kwenye viti , mbaka gari yenye ngazi ikaja, ina mana aircraft ilikua haina emergency slides?

Kibaya zaidi fire imechelewa kufika, najiuliza je ingelipuka baada ya kusimama wangetoka watu kweli? maan najua inabidi , ndege iwe evacuated in 90 seconds kupitia kwney emergency slides , kama ndenge mime pata tatizo hilo mana hakuna aliye ikagua imediateli kama ina cracks na labda aviation fuel zina mwagika na kufanya mlipuko, dah walikua so lucky !

Suali langu hapa ni je, hizo emergency exit zinafanya kazi kweli?? inawezekana ni Kanyaboya... we angalia siku zote mlango unaotumika kwenye hiyo ndege ni mmoja, labda mingine imeota kutu na haifunguki.

Ajali ya ndege inatisha kwa sababu uwezekano wa ndege kulipuka ni mkubwa sana ikipata spark za aina yeyote, na inawezekana huyo pilot aliipeleka ndege kwenye majani kwa makusudi baada ya tyres kupasuka kwa sababu alijua kwa vyovyote ingekwangua chini na ukichukulia kwamba engine ilishapasuka, kuna uwezekano mafuta yalikuwa yanavuja, akaona bora aingie kwenye majani (tope).
 
We si ndo usafiri wako huu uliokufikisha kwa PakaJimmy na kwa FL1? Next time ukkiupanda tena nistue niwasiliane na Kakobe apige maombi kama anayowapigia TANESCO!
Huyu alisafiri na Precision bana... na wana ndege MPYA kabisa hawa PW, na ni za kisasa sana...unasafiri huku unatazama live ma'ALJAZEERA huko ndani, na music mororoooo wa TwangaPepeta, hadi raha!
 
Back
Top Bottom