wajameni; ndege haijaanguka, ila imetua vibaya na kugusa pua chini... abiria wako poa ila ndege bado iko eneo la tukio na ndio watu wanfanya taratibu za kuiondoa kwenye hiyo site
Nadhani pia it is too early kujua kama ni weather, chombo au human error kilicholeta hayo....
The good news ni kwamba hakuna fatalities
the bad news ni kwamba ATCL sasa inabaki hoi zaidi japo kwa few days/hours na abiria inabidi waangalie ustaarab mwingne> abiria watoako mwanza kuja dar leo asubuhi kwa ATC naona waangalie ustaarab mweingine