Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna mjuzi wa yote isipokuwa Mungu.
Asanteni na karibuni sana
Asanteni na karibuni sana