Ndege nzuri tokea Dsm to Nairobi

Gospel Preacher

JF-Expert Member
Jan 17, 2018
233
263
Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna mjuzi wa yote isipokuwa Mungu.
Asanteni na karibuni sana
 
Ukipanda mwewe air ways(MAW) ipo fresh ila ndo kila ikiona kifaranga chini itashuka.
Kasuku air lines(KAL) yenyewe makelele tu ndo yakufikia.
Labda upande dilimu laina lipo vizuri japokua la mtumba
 
Mkuu - ni KQ tu - www.kenya-airways.com
 
Ukipanda mwewe air ways(MAW) ipo fresh ila ndo kila ikiona kifaranga chini itashuka.
Kasuku air lines(KAL) yenyewe makelele tu ndo yakufikia.
Labda upande dilimu laina lipo vizuri japokua la mtumba
Haaaaahaaaa aisee
 
Back
Top Bottom