Ndege nzuri tokea Dsm to Nairobi

Ndege nzuri tokea Dsm to Nairobi

Dilimu laina mambo ya kuota maruweruwe mwendo mzima!
Ukipanda mwewe air ways(MAW) ipo fresh ila ndo kila ikiona kifaranga chini itashuka.
Kasuku air lines(KAL) yenyewe makelele tu ndo yakufikia.
Labda upande dilimu laina lipo vizuri japokua la mtumba
 
Tangu uanze kuuliza. ungepanda DAR EXPRESS muda huu ungekua city in the sun.
 
Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna mjuzi wa yote isipokuwa Mungu.
Asanteni na karibuni sana


RUTASHOBYAAA AIRWAYS

HAOO WENGINE WANA UHAKIKA ILA KWA BEII ZAKOO HUZIPATI
 
Habari zenu ndugu zangu, naomba kuuliza wazoefu wa safari za ndege kutokea dsm kuelekea Nairobi, ni ndege ipi nzuri na yenye uhakika wa safari? Sanjari na bei rafiki? Naomba msaada sana katika hili. Naomba msinifikirie vibaya ni mara yabgubya kwanza kutumia huu usafiri ndugu zangu na hakuna mjuzi wa yote isipokuwa Mungu.
Asanteni na karibuni sana
AKIKISHAA UNA MFUKO WA PLASTIC WA KUTAPIKIA MKUUU

USHAURI.COM
 
Back
Top Bottom