Ndege Njiwa amejenga pembeni ya nyumba yangu!

njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,357
2,000
Naombeni kujua hii ina maana au inaashiria nini.

Ni kwamba wakati najenga kibanda changu nilipomaliza kupaua siku kadhaa baadae nilikuja gundua kuna njiwa wa porini wamejenga kiota ktk mbao za paa kwa ndani.

Baada ya kuziba kwa kuzunguka nje na baadae kuhamia wale njiwa waliondoka, ila nimegundua kuna ndege wengine wamenjenga pembeni ya nyumba, na baadae km miezi mitano mbele wale njiwa wamerud na wamejenga kiota chao pembeni kwa nje karibu na kenopi.

Sijapata tatizo lolote wala usumbufu wowote kwani pia napenda hawa viumbe.

Ninachotaka kujua kama kuna mahusian yoyote na mambo ya kiroho.
 
Donkey

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
944
1,000
Hakuna mahusiano na imani yeyote, hao ni ndege wanatafuta hifadhi sehemu yenye usalama, na kizuri kama utaweza kuwatunza vizuri tegemea kupata award nzuri toka kwa mashirika ya nje yanayohusika na kulinda na kuhifadhi njiwa,PM tuongee
 
njeeseka

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
1,357
2,000
Hakuna mahusiano na imani yeyote, hao ni ndege wanatafuta hifadhi sehemu yenye usalama, na kizuri kama utaweza kuwatunza vizuri tegemea kupata award nzuri toka kwa mashirika ya nje yanayohusika na kulinda na kuhifadhi njiwa,PM tuongee
Ha ha haaaa kwa ushauri huu PM haihusiki
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom