Uko sawa kiasi. Ndege zenye propeller (mapanga) hazijisukumi nyuma japo ziko chache kwa mfano De Havilland Twin Otter, ambazo zina uwezo huo. Ndege za aina hii utumia spoilers ambazo huinuka juu ya mabawa, kwa kiasi kidogo flaps ambazo hushuka nyuma ya mabawa na brakes kwenye magurudumu ili kupunguza kasi ya ndege ikishatua. Wakati huo engines zinakuwa idle. Kasi ikipungua vya kutosha spoilers zinatelemshwa na flaps zinapandishwa na hapo rubani anatumia engine, steering na brake kuifikisha ndege sehemu ya kusimama.Ndege haisimami kwa kutumia revers ina simama kwa kutumia brak ikisaidiwa na wings za nyuma kukumba upepo
Hata gas turbine engine ,unatumia throttle kuongeza kasi bcoz throttle inaongeza fuel into combustion chamber ambayo itasababisha thrust kubwa result yake ni speed kubwa
Mkuu angalia post #11 hapo juuNdio maana nakuambia acha mambo yako ya Lumumba ...Go around procedure inakuwa initiated kukiwa na conditions zipi ?
Anacho ongelea mleta mada sio hiki unachokisemea
Vinginevyo kulikuwa hakuna sababu ya ndege kupewa landing clearance wakati conditions haziruhusu kutua
Sasa final aproach inaanzia wapi na ndege kugusa ardhi au hata kabla ya kugusa ardhi ?
Final aproach maana yake ni ikiwa bado angani tayari kwa kutua mpaka inatua
Hizo landing gear zinakuwa haziko extended mpaka mwisho
Anyway kwa sababu sijui chochote endelea na darasa lako mimi nimefika mwisho
Je na Google wamesemaje ndege ikitaka kutua lazima iwe/ ifikie mwendokasi gani?Kwa msaada wa Google, inaonesha ndehe ya abiria (jetliner) ili iweze kuruka ni lzm ifikie mwendokasi wa 240–285 km/h, bila hivyo haiwezi kuruka. Na ikifikia mwendokasi huo, haiwezi simama, ni lzm iruke hlf izungue irudi kutua.
Naamini kabisa mlichanganyikiwa sana mle ndani, na hakika kila mtu aliomba Mungu wake, jasho liliwatoka wakati kuna full AC, hahahaahh[emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji29] [emoji28]ilishindwa kuendelea kutokana na uwanja kujaa maji iabidi irudi hewani, kumbuka haiuland kabisa iligusa kidogo ikapaa tena