Ndege kutua na kupaa muda huo huo

Ndege kutua na kupaa muda huo huo

Inawezekana kabisa na imeshatokea miaka ya nyuma hata sasa..
 
Wataalamu wamesha ongea sana
Sisi wataalamu wa aerodynamics tunajua ivyo vitu.
Usipojua hata force 4 zinazo iwezesha ndege kufanya maneuverability basi huwez elewa nini kinafanyika.
 
Ndio maana nakuambia acha mambo yako ya Lumumba ...Go around procedure inakuwa initiated kukiwa na conditions zipi ?

Anacho ongelea mleta mada sio hiki unachokisemea
Vinginevyo kulikuwa hakuna sababu ya ndege kupewa landing clearance wakati conditions haziruhusu kutua

Sasa final aproach inaanzia wapi na ndege kugusa ardhi au hata kabla ya kugusa ardhi ?

Final aproach maana yake ni ikiwa bado angani tayari kwa kutua mpaka inatua

Hizo landing gear zinakuwa haziko extended mpaka mwisho

Anyway kwa sababu sijui chochote endelea na darasa lako mimi nimefika mwisho
Kuna emergency mbili katika maisha ya ndege
1 Emergency landing
2 Emergency take off
Na siku zote pilot mzuri wa ndege anapimwa kwa emergency situation hasa ktk landing na take off hasa ktk upande wa weather conditions pia landing na take off clealence zinatolewa na watu si machine na unapozungumzia watu pia unatakiwa kujua kuna human error. Run way ya ndege inatakiwa kusiwepo na kitu chochote ambacho kinaweza kusababisha hatari ya aina yeyote na usafiri wa ndege ndio usafiri wenye safety precocious kubwa kuliko usafiri wowote unaojua

Nimekwambia na nimesema matukio haya utokea mara 1 - 3 kwa safari 1000 so ni mara chache sana kutokea hasa kwa ndege za abiria lakini kwa ndege za jeshi hasa Jet Fighter ni jambo la kawaida sana

Wasalimie Bavicha

Final aproach inaanzia pale unapopata landing clearance na kutoa landing gear kutoka kwenye landing chamber mpaka ndege inapopaki kabisa kitendo chote kinaitwa landing process. kama ndege ikipata chochote kwenye process hzo inajulikana kuwa ilikua kwenye landing process
 
Kuna emergency mbili katika maisha ya ndege
1 Emergency landing
2 Emergency take off
Na siku zote pilot mzuri wa ndege anapimwa kwa emergency situation hasa ktk landing na take off hasa ktk upande wa weather conditions pia landing na take off clealence zinatolewa na watu si machine na unapozungumzia watu pia unatakiwa kujua kuna human error. Run way ya ndege inatakiwa kusiwepo na kitu chochote ambacho kinaweza kusababisha hatari ya aina yeyote na usafiri wa ndege ndio usafiri wenye safety precocious kubwa kuliko usafiri wowote unaojua

Inawezekana kabisa kitendo kama hicho utokea mara 1-3 kwa safari 1000 , so ni mara chache sana kutokea hasa kwa ndege za abiria lakini kwa ndege za jeshi hasa Jet Fighter kutua kwenye Carrier inatokea mara nyingi sana

Kitendo cha kufanya hvyo kinaitwa Go-around ambapo air traffic control wanapokwambia ur clear to land lakini kabla ujafanya hvyo kukatokea hatari ambayo inaweza kusababisha ajari kama kukiwa na gari,ndege au kitu chochote kwenye run way hapo hapo unaweza pewa amri ya kupaa tena ndege za kisasa kama Boeing na Airbus ni nyepesi sana kufanya hvyo ni ku apply full power kwenye engine kwa kupeleka mbele mpaka mwisho ile giar then unabonyeza kuna button zimeandikwa TO/GA, unapobonyeza tayari ndege automatically inajua ni emergency inaongeza airspeed kwenye landing gear mpaka kufikia take off speed kwa muda mfupi sana

Lakini kitendo cha Go-around kwa Jet ni cha kawaida sana hasa wanapotua kwenye carrier, kwani mpaka ndege kutua na kusimama kunatakiwa kuwe na Run way ya kutosha. Sasa kwenye Carrier ni sehemu ndogo sana kulinganisha na uwanja wa ndege pale kunakuwa na kamba maalum inaitwa arrestor cables ambapo pilot anatakiwa akitua tu landing gear za nyuma kunasa kwenye cable za arrestor cables ambazo zinakuwa chini ambazo zinadaka ndege na kufanya isimame yani kama inavutwa nyuma na kupaa hvyo hvyo kuna kifaa ambapo landing gear za mbele uwekwa then kuna machine inapush ndege mpaka kufikia take off speed kwa muda mfupi na umbali mfupi
Sasa pilot wengi wa Jet Fighter kutua kwenye Carrier inatokea umekosea mahesabu ya kunasa arrestor cables njia pekee ni ku apply full power kwenye engine na kufanya Go-around, kwani usipofanya hvyo ndege inakwenda kutumbukia baharini na ndege inakuwa kaburi lako kwani ni kawaida sana vyombo vya moto kama gari au ndege Zikiingia kwenye maji zinarock milango na mfumo wa umeme unakufa so uwezi ku operate chochote kwenye cockpit ya ndege.
Umeanza vizuri ila mengi sio kweli
 
Nimeona mijadala mbalimbali ya ndege na baadhi ya changamoto za kutua au kupaa. Swali langu ni kuwa je kuna uwezekano baada ya ndugu kugusa ardhi ikaunganisha na kupaa tena. Yaani kwa mfano imeshatua na kukawa na dharura mfano runway ni fupi au kuna kizuizi mbele na kuwa haiwezi kumaliza runway salama

Labda ungeulizia suala la Mabasi ya Mikoani nadhani tungekupa majibu mujarab kabisa kwani wengi wetu ndiyo tuna ushirikiano nayo wa Kutukuka kabisa.
 
Kuna emergency mbili katika maisha ya ndege
1 Emergency landing
2 Emergency take off
Na siku zote pilot mzuri wa ndege anapimwa kwa emergency situation hasa ktk landing na take off hasa ktk upande wa weather conditions pia landing na take off clealence zinatolewa na watu si machine na unapozungumzia watu pia unatakiwa kujua kuna human error. Run way ya ndege inatakiwa kusiwepo na kitu chochote ambacho kinaweza kusababisha hatari ya aina yeyote na usafiri wa ndege ndio usafiri wenye safety precocious kubwa kuliko usafiri wowote unaojua

Nimekwambia na nimesema matukio haya utokea mara 1 - 3 kwa safari 1000 so ni mara chache sana kutokea hasa kwa ndege za abiria lakini kwa ndege za jeshi hasa Jet Fighter ni jambo la kawaida sana

Wasalimie Bavicha

Umeniambia matukio haya hutokea mara 1-3 kwa safari 1000 "

Hivi ni wewe umeniambia au ni wikipedia hiyo ndio inasema hivyo

Besides 1-3 ya Approaches 1000 na sio safari 1000
Approaches na safari ni vitu viwili tofauti

Anyway ka Google tena soma kwa utulivu tatizo langu halipo kwenye hizo aina sijui ya emergency though hiyo go around procedure inaweza pia ikawa engaged bila kuwa na emergency
67210f7a2e6123ab2fce244814bb6a01.jpg

Anyway Kinana mshamurudisha toka mlipo mtuma ?
 
Si kila mtu anatoa taarifa zake Wikipedia na Wikipedia sio sehemu pekee ya kuhakikisha jambo au source of information zipo taarifa nying zimepotoshwa au kukosewa ndani ya Wikipedia , Wikipedia wenyewe wanatoa taarifa zao kutoka kwenye source mbalimbali ndio maana mwisho wa taarifa zao wanaweka Reference kama kuonyesha source na sehemu taarifa zao walipozitoa
Pia Go- around haiwezi kuwa engaged kama hakuna emergency situation

Kinana mwenyekiti amemtuma India kwa matibabu
 
Si kila mtu anatoa taarifa zake au Wikipedia ndio sehemu pekee ya kuhakikisha jambo au source of information , Wikipedia wenyewe wanatoa taarifa zao kutoka kwenye source mbalimbali ndio maana mwisho wa taarifa zao wanaweka Reference kama sehemu taarifa zao walipozitoa

Kinana mwenyekiti amemtuma India kwa matibabu

Aislimia 99 ya hicho ulichokieleza mwanzo umetoa Wikipedia vingine ukaongeza uswahili kidogo wa kunipiga mikwara sijui chochote na kumalizia kwa hizo approaches kuziita safari ndio stori yako ikakamilika kwa asilimia 100

Siku 14 zimeisha tokea atumwe vipi au safari hii katumwa Tel Aviv ?
 
Wikipedia si source pekee ya kujua kitu hata Wikipedia wenyewe wanategemea source zingine kutoa taarifa au habari zao ndio maana mwisho wa taarifa zao wanaweka Reference kama kuonyesha source na sehemu taarifa zao walipozitoa, pia jambo la ndege si nuclear science kwamba ni watu au nchi chache ndizo zenye access ya kujua ni vitu vinavyofundishwa kwa mtu yeyote so kujua ndege au process zinazohusika na ndege ni elimu kama ilivyo elimu nyingine yeyote ambayo watu wanasomea hata ww unaweza kusoma
Siku zote unapokwenda hospitali unajua siku ya kwenda siku ya kutoka anajua doctor so comrade bado hajarudi akirudi mtapewa taarifa
 
Wikipedia si source pekee ya kujua kitu pia jambo la ndege si nuclear science kwamba ni watu au nchi chache ndizo zenye access ya kujua ni vitu vinavyofundishwa kwa mtu yeyote so kujua ndege au process zinazohusika na ndege ni elimu kama ilivyo elimu nyingine yeyote ambayo watu wanasomea hata ww unaweza kusoma
Siku zote unapokwenda hospitali unajua siku ya kwenda siku ya kutoka anajua doctor so comrade bado hajarudi akirudi mtapewa taarifa
Umenielewa siku njema mengine ni porojo tu
 
Ikiwa imegusa runway ni vigumu sana kuanza kutake off palepale unless runway iwe ndefu sana ambapo viwanja vingi hafiko hivyo. Ujue ndege ikishagusa runway kuna ingine zinakuwa neutral/kuzimwa!
Hii hutegemeana na muundo wa ndege. Hizi za kawaida zinaweza kushindwa jambo hilo maana inabidi kwanza rubani amalize kitendo cha kutua and then aanzishe kitendo cha kuruka. Lakini kama ndege haijagusa ardhi(runway) kinafanyika. Ñdege "kazi" zenyewe chochote kinafanyika wakati wowote, ndiyo maana kwenye manowari kwa mfano njia ya kuruka na kutua ni fupi na ndege zinaweza kuruka/kutua nyingi at a time
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Yamakagashi amejitahidi lakini ni dhahiri hana utaalamu wowote kwenye mambo haya ila ya kusimuliwa. Kwenye ndege hakuna kuweka gear ila unatumia "power lever" na kasi ya ndege inatokana na msukumo wa hewa kwa kutumia propeller au jet thrust na si kupitia landing gear. Kwenye ndege hakuna muunganisho wowote kati ya engine na landing gear.
 
Mkuu basi kwani unafikiri nina utalaamu wowote kuhusu ndege ni vile tu sipendi kudanganywa na kusoma najua ikabidi na mimi niingie Library nijisomee

Shukrani mkuu
 
Point yangu pia inaenda na tukio la kuapply reverse ili kusaidia ndege kusimama alafu baadae ubadilishe ghafla haliwezi kuaribu engine?
Ndege haina gear ya kurudi nyuma mkuu. Ina flaps na brake za kawaida kwa ajili ya kusimama.
 
Unaweza eleza ukweli na ww kama mm nimedanganya ,JF ni jukwaa huru so na ww huko huru kutumia nafasi hyo
Over shooting ,ni kitendo ambacho rubani anataka kutua ila anapewa taarifa asitue ,kwasababu fulani ,kwahiyo rubani anairudisha ndege juu na kupaa umbali fulani then anarudi kutua au anaenda kutua uwanja mwingine
 
Nimeona mijadala mbalimbali ya ndege na baadhi ya changamoto za kutua au kupaa. Swali langu ni kuwa je kuna uwezekano baada ya ndugu kugusa ardhi ikaunganisha na kupaa tena. Yaani kwa mfano imeshatua na kukawa na dharura mfano runway ni fupi au kuna kizuizi mbele na kuwa haiwezi kumaliza runway salama
Soma kuna kitu kinaitwa: escape velocity formula
 
Inawezekana na nimeona keneth kaunda international airport lusaka zambia ilifanya kitendo hicho cha kutua na kuyatoa matairi kugusa runway kisha kupaa ili rudia kitendo hicho mara 4 nikawa wauliza wafanyakazi wa pale airport wakanijibu nikitendo cha kawaida iko kwenye majaribio na wahandisi wa ndege
 
Naona watu wanaelezea but baadhi yao wako kinyume sana na uhalisia
 
Back
Top Bottom