Nimekua nikitafakari juu ya habari ya ndege ya Malaysia iliyopotea karibu mwezi sasa naona akili hainipi kabisa kuwa ni kitu kinachoweza kutokea kweli na dunia nzima ishindwe kujua. Uwezo mkubwa wa nchi kama marekani unanipa shaka kwamba nao wameshindwa na hasa ndio inayonipa imani kwamba kuna mchezo tusioujua ambao marekani kama hawajahusika basi wanaujua...nimemaliza
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wewe unafikiri hiyo ndiyo ndege ya kwanza kupotea? hii dunia ni kubwa, kutafuta kijidege kilichopotea ni sawa na kutafuta punje ya sukari kwenye jangwa la sahara!!
Nadhani tusifiriki kirahisi hivyo, tunajua fika kwamba eneo la bahari ni kubwa na pana zaidi na pengine location ambayo ndege iliangukia ilikokotwa na maji umbali wa maili kadhaa kutoka eneo hilo. Ndege ingekuwa na mawasiliano ingekuwa rahisi kujua wapi walipoangukia na kusaidia kuitafuta, kwa kesi hii ni hisia tu maana mawasiliano yalikatika masaa kadhaa kabla ya ndege kuanguka. Utafutaji nchi kavu ni mgumu sembuse baharini. tusiwape kichwa mno wamarekani.
Sio kuwapa kichwa mkuu,ukweli ni kwamba hawa jamaa wanauwezo zaidi ya hata unavyofikiria...wako mbali sana amini hivyo
Kuna mahali nilisoma wanadai shilika moja la kimarekani kwa jina la freescale lenye utaalamu wa juu katika masuala ya ndege linahusika moja kwa moja na kutekwa kwa ndege hii ...sasa kwa kiasi gani ni kweli hapo sijuhi