Wacha kufananisha kishumundu na mambo ya kipumbavu wewekishimundu kwa sana.
akili yako kama avatar yako, mi nimemanisha jamaa ana kijungu au kichuguu kama hujaelewa na hapa basi we ni muhenga.Wacha kufananisha kishumundu na mambo ya kipumbavu wewe
Kishumundu siku hizi kumekuwa ulaya ya moshi uliza uambiwe sio ile ya zamani
Mungu wanguwanaume wa Dar Mmeshindikana.
View attachment 957041
Ukisema kishimundu nahisi umemaanisha wa huko kishimundu yaani katoka kaskazini..akili yako kama avatar yako, mi nimemanisha jamaa ana kijungu au kichuguu kama hujaelewa na hapa basi we ni muhenga.
Hahahahawanaume soon tutatangazwa kuwa ENDANGERED SPECIES...
Sio wako peke ako au unamaanisha wale wa kwenye tunguli zako[emoji23]Mungu wangu