ndani ya kanga moko

ndani ya kanga moko

Naona tatizo ni kupigwa picha na kujirusha mtandaoni, lakini issue ya kuvaa kanga moja tena si ajabu ya mkewe sio tatizo.
 
Bro umekosea sana kutumia picha yako
nakuomba badirisha haraka kabla mkeo hajajua hili
utajipa matatizo bure, hata kama JF id zetu hazijulikani ila wewe mbona tunakujua?
Sio vema kujiwekea mfano mbaya kama hivi bro hebu toa hii picha kabla haijasambaa zaidi
 
Naona tatizo ni kupigwa picha na kujirusha mtandaoni, lakini issue ya kuvaa kanga moja tena si ajabu ya mkewe sio tatizo.

Siyo kwa ubinukaji ule na pozi lile kweli kuna usalama pale, lile bwabwa kabisa
BWABWA.jpg
 
Baada ya kutazama hiyo picha nimeanza kujiuliza kuhusu jinsia ya alieshika kamera.
 
Sasa hiyo sura ni ya wapi? Huyo wa kaskazini tu hata sura inadhihirisha kubali au kataa ukweli utabaki palepale
Mkuu ni kweli kabisa huyo jamaa ana sura ya ki mangi hivi..
 
Ushoga ni tatizo la asili, yan uyo atakua na umri 40+ kwa hesabu ndogo huo mchezo aliuanza miaka 18 nyuma apo utagundua nazungumzia miaka ya 80 uko
Hili ni tatizo la muda mrefu japo utandawazi umesaidia kuliweka wazi

Kushindana nao hatutawaweza, tuwaache tu
Na kutuma hizo picha za hao watu ni kuwapa promo, tuwaache tu jamani
 
Bro umekosea sana kutumia picha yako
nakuomba badirisha haraka kabla mkeo hajajua hili
utajipa matatizo bure, hata kama JF id zetu hazijulikani ila wewe mbona tunakujua?
Sio vema kujiwekea mfano mbaya kama hivi bro hebu toa hii picha kabla haijasambaa zaidi
picha imesambaa wasap huko ndo imekuja huku au ni wewe unajaribu kuona namna ya kuzuia isisambae sana!?
 
Dada una kichaa??!Mwanaume gani amesema kuwa anavutiwa na huyo jamaa?!
Acha kumtukana dada wa watu huyo aliemfanya akawa hivyo ni mwanamme mwenzake hakuna mwanamke mwenye uwezo wa kumtatua marinda mwanamme
 
Back
Top Bottom