NDALICHAKO: kitu cha ZOMBI

NDALICHAKO: kitu cha ZOMBI

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,590
Reaction score
28,761
Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne....

Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele....

attachment.php
 

Attachments

  • 13150_346915635414142_167310211_n.jpg
    13150_346915635414142_167310211_n.jpg
    20.7 KB · Views: 2,014
sana tu, ndivyo mlivyowaandaa, we uliona wapi watoto wa kibongo shule viboko vinafutwa? viboko vilikuwa vinasaidia, maana wengi wetu hatuna watu wa mifano ya watu waliosoma sasa unategemea tutasomaje bila shuruti? mifano ya watu tulionao ni wale ngumbalo.
 
Huyo dogo sijui atakuwa alirogwa sasa ndio anachora mauzauza anayoyaona??? 😕
 
zombism ndio walichojifunza kwa miaka minne wale wa mwaka jana ilikuwa ubongo wa fleva..
 
By z way, lets put a 3rd eye look to the Zombi-thing.. who is precisely sure that the pics were truely drawn by the examiners?
Hamjui kwamba kuna matukio ya kuunganishwa na gundi Bongo?
 
Halafu utakuta huyo dogo kwenye M4C ndo alikuwa anashindia kwenye mikutano na maandamano.Kwanini yasikukumbe
 
Hivi hiyo picha imechorwa kwenye "academic booklet" kweli au wanataka
kuleta siasa hadi kwa watoto wetu!
 
sana tu, ndivyo mlivyowaandaa, we uliona wapi watoto wa kibongo shule viboko vinafutwa? viboko vilikuwa vinasaidia, maana wengi wetu hatuna watu wa mifano ya watu waliosoma sasa unategemea tutasomaje bila shuruti? mifano ya watu tulionao ni wale ngumbalo.

wewe kama mzazi ndio chanzo usiitupie bure lawama serikali,kama tu mwanao akichapwa na mwalimu unashikilia kidedea mpaka redioni...hiki nikipindi cha kutafakari kamataifa ninikifanyike ,hebu fikiria huyo dogoalie chora hivo kunanini kichwani kwakwe?je yuko tayari kupambana na maisha yakitaa kama msomi wa form four?elimu aliopata imesaidia nini?Kuna kundi kubwa la youths walio maliza form four ambao asilimia kubwa ni watoto wa familia duni,nahisi kundikubwa la mateja limezaliwa,kundi kubwa la wadokozi...play your side to rescue future of our youths
 
sana tu, ndivyo mlivyowaandaa, we uliona wapi watoto wa kibongo shule viboko vinafutwa? viboko vilikuwa vinasaidia, maana wengi wetu hatuna watu wa mifano ya watu waliosoma sasa unategemea tutasomaje bila shuruti? mifano ya watu tulionao ni wale ngumbalo.
Mkuu ila wasiochapwa viboko ndio wameongoza kwa ufaulu hapa nchini...
 
Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne....

Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele....

attachment.php

Je kama kamchora yeye Mwenyewe NDALICHAKO, Nani ataverify otherwise???
 
By z way, lets put a 3rd eye look to the Zombi-thing.. who is precisely sure that the pics were truely drawn by the examiners?
Hamjui kwamba kuna matukio ya kuunganishwa na gundi Bongo?
Hilo nalo la kuunganisha mambo kwa gundi yawezekana maana bongo kila mtu ni mjanja mjanja tuu
 
Halafu utakuta huyo dogo kwenye M4C ndo alikuwa anashindia kwenye mikutano na maandamano.Kwanini yasikukumbe

Nyie viongozi wakuu wa serikali kila siku mnapotembelea mikoa mnataka wananfunzi watoke madarasani na kusimama barabarani siku nzima wakiwangoja licha ya kuwapotezea wakati wao wa masoma kwa kujifunza ile michezo yenu ya HALAIKI wakati wa sikukuu zenu zisizoisha!! Matokeo yake watoto wengi wanafeli mitihani!!
 
Back
Top Bottom