Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,499
- 145,893
Hivyo ndo kuanika wazi madudu haya ili watu wajue kwamba hawatungi tu hizi habari, angeweka na namba ya mtahiniwa kabisa doubting Thomases tusije kusema wamechora wao NECTA.
Not that hilo litasaidia kama mtu anataka kuweka conspiracy theory.
Actually hilo swali nililouliza lilikuwa rhetorical tu kwa sababu huyo Dr. Ndalichako aliwatupia lawama Clouds radio kwa kitendo chao cha kumtafuta yule dogo wa mwaka jana (juzi maybe) aliyeshuka mistari ya bongo fleva kwenye karatasi za kujibia maswali badala ya kujibu maswali.
Inavyosemekana huyo Dr. alishutumu kwamba kitendo cha Clouds kufanya naye mahojiano huyo dogo ilikuwa ni kumpa promo zaidi jambo ambalo limepelekea kuwa na copycat incidents mwaka huu - mfano ndiyo kama hiyo picha ya "Zombi".
So basically the reasoning was if you don't want it publicized or picked up by the media, why put it out there in the first place?
I don't think Clouds were in the wrong in seeking out the youngster to do an interview with him and ask many of the questions that the public had in mind.