NDALICHAKO: kitu cha ZOMBI

NDALICHAKO: kitu cha ZOMBI

masikini ndalichako sijui ndalinacho nimeona kwenye baadhi ya media kuwa clouds fm imechangia kuwatia baadhi ya viburi wanafunzi kuchora hilo zombi ili wapate promo kupitia hiyo radio maana yule alieandika bongo flava alipata sana promo clouds hayo ni maoni yake ila subirini hiyo radio itakavyoropoka kuhusiana na hilo watachonga sana kama ni kweli aliyasema hayo, maana hiyo radio haitofautiani na magazeti ya shigongo.
 
nakumbuka zamani, enzi zetu, michezo kwa wingi, kombolela, mpira mtaa kwa mtaa afu kombe ni kuku au bata, gombania goli, goroli kwa sana.....unalala hoi, ila asubuhi mapema uko shule, unawahi namba, class stori nyingi, ikija pepa, umefeli sana una 70%, enzi zile darasa la saba, ukipata wastani wa maksi 100/150 una wasiwasi wa kwenda shule ya sekondari, sanasana utaenda private, then kidato cha nne, michezo kama kawaida, ikija pepa, div I-III nyingiiiiiii, afu IV chache, zero ndo chache kabisaaaaaaaaaaaaa........dah, sasa hivi.....kombolela hakuna, mpira hakuna, goroli hakuna, namba hawawahi shuleni, pass mark ya kwenda kidato cha kwanza ni 70/250,form four wanafeli, ..........nikijiuliza zaidi, kuna vitu vingi vimesababisha, ukiweka pembeni mafacebook, na matwitter, ambavyo watoto wa siku hizi ndo wanaona ujanja sana.......kuna wazazi kwa namna fulani kwa kutokaza watoto wasome, ila sababu kubwa kuliko zote, ni mfumo wa elimu kuwekwa rehani na watu wachache ambao wamesahau, bila yule mwalimu wa darasa la kwanza, kuwafundisha ule wimbo wa hii ndo a, aaaaaa, ipo kama kikombe, aaaaaa,leo hii wasingekuwa katika hivyo viti vya maamuzi walivyokalia, ambapo, wanatumia kalamu ambazo walifundishwa kuzishika na walimu wao, kuwakandamiza walimu hao hao.............nakumbuka nyimbo ya Sir nature, inauma sanaaaaaaaaaaa
 
Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne....

Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele....

attachment.php
Matukio kama haya ya kuonyesha ni jinsi gani mwanafunzi asivyoelewa atakiwacho kufanya kwenye mitihani, ni UTHIBITISHO TOSHA WA KUSHINDWA KWA SERIKALI katika suala zima la kumuelimisha kijana wa kitanzania.

Mana zndalichako sana sana kwa picha hizi anathibitisha KUFELI kwa Wizara ya Elimu katika majukumu yake ya kimsingi.
 
Ni kweli kabisa mkuu maana kama mtoto wa kidato cha nne anaweza fanya hii kitu basi hali ni mbaya sana...
Cha ajabu Ndalichako kwa kutokua na uwezo kwa kujitathmini anaona tatizo ni la watoto, lakini kwa mtu mwenye hekima huu ni mwanya mkubwa sana wa kujipima na kutafuta mapungufu ya wizara/baraza....
 
nakumbuka zamani, enzi zetu, michezo kwa wingi, kombolela, mpira mtaa kwa mtaa afu kombe ni kuku au bata, gombania goli, goroli kwa sana.....unalala hoi, ila asubuhi mapema uko shule, unawahi namba, class stori nyingi, ikija pepa, umefeli sana una 70%, enzi zile darasa la saba, ukipata wastani wa maksi 100/150 una wasiwasi wa kwenda shule ya sekondari, sanasana utaenda private, then kidato cha nne, michezo kama kawaida, ikija pepa, div I-III nyingiiiiiii, afu IV chache, zero ndo chache kabisaaaaaaaaaaaaa........dah, sasa hivi.....kombolela hakuna, mpira hakuna, goroli hakuna, namba hawawahi shuleni, pass mark ya kwenda kidato cha kwanza ni 70/250,form four wanafeli, ..........nikijiuliza zaidi, kuna vitu vingi vimesababisha, ukiweka pembeni mafacebook, na matwitter, ambavyo watoto wa siku hizi ndo wanaona ujanja sana.......kuna wazazi kwa namna fulani kwa kutokaza watoto wasome, ila sababu kubwa kuliko zote, ni mfumo wa elimu kuwekwa rehani na watu wachache ambao wamesahau, bila yule mwalimu wa darasa la kwanza, kuwafundisha ule wimbo wa hii ndo a, aaaaaa, ipo kama kikombe, aaaaaa,leo hii wasingekuwa katika hivyo viti vya maamuzi walivyokalia, ambapo, wanatumia kalamu ambazo walifundishwa kuzishika na walimu wao, kuwakandamiza walimu hao hao.............nakumbuka nyimbo ya Sir nature, inauma sanaaaaaaaaaaa
Ni kweli kabisa mkuu unayosema, Kuna mwanasaikolojia mmoja aliwahi kusema asilimia kubwa ya elimu ya watoto chini ya miaka 15(kabla ya balehe) ni MICHEZO na KUIGA IGA..Hili katika tanzania linapungua sana..Zamani madogo walikua wanafaulu kwa sababu ya utundu ambao unachochea udadisi na kujifunza...

Leo elimu zimekuwa za kukariri kariri na mambo simple simpe tu...Nafikiri kuna haja ya kuuangalia mfumo wa elimu kuanzia ngazi ya msingi kuangalia ni nini kifumuliwe na nini kirudishwe...
 
Hapa nahisi ni Changa la Macho, hii picha haijachorwa na mwanafunzi kwenye pepa,, hii picha imechorewa baraza ili watudanganye Watanzania..

Nina uhakika kama hii picha ingechorwa na mwanafunzi huyo zombi asingesahau kuvaa viatu,,, haileti sense mtu amchore zombi halafu aseme amesahau kuvaa viatu ili iweje?

Hapa tumepigwa changa la macho hii picha kachora Ndalichako mwenyewe
 
nakumbuka zamani, enzi zetu, michezo kwa wingi, kombolela, mpira mtaa kwa mtaa afu kombe ni kuku au bata, gombania goli, goroli kwa sana.....unalala hoi, ila asubuhi mapema uko shule, unawahi namba, class stori nyingi, ikija pepa, umefeli sana una 70%, enzi zile darasa la saba, ukipata wastani wa maksi 100/150 una wasiwasi wa kwenda shule ya sekondari, sanasana utaenda private, then kidato cha nne, michezo kama kawaida, ikija pepa, div I-III nyingiiiiiii, afu IV chache, zero ndo chache kabisaaaaaaaaaaaaa........dah, sasa hivi.....kombolela hakuna, mpira hakuna, goroli hakuna, namba hawawahi shuleni, pass mark ya kwenda kidato cha kwanza ni 70/250,form four wanafeli, ..........nikijiuliza zaidi, kuna vitu vingi vimesababisha, ukiweka pembeni mafacebook, na matwitter, ambavyo watoto wa siku hizi ndo wanaona ujanja sana.......kuna wazazi kwa namna fulani kwa kutokaza watoto wasome, ila sababu kubwa kuliko zote, ni mfumo wa elimu kuwekwa rehani na watu wachache ambao wamesahau, bila yule mwalimu wa darasa la kwanza, kuwafundisha ule wimbo wa hii ndo a, aaaaaa, ipo kama kikombe, aaaaaa,leo hii wasingekuwa katika hivyo viti vya maamuzi walivyokalia, ambapo, wanatumia kalamu ambazo walifundishwa kuzishika na walimu wao, kuwakandamiza walimu hao hao.............nakumbuka nyimbo ya Sir nature, inauma sanaaaaaaaaaaa
mzee nimeipenda thread yako ukweli mtupu! mimi nikijilinganisha na watoto wa siku hizi nilikuwa na cheza sana kusoma kidogo!nilicho kuja kugundua watoto wa siku hizi wanapenda sana shule lakini hawana uchungu na shule kama sisi enzi zetu!
 
hiyo ni kweli kabisa, hawana jitihada zile tulizokuwa nazo...lakini pia, na mazingira ya nyumbani na ya shuleni yanachangia kuwafanye wawe hivi walivyo sasa......kazi ipo, hata mfumo wa elimu ukibadilishwa, bado kazi ipo, kwenye kubadilisha state of mind ya wanafunzi........michezo ya zamani ilisaidia kujenga creativity, siku hizi, watoto wanakaa ndani, kucheza game, kuchat facebook na kuangalia tamthiliya, yani inaweza kupita miezi mitatu, mtoto hajaonana na mtoto wa rika lake anayekaa naye mtaa mmoja.....athari zake ni kubwa
 
Matoto yanawaza Kuvaa milegezo, kuacha ------ nje na Kusubiri clauz watangaze afta skul bash. Digital age nayo inachangia. Kila toto lina cmu ya axes za fesbuku, wotsap na twita. What du yu expect? 0
 
Ni kweli kabisa mkuu maana kama mtoto wa kidato cha nne anaweza fanya hii kitu basi hali ni mbaya sana...
Cha ajabu Ndalichako kwa kutokua na uwezo kwa kujitathmini anaona tatizo ni la watoto, lakini kwa mtu mwenye hekima huu ni mwanya mkubwa sana wa kujipima na kutafuta mapungufu ya wizara/baraza....
Nakubali ni wakati wa kujipima na kutafuta mapungufu. Tuliosoma zamani tunajua kuwa ukifeli basi sahau kabisa mambo ya elimu, siku hizi mnawapa wanafunzi waliofeli nafasi ka kurudia mitihani, mnategemea wafanye juhudi? si wanajua wakifeli watarudia masomo matatu wataendelea mbele, hili nalo ni la kulichunguza. Nakumbuka hakuna kurudia darasa la saba ukishafeli, hii enzi zetu ilitufanya tujitahidi tufaulu, na ilifanya kazi mpaka tukiwa Sekondari na walimu waliwajibika hatukuwa na kitu kinachoitwa Tuition, leo hii hilo la Tuition mpaka Internationla Schools wanalifanya. Kifupi, kuna mengi sana ya kujichunguza, hata la kubadilisha badilisha Wizara, mawaziri wa Wizara hii imechangia,tangu Marehemu Kabeho, alianzisha mambo yake, akaja Mungai akaleta yake, Maghembe akaleta yake na sasa Shukuru, tungekuwa naSera na Dira la Elimu hakika hawa mawaziri wangesimamia hilo, sasa hata mitaala sijui kama ipo maana kila mtu anataka afanye analofikiri kichwani mwake bila kuangalia sera na dira la elimu ya taifa.
Haya tukija kwenye vitabu vinavyotumika sasa Sekondari ni kichekesho, wamepeana ulaji, watu wanaandika vitabu vyao wanawashawishi wahusika wa mambo ya elimu ambao ni marafiki zao vipitishwe katika matumizi ya Sekondari, ukiangalia vitabu hivyo hata havichochei mwanafunzi kujifunza, sasa hivi inafaa turudi miaka walau ishirini na tano iliyopita tuangalie elimu ilikuwaje hapa Tanzania.
Mbaya zaidi, walimu hawasikilizwi na hata pale wanaposikilizwa basi ni baada ya mabishano ya muda mrefu na usumbufu, katika hali hiyo, wanaoumia wanafunzi na wazazi wao. Sasa wakati umefika kufuta kurudia mitihani kwa wanaofeli, kupitia mitaala na kuifanya itoe dira la elimu hapa Tanzania, ni wakati wa kutazama kama tuna sera ya Elimu kitaifa na ikoje, kupitia upya vitabu vya kiada vinavyotumika na kuona kama vinakidhi haja za aelimu ya Sekondari, kuangalia wanaohusika na utunzi wa mitihani. Nakumbuka enzi hizo zetu ingawa sina uhakika tulikuwa tunajua mitihani inatungwa Chuo Kikuu na wataalamu wa Elimu na pia Wizara kwa kutumia wataalamu wao. Mambo yalikuwa safi kabisa. Wakuu wa taaluma masekondarini ni lazima wasimamie taaluma na kuhakikisha hakuna kitu kinachoitwa tuition, kila kitu kimalizikie darasani kwa walimu kuwajibika. Tujifunze kutokufanya makosa kwa kutumia makosa tuliyofanya katika suala la Elimu.
 
Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne....

Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele....

attachment.php
Tunaishukuru serikali yetu sikivu;
  1. Kwa kufuta Mitihani ya Kidato cha pili, hayo ndiyo matokeo yake.
  2. Kwa kulazimisha walimu waliogoma wakidai maslahi mazuri sawa na watumishi wenzao wa kada nyingine, lakini wakalazimishwa kwa kutumia vyombo vya dola kurudi madarasani. Hayo ndiyo matokeo yake.
  3. Kwa kutuandalia walimu wa Voda fasta ili waende wakafundishe watoto wetu wakati wakwenu mmewapeleka Ughaibuni. Hayo ndiyo matokeo yake.
  4. Kwa kutujengea madarasa bila walimu na vifaa vya kufundishia (vitabu vyenye kuendana na mitaala mipya ya Competence Based). Hapa hata walimu wenyewe baadhi huo mtaala mpya hawaujui hata jinsi ya kuufundisha.
 
kama ni kweli dogo amechora atafutwa na vyombo za habari ili aeleze ni nini hasa lengo lake.. labda kuna ujumbe fulani anataka kufikishia jamii sasa kwenye paper ndo alipata hiyo nafasi. sijui ni nani anamfananisha na zombie...lets be patient, time will tell
Hilo nalo la kuunganisha mambo kwa gundi yawezekana maana bongo kila mtu ni mjanja mjanja tuu
 
Huo ni ujumbe pia kuwa hakukuwa na kufundishwa chochote shuleni. Si elimu wala tabia
 
Haya ndio watoto wenu wamejaza kwenye karatasi za kujibia mtihani wa kidato cha nne....

Tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele....

attachment.php
Ndio hayo mauzauza aliyaona kwenye kitu cha BAM.chezea bam weye?
 
Hivi hiyo picha imechorwa kwenye "academic booklet" kweli au wanataka
kuleta siasa hadi kwa watoto wetu!

Swali la msingi sana hili. Kwani hiyo karatasi inavyoonekana, si karatasi rasmi ya kujibia mitihani, labda kama zimebadilishwa. Ninavyofahamu karatasi rasmi zinakuwa na mistari ambayo urahisisha uandishi. Hiyo inayoonyeshwa ni kama ipo plain!!

Pengine kuna mdau aliyekuwepo kwenye huo mkutano, atuelezee zaidi.
 
Sasa hiyo picha siyo promo zaidi ya huo ujinga?

This doctor is out of her mind.

Hivyo ndo kuanika wazi madudu haya ili watu wajue kwamba hawatungi tu hizi habari, angeweka na namba ya mtahiniwa kabisa doubting Thomases tusije kusema wamechora wao NECTA.

Not that hilo litasaidia kama mtu anataka kuweka conspiracy theory.

Mie nimesikitishwa NECTA hawana database oriented website, everything is provided in a flat table, hata kufanya analytics kazi.

Halafu hata hito flat table bora ingekuwa formatted in a data mining friendly way.

Wanafunzi wamefeli mitihani, NECTA nayo imefeli ku present kufeli kwa wanafunzi, kila mtu analipua lipua tu nchi hii.

Sasa hivi ukitaka kupanga shule kuanzia ya kwanza mpaka ya mwisho huwezi, hata kama unataka kufanya "GAP Analysis" kati ya shule kumi bora na shule kumi zilizofanya vibaya kabisa itabidi ufanye kazi manually wakati data zote zipo kwenye computer.

Ukitaka ku download data zote, hasa kwetu huko ambako internet ya manati watu wengine wangetaka kudownload halafu waangalie baadaye kwenye vilaptop, NECTA hata hawajaweka a downloadable file.

Mpaka huyu jamaa katusaidia hapa Downloading: CSEE2012.zip - Uploadingit (the index is olevel2.html)

Hivi hawa watu wanajisumbua hata kuangalia dunia inaendaje siku hizi?

NECTA wamepata F katika presentation kwa kutokuwa na dynamic website wala ku present data in a nicely formatted way.
 
Back
Top Bottom