Ndalichako akata mzizi wa fitna

Ndalichako akata mzizi wa fitna

Kilichokua kinaniskitisha mtoto aliepata chini ya 50 hapewi sup mpala apass hilo somo.... Ila wanadadavua kinoma. Chuo kufikisha hiyo 50 ni mziki... Ile kweli ilikua siasa
 
Nampongeza sana kwa maamzi hayo yenye faida kwa taifa. Namshauri akumbuke kuzifufua shule maalum zilizotelekezwa ambazo zimezalisha wataalam wengi mfano Moshi tech, Ifunda, Tanga tech, Kibaha, Mzumbe, Tabora na nyingine zote ambazo zimebaki kama magofu tu!
Kuzifufua ni ndoto wanaochaguliwa shule hizo toka primary hawaendi wanaosoma hapo ni kwa hisani ya mkuu wa shule na afisa elimu
 
nyie mnataka tusielewe kitu tukishika vyeti vya makaka zetu walioko chuo.mwishoe kuuliza kaka gpa ndo nini!!!!
Unashika cha kwako???? Subiri ushike cha kwako na soma kwa bidii ili uwe na hamu ya kuingia chuo ndo uyajue hayo ya GPA huko, sasa ukianza kuzijulia huku chini hutakuwa na hamu ya kufika zinakohusika, unakuwa kama mwanamke ama mwanaume anaenza umalaya akiwa mdogo so akifika umri wa kuolewa anakuwa hana hamu ya kuolewa kwa kuwa alishaliwa ama amekula mpaka kumelegea kote
 
big up sana afute na alama 'E' na B+..arudishe kama enzi zetu
 
Hongera mama kwa uamuzi huu maana nilikuwa naona na viazi nao eti wamefauli unakuta mtu hana kitu kichwani laikin kafaulu hapa heshima ya elimu italudi na ningeoba mtihani wa form two utiliwe mkazo iwe kama zama ukishindwa kufika wastani wa thelasini unabaki hapo hapo hakuna kwenda mbele,
 
Wengi waliomaliza zamani waliopata div3 wamekosa chuo mwaka huu, sababu ya upuuzi wa gpa.
 
Naombeni msaada kwenye hili jamani...
Kwa vile GPA imeshafutwa, he matokeo ya kidato cha nne yanayotarajia kutolewa hivi punde watatumia mfumo gani, Division au GPA ?
 
Huyu Mama Prof Ndarichako ni jembe la ukweli, unashusha kiwango cha kufaulu ili iweje???

EAC wanatucheka, tungetoa wasomi vilaza, kazi kubebana tuu!!

Hongera Prof, tumbua majipu yote turudi kwenye system za kimataifa!!
 
Safi sana hizo GPA wizi mtupu failure inafichwa kwa mwamvuli wa pass
 
nyie mnataka tusielewe kitu tukishika vyeti vya makaka zetu walioko chuo.mwishoe kuuliza kaka gpa ndo nini!!!!
Kwahiyo yafanyike makolokocho ili nyie mje muweze kusoma vyeti vya kaka zenu, soma ili uje ushike cheti chako
 
Mama jembe kweli unajua anachokifanya
 
Haya weee raha hiyo manake mi hata hiyo GPA nilikua sielewi ni vitu gani kwa hawa A level na O level
 
Watoto wahipange maana miaka hii wamezidi kudeka full mayai. Hawasomi wanaaandika verse tu kwenye booklet lakini unashangaa ana division five.
 
Back
Top Bottom