Huyu mama yuko vizuri....kata mzizi
wa BRN
Wanabodi huyo kiongozi wa hiyo BRN si ndio yule aliyekuwa dalali wa kuiuza TTCL!! Sasa unategemea kweli kuwa ataleta mradi wa kuiendeleza nchi? BRN ni mradi unaotuongezea madeni yetu ya nje huko World Bank wala hakuna manufaa yeyote!!! Kuna haja ya kuufanyia tathmini ya kina [ forensic audit] ili kujua kama kuna umuhimu wa kuendelea nao.