Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Anawatisha nn lowasa? Coz baba wa taifa angekuwa hai sidhani Jaman hata angechukua fomu
 
Umepitwa na wakati wewe,kwani Lowassa pia si alisema hatoki CCM- hao wanatazama upepo halafu utawasikia chonde chonde tulia baba

Alisema asiyempenda atoke yeye, sijui nini kimetokea hadi katoka?? Uchu wa madaraka mbaya!!!
 
Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM"

Kauli ya Nchimbi inakuja siku moja tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?

please,we need source of information!
 
Naona sehemu mfumo kama inataka kugoma kuingia chadema, ila tushakata kichwa chenu mbowe na wafuasi wake wanakisafisha.
 
hata lowasa alisema hivyo hivyo...asiyenitaka ccm ahame yeye na mimi sitoki ccm.....leo kiko wapi?..masaa 24 ni mengi mno kwa wanasiasa
 
Lowassa hakuwa na hana cha kupoteza...

Kubaki kwake CCM kusingempa nafasi ya kufanya harakati zozote za kisiasa na walau kwa sasa ana nafasi japo siamini kama itakuwa kwa wepesi kama alivyokuwa CCM kabla ya kukatwa...

Naona hao milioni 2 watakao mfuata EL ni wanachama wa kawaida kwi kwi kwi...maana Sophia Simba naye hana mpango ...
 
Huyo Lowassa aliingizwa kingi na sasa wanamuacha aendelee kuugulia maumivu ya kukatwa bila ganzi peke yake...

Naona hao milioni 2 watakao mfuata EL ni wanachama wa kawaida kwi kwi kwi...maana Sophia Simba naye hana mpango ...

Huyu nae mchumia tumbo huyu unafiki tu..ata ukibaki ccm hautokua na faida yoyote nimkama makapi!

Watanzania wengi bado hamuijui siasa ingawa mnajiaminisha mnaijuwa.

Sofia Simba ndio mwenyekiti wa UWT
Emanuel Nchimbi bado ni mjumbe wa kamati kuu.

Lowasa/Ukawa wanahitaji insiders kule ccm kwa kazi maalum na michezo hii mtu kama Lowasa ni bingwa wa mikakati wataiuwa ccm kuanzia hukohuko ndani.
 
Situliambiwa ukipewa hela kula na kura yako utaamua umpe nani...
siasa zenu za jamii forum mtaisoma namba tuu,,,lowasa hana chake si CCM wala ukawa..
tupo hapaaaaa
 
Back
Top Bottom