Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Dotto Mnzava

R I P
Joined
Mar 6, 2014
Posts
864
Reaction score
427
Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM"

Kauli ya Nchimbi inakuja siku moja tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?
 
Huyo Lowassa aliingizwa kingi na sasa wanamuacha aendelee kuugulia maumivu ya kukatwa bila ganzi peke yake...
 
Naona hao milioni 2 watakao mfuata EL ni wanachama wa kawaida kwi kwi kwi...maana Sophia Simba naye hana mpango ...
 
Kauli inakuja siku chache,

Zmepita siku ngap tangu ahame?
 
Umepitwa na wakati wewe,kwani Lowassa pia si alisema hatoki CCM- hao wanatazama upepo halafu utawasikia chonde chonde tulia baba
 
Naona hao milioni 2 watakao mfuata EL ni wanachama wa kawaida kwi kwi kwi...maana Sophia Simba naye hana mpango ...

Lowasa hakuwa na wafuasi alikuwa na wachumia tumbo waliokuwa wakiandamana naye kubomoa pesa yake.Hawezi kuwa na wanachama milioni mbili alikuwa akimpa matumaini hewa Mbowe ili amkubali.Mbowe kaingia chaka na utoto wake wa mjini.Pale hotelini bahari beach makundi yaliyokuwa naye kwenye misafara yalitoroka na kulala mbele wakamwacha yeye na mkewe na ndugu yake ole medeye!!! Hana watu Lowasa alikuwa na wapambe wala hela zake tu.
 
Baada ya siku mbili utasikia " ccm sio mama yangu "
 
source plz na wala hajasema kama Kina Nchimbi watamfuata!
 
Huyo Lowassa aliingizwa kingi na sasa wanamuacha aendelee kuugulia maumivu ya kukatwa bila ganzi peke yake...

Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM"

Kauli ya Nchimbi inakuja siku chache tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?

Wa muhimu zaidi ni haoa hapo chini na sio Nchimbi, jambo jema la kujiuliza kati ya huo umati Nchimbi au Sophia Simba wapo hapo?

MMGL2493.jpg

MMGL2536.jpg

MMGL2533.jpg
 
Nchimbi yuko makini sana...hawezi kujiingiza kwenye jumba bovu chadema
 
Attachments

  • 1438177263648.jpg
    1438177263648.jpg
    18.5 KB · Views: 660
ccm mnahangaika subirini msiwe na haraka ata kifaru mwenyewe alisema hivyo hivyo hii nivita lazima ujuwe kupigana ili kufikia malengo!!!
 
Lowasa hakuwa na wafuasi alikuwa na wachumia tumbo waliokuwa wakiandamana naye kubomoa pesa yake.Hawezi kuwa na wanachama milioni mbili alikuwa akimpa matumaini hewa Mbowe ili amkubali.Mbowe kaingia chaka na utoto wake wa mjini.Pale hotelini bahari beach makundi yaliyokuwa naye kwenye misafara yalitoroka na kulala mbele wakamwacha yeye na mkewe na ndugu yake ole medeye!!! Hana watu Lowasa alikuwa na wapambe wala hela zake tu.

CHEMA CHAJIUZA kibaya(magufuli) CHAJITEMBEZA

MMGL2536.jpg

MMGL2533.jpg

UMASIKINI WA MAWAZO NI UMASIKINI KUPITA UMASIKINI WOTE- BY J.K.NYERERE (R.I.P)
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Lowassa aliwashukuru tu nawala hakusema kuwa na wao wamehamia CDM na pia mbona alimshukuru na Anna Makinda kwani na yy anaenda CDM tujaribu kuwa wakweli.
 
Back
Top Bottom