Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Hii vita itapigwa ndani na nje ndio maana wengne watabaki na wengine watatoka, huo ndio mkakati. Just wait and see.
Usiniambie kuwa anabaki kudukua magoli ya mkono
Hii vita itapigwa ndani na nje ndio maana wengne watabaki na wengine watatoka, huo ndio mkakati. Just wait and see.
Wewe ni mtu unayeshabikia siasa kwa kutumia macho mawili bila kutumia lile la tatu. Sasa, wakitoka wote, akina nani watakuwa wanatupa taarifa za ndani za ccm?! Tumia akili, politics ni zaidi ya uijuavyo!Huyo Lowassa aliingizwa kingi na sasa wanamuacha aendelee kuugulia maumivu ya kukatwa bila ganzi peke yake...
Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijaham
a CCM na sina mpango wa kuhama CCM
"
Kauli ya Nchimbi inakuja siku moja tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.
Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?[/QUOTEN
Nivizuri akaendelea kubaki CCM ili awe anampa Lowassa up dates za mikakati na mipango yao.
Watanzania wengi bado hamuijui siasa ingawa mnajiaminisha mnaijuwa.
Sofia Simba ndio mwenyekiti wa UWT
Emanuel Nchimbi bado ni mjumbe wa kamati kuu.
Lowasa/Ukawa wanahitaji insiders kule ccm kwa kazi maalum na michezo hii mtu kama Lowasa ni bingwa wa mikakati wataiuwa ccm kuanzia hukohuko ndani.
Usiniambie kuwa anabaki kudukua magoli ya mkono
Sophia Simba amesema muache kumzushia mitandaoni...yeye CCM damu....(magazeti ya leo) ..si ajabu hata Nchimbi mmemzushia
Wanamtamani alokuwa anawapiga mabomu....kweli kama ni sahihi nakili kuwa sijui politics....Huyo nchimbi mwenyewe hana alichofanya jimboni kwake alikuwa anashinda kwa bao la mkono tu akiwa waziri alikuwa anawaonea wafuasi cdm kwa kuruhusu policcm kupiga mabomu nani ampokee huko cdm? kwa jimbo gani watamkubali?
Wanamtamani alokuwa anawapiga mabomu....kweli kama ni sahihi nakili kuwa sijui politics....
Sa sijui na yeye atatimua mbio mabomu yakianza...au kwa kuwa yanamjua (old master) yatamkwepa