Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

ninashangaa sana watu wanahoji kwanini nchimbi hafuatani na lowassa, mnajua kabisa nchimbi yuko kamati kuu ya ccm, leo akiondoka mapema hivi tutapata wapi taarifa za kamati zinazo kaa kumjadili eddo, LOWASSA NI TAASISI KUBWA.. inabidi uwe genius sana kujua haya mambo.
 
Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM"

Kauli ya Nchimbi inakuja siku moja tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?
Ina maana ccm itachangiwa kupigwa tokea ndani na nje .hakuna kupona safari hii.
 
Jimbo la Kahama na Ushetu mkoani Shinyanga hakuna CCM. Wenyeviti wote wa vitongoji na mabalozi wao wote nakundi kubwa la wanachama wa ccm pamoja na jumuia ya umoja wa vijana wote wilayani humo wamehamia CHADEMA. Huku mke wa mwenyekiti wa CCM wiliya amechukuwa form kupitia chadema kugombea udiwani akishindana na mumewe kupitia CCM.

Source radio One habari.
 
Huyo mwanamke atakatwa na mumewe soon.
 
Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM"

Kauli ya Nchimbi inakuja siku moja tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?

Kwan hata kamanda lowasa c alisema atahama leo yuko wap?pipoozz??
 
Naona hao milioni 2 watakao mfuata EL ni wanachama wa kawaida kwi kwi kwi...maana Sophia Simba naye hana mpango ...

Hivi ukipewa kuchagua kura milioni2za wanachama wa kawaida na kura tatu za vigogo utachukua zipi, pole sana.
 
ccm mnahangaika subirini msiwe na haraka ata kifaru mwenyewe alisema hivyo hivyo hii nivita lazima ujuwe kupigana ili kufikia malengo!!!

Tatizo la hawa washikaji wanadhani kuwa kuna vita ndogo na kubwa lazima wajue vita ni vita hata kama ni ya watoto,NA MDHARAU MWIBA........Oh ka mwiba kenyewe kalikuwa kadogo tu hati ndo kamefanya mguu wote kukatwa, hiyo itakuwa kesho tena sio leo jana hairudi. hahahaaaaaaa
 
Hivi ukipewa kuchagua kura milioni2za wanachama wa kawaida na kura tatu za vigogo utachukua zipi, pole sana.

Taharifa toka Tarime (my sis ametua muda si mrefu) vijana wenu CDM wanachana kadi....wakurya hawataniwi....muhesabu na wanaotoka pia...kwi kwi kwi
 
Teh teh teh
...... Umesababisha nikacheka kwa nguvu hadi watu nilio kaa nao karibu wamenishangaa.
Mkuu huoni jamaa kateguka mkono kwa kutafuta goli bafuni?

3.JPG
 
Back
Top Bottom