Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Nchimbi: Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM

Hii vita itapigwa ndani na nje ndio maana wengne watabaki na wengine watatoka, huo ndio mkakati. Just wait and see.
 
Hana huo ujanja bado anamtumikia ------ chat yake ipande!
 
Yaani hizi ndiyo akili za mtu mzima kweli ?Mtu kushukuru watu it implies nao wanahama ???
 
Kwa nyomi kama hii Nchimbi hawezi kuwa ----- ... Msimlishe maneno mdomoni ... Anaenda kugombea Jimbo la Komba kupitia CHADEMA ... Mazungumzo yanaendelea ... CCM bye Bye ...
Wa muhimu zaidi ni haoa hapo chini na sio Nchimbi, jambo jema la kujiuliza kati ya huo umati Nchimbi au Sophia Simba wapo hapo?

MMGL2493.jpg


MMGL2536.jpg


MMGL2533.jpg
 
Ukawa wanaheshimu mawazo yake.
Lowassa aliwasifia kusimamia katiba ya CCM na hakusema wahame CCM.
 
Zitto kabwe alisema atakuwa wa mwisho kuhama chadema,Lowasa alisema hawezi kuhama CCM,Moses Machali alikana kuhamia ACT na leo hao wote wako vyama tofauti. Mwanasiasa sio mtu wa kuamini(ZZK)
 
Umepitwa na wakati wewe,kwani Lowassa pia si alisema hatoki CCM- hao wanatazama upepo halafu utawasikia chonde chonde tulia baba

nakuunga mkono kwa hilo mkuu pia wakae watambue hawataondoka wote wengine watabaki chichiem jina tu kwa ajili ya kutuvujishia taarifa
 
Wapendwa, Ndugu Emanuel Nchimbi, muda mchache uliopita amesema "Napenda kuwataarifu watanzania Wenzangu kuwa Sijahama CCM na sina mpango wa kuhama CCM"

Kauli ya Nchimbi inakuja siku moja tu mara baada ya Edward Lowasa, kuwafagilia akina Nchimbi, Kimbisa, Sophia Simba na wengineo akiwemo Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, kuwa walimuunga mkono kwa asilimia kubwa sana.

Je, hii inaashiria nini ndani ya siasa hizi za Tanzania kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu?

View attachment 272072
 
Chezea msanii?subirini hayo matumaini aliyowapa kuwa he is powerful financially and politically mtayaona October 25 Haipo mbali. Kuna wasanii wenzake wapo busy sasa hv majimboni kutafuta ridhaa wakiibuka ndio mtajua kama ana nguvu au la! Wahindi aliwadanganya na kuwahakikishia anashinda wanalia chini ya shuka Huyu bana katuingiza mjini
 
Wether ni ukweli au uongo, meliongelea wapi hili?...
 
Back
Top Bottom