Wewe ni mtu unayeshabikia siasa kwa kutumia macho mawili bila kutumia lile la tatu. Sasa, wakitoka wote, akina nani watakuwa wanatupa taarifa za ndani za ccm?! Tumia akili, politics ni zaidi ya uijuavyo!
Mbona taarifa za kukatwa walizijua baada ya kukatwa. KAMATI KUU ilikutana kama kawaida ila hawakualikwa Team Lowassa ndo mana kati ya wajumbe wote wa Kamati kuu hao watatu pekee ndo wanalia