Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

Nchimbi is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus

Vingereza vya nini sasa ndo Maana nakaaga jukwaa la Mapenzi,
Lissu si muhaini

Pia nauliza Mbona hawasemi kosa la NCHIMBI hadharani? Wanaficha nini?
Mshuhudie Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais aliyepokwa uanachama wa chama chake na kuondolewa katika ofisi yake kuu kwa sababu ya:
  1. Kutetea wananchi, raia waliotekwa nyara kinyume cha sheria na jeshi la polisi nchini Tanzania.
  2. Kupigania mabadiliko ya kisheria ya Katiba mabadiliko yanayotakiwa yazingatiwe.
  3. Kupinga kwa nguvu zote ndani ya chama tawala na Serikali mbinu za mauaji yanayofadhiliwa na dola wakati wa Uchaguzi Mkuu.
  4. Kusimama kama mtetezi wa wananchi, akitetea kwa ujasiri viongozi wa upinzani ndani ya vikao vya siri vya chama tawala.
Yeye si samaki mfu anayetembea tu kufuata mkondo wa maji. Yeye ni samaki aliye hai anayekaidi dhoruba na kuogelea kinyume cha mkondo. Kwani ni samaki mfu pekee ambaye siku zote hufuata upande wa mkondo wa maji. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.


 
Tayari 🔥 Hii hapa kwa Kiswahili, nikiweka mvuto ule ule:
---

Mtazameni Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais ambaye alinyang'anywa uanachama wake wa chama na kufukuzwa katika ofisi yake ya heshima kubwa kwa sababu ya:

1. Kutetea umma, raia waliotekwa nyara kinyume cha sheria na vyombo vya dola nchini Tanzania
2. Kupigania mabadiliko ya kisheria ya Katiba ipasavyo, kwa mujibu wa mabadiliko ya wakati
3. Kupinga kwa nguvu zote ndani ya chama tawala na Serikali utaratibu wa mauaji yaliyoidhinishwa na dola wakati wa Uchaguzi Mkuu
4. Kutenda kama mtetezi wa raia, kwa ujasiri kuwatetea viongozi wa upinzani ndani ya ngome za mikutano ya chama tawala.

Yeye si samaki mfu anayeelea tu kwa utaratibu na kila mkondo wa maji. Yeye ni samaki aliye hai anayepinga mkondo na kuelea kinyume na mtiririko. Kwa kuwa ni samaki mfu tu ndiye anayeelea kila wakati kwa mwelekeo wa maji.
*Sauti ya umma, ni sauti ya Mungu.
 
Hongera sana Mkuu.
Kiingereza chako kimeenda shule.
Inaonekana elimu ipo ya kutosha sio ya hapa na pale.

NAOMBA NIANDIKE KWA KISWAHILI ILI IWE FAIDA KWA WENGINE.

Mimi imani yangu inaniambia CCM wanatuhadaha watanganyika, Wanamtengeneza Mgombea Imara wa Chama Chao mwaka 2030.

Naamini Nchimbi atagombea urais Mwaka 2030 CCM.
 
Behold Emmanuel Nchimbi, the Vice President who was stripped of his party membership and ousted from his exalted office on account of
1. Advocating for the populus, citizens subjected to extrajudicial abductions by the constabulary in Tanzania

2. Championing a de jure metamorphosis of the Constitution mutatis mutandis

3. Vehemently repudiating intra muros within the ruling party and the State the modus operandi of state sanctioned homicides during the General Election

4. Acting as defensor civium ,audaciously defending opposition leaders within the sanctum of the ruling party's conclaves.

He is not a cadaverous fish drifting pro forma with every current. He is piscis vivus , a LIVE FISH that defies the torrent and swims contra fluxum. For it is piscis mortuus alone the dead fish that invariably follows the direction of every water. Vox populi, vox Dei.

View attachment 3662609
View attachment 3662610
Britanicca
If he is really now a piscis vivus how will he survive the irregular currents?

You are using those terms more spiritually than normal context. That's to say if you are describing it in spiritual context then you are saying he is alive and active rather than being dead or inactive.

But if you go down the route to describe it as Vesica Piscis then this is just a symbol that represent life and vitality.

I'm still reading you between the lines on this one.

Because yafikirisha.
 
Hongera sana Mkuu.
Kiingereza chako kimeenda shule.
Inaonekana elimu ipo ya kutosha sio ya hapa na pale.

NAOMBA NIANDIKE KWA KISWAHILI ILI IWE FAIDA KWA WENGINE.

Mimi imani yangu inaniambia CCM wanatuhadaha watanganyika, Wanamtengeneza Mgombea Imara wa Chama Chao mwaka 2030.

Naamini Nchimbi atagombea urais Mwaka 2030 CCM.
hapana mkuu, hiyo sio hadaa..kumfuta uanachama ni doa kwakwe kwani amekosa maadili hivo kama siasa zitakuwa za upana na uwazi kama watamsimamisha itawapunguzia marks ikiwa upinzani utakuwa imara na tukiwa na KATIBA MPYA...sioni kama watamsimamisha.
 
hapana mkuu, hiyo sio hadaa..kumfuta uanachama ni doa kwakwe kwani amekosa maadili hivo kama siasa zitakuwa za upana na uwazi kama watamsimamisha itawapunguzia marks ikiwa upinzani utakuwa imara na tukiwa na KATIBA MPYA...sioni kama watamsimamisha.
Kama Samia alisimamishwa na ''akapita'' wewe unazungumzia doa gani? Kama hili ''chogo brazaman'' la misheni town limeweza kuwa makamu ni nini kitashindikana? Kuhusu katiba mpya.... Ikipatikana katiba mpya ya wananchi kwa maslahi ya wananchi, CCM haiwezi kupita kwa namna yoyote, hata wamsimamishe nani
 
Huyu anaitwa Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais alofukuzwa uanachama na kupoteza nafasi yake kisa
1. Kutetea wananchi wanaopotezwa na polis Tanzania
2. Kudai mabadiliko ya Katiba
3. Kupinga Ndani ya Chama na serikali Mauaji kipindi cha Uchaguzi Mkuu
4. Kuwatetea sana viongozi wa vyama vya Upinzani Ndani ya vikao vya Chama Tawala,

ninaweza kumuona Kama Samaki aliye hai hafuati mwelekeo wa kila maji, is not the dead fish which always follow the direct of every water

Mchimba kisima huingia kisimani. Alikuwa Ndani ya CCM . Uchawini kila mmoja ni mchawi
 
Back
Top Bottom