Mkiliman
JF-Expert Member
- Jun 8, 2011
- 983
- 340
Jana hukumuona akiwaliza watu Qunu?
Haaahaaahaa!! Aliwalizaje?
Jana hukumuona akiwaliza watu Qunu?
Hata mwanafunzi wa form 1 angeweza kusoma historia ile na watu wangelia pengine zaidi.
Nilipouona ule waraka wa siri wa Mnyika leo nimeamini viongozi CDM ni hatari kiasi gani, Mods mmeutoa huku lakini najua utasambaakama ----- kwenye blogs nyingine
Aiwaliza watu Qunu kutokana na matendo ya kizalendo ya Mwl. Nyerere si kwa aliyoyafanya yeye.Jana hukumuona akiwaliza watu Qunu?
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.
MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!
Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.
Hivi Nchimbi ana akili kweli? Bomu walipue wao, ushahidi wapewe wao ni ujinga wa namna gani?
Kama Rais hataunda tume huru tutakaa na ushahidi wetu hadi 2015 tutakapogawa CD kwa wapiga kura. Hiyo ndiyo mahakama pekee ya umma Tanzania

Katika hiyo list ya watu wenye viwanda vya uongo,basi huyo bosi wako JK,hatakosa kuwemo kwenye hiyo list.Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.
My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.
Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.
MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!
Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.
KIONGOZI ,huyo dada ni wa kuhurumiwa sana ! tangu alipohongwa zile kanga za ccm zinazochuja baada ya kuzifua mara moja kawa kama mwehu .Katika hiyo list ya watu wenye viwanda vya uongo,basi huyo bosi wako JK,hatakosa kuwemo kwenye hiyo list.
Si wote tunakumbuka jinsi mwaka jana alipokuwa kwenye mkutano wa AU,kule Addis Ababa,alipoulizwa ni nini kilisababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana,ndipo alipowajibu waandishi hao wa habari kuwa,gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa ajili ya kuchochea uasi jeshini!!
Na akaapa kuwa katika kipindi chote atakapokuwa madarakani kamwe hatalifungulia gazeti la Mwanahalisi.
Sasa kwa uwongo huo wa dhahiri wa kueleza sababu tofauti ya zile zilizosababisha kufungiwa gazeti la Mwanahalisi,hivi tukisema JK naye anamiliki kiwanda cha uongo,tutakuwa tunakosea?!!
Katika hiyo list ya watu wenye viwanda vya uongo,basi huyo bosi wako JK,hatakosa kuwemo kwenye hiyo list.
Si wote tunakumbuka jinsi mwaka jana alipokuwa kwenye mkutano wa AU,kule Addis Ababa,alipoulizwa ni nini kilisababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana,ndipo alipowajibu waandishi hao wa habari kuwa,gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa ajili ya kuchochea uasi jeshini!!
Na akaapa kuwa katika kipindi chote atakapokuwa madarakani kamwe hatalifungulia gazeti la Mwanahalisi.
Sasa kwa uwongo huo wa dhahiri wa kueleza sababu tofauti ya zile zilizosababisha kufungiwa gazeti la Mwanahalisi,hivi tukisema JK naye anamiliki kiwanda cha uongo,tutakuwa tunakosea?!!
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.
My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.
Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
uhusiano gani kati ya habari ya Kikwete kuwaliza watu na swali uliloulizwa? Amewaliza watu wni yeye no amekufa? Kumbe wenye mawazo ya ovyo kama Nchimbi mpo wengi hivi.Jana hukumuona akiwaliza watu Qunu?
Aiwaliza watu Qunu kutokana na matendo ya kizalendo ya Mwl. Nyerere si kwa aliyoyafanya yeye.
Mwalimu Nyerere na Mandela waliowaliza watu na si Kikwete. Hiyo ni historia nzuri ya Mwalimu ambayo Mtanzania yeyote anaweza kutamba nayo mbele mataifa.