Nchimbi: Hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu Soweto

Nilipouona ule waraka wa siri wa Mnyika leo nimeamini viongozi CDM ni hatari kiasi gani, Mods mmeutoa huku lakini najua utasambaakama ----- kwenye blogs nyingine

Huo waraka upo wapi jamani, kama kuna blog upo nijuze ni blog gani???
 
Yaliyompata Celdment Mabina ndio hayo yatakayowapata walitupa bomu Soweto
 
Jana hukumuona akiwaliza watu Qunu?
Aiwaliza watu Qunu kutokana na matendo ya kizalendo ya Mwl. Nyerere si kwa aliyoyafanya yeye.
Mwalimu Nyerere na Mandela waliowaliza watu na si Kikwete. Hiyo ni historia nzuri ya Mwalimu ambayo Mtanzania yeyote anaweza kutamba nayo mbele mataifa.
 
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.

MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!

Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.

Kwa kuwa Nchimbi ana uhakika na serikali basi wale wote wanaosema wanao mkanda na hawatoi wanaidhalilisha serikali nakushauri chukua hatua za kuwamakata na kuwapeleka mahakamani sema wanafitinisha serikali na wananchi .Uone moto wake .
 
Chimbi inamaana wale waliokufa si wantanzania,ila wanaccm ndiyo watanzania ndiyo mngeunda tume ya uchunguzi.
 
Hivi Nchimbi ana akili kweli? Bomu walipue wao, ushahidi wapewe wao ni ujinga wa namna gani?
Kama Rais hataunda tume huru tutakaa na ushahidi wetu hadi 2015 tutakapogawa CD kwa wapiga kura. Hiyo ndiyo mahakama pekee ya umma Tanzania

Mungi mi nadhani hiyo ya kugawa CD za tukio zima 2015 itakata mzizi wa fitina, tena inawekwa kabisa U-tube na kwenye mitandao ya kijamii, tena clip hata zirushwe kwa simu ili kila mwananchi atoe hukumu yake kwa ushahidi thabiti kabisa!
Ikibidi uzinduzi wa CD ya ushahidi ufanyike kabisaaa mwembe yanga, kwa kumbukumbu ya list of shame
 
Hivi Nchimbi ana akili kweli? Bomu walipue wao, ushahidi wapewe wao ni ujinga wa namna gani?
Kama Rais hataunda tume huru tutakaa na ushahidi wetu hadi 2015 tutakapogawa CD kwa wapiga kura. Hiyo ndiyo mahakama pekee ya umma Tanzania

Mungi mi nadhani hiyo ya kugawa CD za tukio zima 2015 itakata mzizi wa fitina, tena inawekwa kabisa youtube na kwenye mitandao ya kijamii, tena clip hata zirushwe kwa simu ila kila mwananchi atoe hukumu yake kwa ushahidi thabiti kabisa!
Ikipidi uzinduzi wa CD ya ushahidi ufanyike kabisaaa mwembe yanga, kwa kumbukumbu ya list of shame
 
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete
Katika hiyo list ya watu wenye viwanda vya uongo,basi huyo bosi wako JK,hatakosa kuwemo kwenye hiyo list.

Si wote tunakumbuka jinsi mwaka jana alipokuwa kwenye mkutano wa AU,kule Addis Ababa,alipoulizwa ni nini kilisababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana,ndipo alipowajibu waandishi hao wa habari kuwa,gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa ajili ya kuchochea uasi jeshini!!

Na akaapa kuwa katika kipindi chote atakapokuwa madarakani kamwe hatalifungulia gazeti la Mwanahalisi.

Sasa kwa uwongo huo wa dhahiri wa kueleza sababu tofauti ya zile zilizosababisha kufungiwa gazeti la Mwanahalisi,hivi tukisema JK naye anamiliki kiwanda cha uongo,tutakuwa tunakosea?!!
 
Akijibu hoja za wabunge jioni hii,waziri wa mambo ya ndani,mh.Emmanuel Nchimbi amesema hakuna tume itakayoundwa kuchunguza tukio la bomu lililotokea Soweto mkoani Arusha katika mkutano wa CHADEMA.Badala yake amewataka wale wanaodai kuwa na ushahidi waupeleke na amewataka waache kusema kila siku tu kuwa wana ushahidi bila kuuwasilisha.

MY TAKE:
Hivi kweli huyu ndio mshauri wa Raisi?!!

Hakika,wateule wa JK ni janga kwa ustawi wa nchii hii.

Mimi naona kwa tulipofikia kama mtu kuitwa mvunjifu wa amani heri uitwe tu kama tukio likitokea na mtu una ushahidi ni kuusambaza kwa wananchi tu then watuachie cc wananchi tuunde tume yetu ya upelelezi na kuwakama waarifu na tunatoa hukumu cc wenyewe
 
TUME ITAUNDWA RASMI november 2015 baada ya wananchi ( cdm ) kuchukua madaraka ya nchi , wakati huo NCHIMBI atakuwa kwenye kizimba cha mashahidi mahakamani akisubiri kutoa ushahidi mbele ya MWANASHERIA wa jamhuri JAMES MILLYA .
 
Katika hiyo list ya watu wenye viwanda vya uongo,basi huyo bosi wako JK,hatakosa kuwemo kwenye hiyo list.

Si wote tunakumbuka jinsi mwaka jana alipokuwa kwenye mkutano wa AU,kule Addis Ababa,alipoulizwa ni nini kilisababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana,ndipo alipowajibu waandishi hao wa habari kuwa,gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa ajili ya kuchochea uasi jeshini!!

Na akaapa kuwa katika kipindi chote atakapokuwa madarakani kamwe hatalifungulia gazeti la Mwanahalisi.

Sasa kwa uwongo huo wa dhahiri wa kueleza sababu tofauti ya zile zilizosababisha kufungiwa gazeti la Mwanahalisi,hivi tukisema JK naye anamiliki kiwanda cha uongo,tutakuwa tunakosea?!!
KIONGOZI ,huyo dada ni wa kuhurumiwa sana ! tangu alipohongwa zile kanga za ccm zinazochuja baada ya kuzifua mara moja kawa kama mwehu .
 
Katika hiyo list ya watu wenye viwanda vya uongo,basi huyo bosi wako JK,hatakosa kuwemo kwenye hiyo list.

Si wote tunakumbuka jinsi mwaka jana alipokuwa kwenye mkutano wa AU,kule Addis Ababa,alipoulizwa ni nini kilisababisha gazeti la Mwanahalisi kufungiwa kwa kipindi kisichojulikana,ndipo alipowajibu waandishi hao wa habari kuwa,gazeti la Mwanahalisi limefungiwa kwa ajili ya kuchochea uasi jeshini!!

Na akaapa kuwa katika kipindi chote atakapokuwa madarakani kamwe hatalifungulia gazeti la Mwanahalisi.

Sasa kwa uwongo huo wa dhahiri wa kueleza sababu tofauti ya zile zilizosababisha kufungiwa gazeti la Mwanahalisi,hivi tukisema JK naye anamiliki kiwanda cha uongo,tutakuwa tunakosea?!!

Leta ushahidi, la sivyo ni wewe usemae uongo.
 
Nchimbi kawapa za uso. Hakuna tume itakayoundwa na nyinyi mnaosema ushahidi mnao endeleeni kutembea nao kwenye briefcase.

My take: hamna ushahidi wala nini mna uongo tu. Hii itakuwa kama ya Zitto kapiga kelele imeundwa kamati hana jina wala akaunti.

Kuna watu wana viwanda vya uongo - Kikwete

FaizaFoxy kwa akili yako isivyotofauti na akili ya Pimbi unataka watanzania waamini ujuha wako pamoja na Nchimbi kwamba hakuna bomu lililoripuka Arusha(Soweto)Shame up on you!
 
Aiwaliza watu Qunu kutokana na matendo ya kizalendo ya Mwl. Nyerere si kwa aliyoyafanya yeye.
Mwalimu Nyerere na Mandela waliowaliza watu na si Kikwete. Hiyo ni historia nzuri ya Mwalimu ambayo Mtanzania yeyote anaweza kutamba nayo mbele mataifa.

Dead man don't count.

Kikwete asingeipamba wangeisikia?
 
Back
Top Bottom