Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,828
- 5,303
Mlikuwa mnashangilia na kulipa support shetani kwa kuiba kura, kuteka na kuua wapinzani, sasa limewafikia na ndio limeanza, list ya wana CCM waliodharirishwa,kupotezwa au kuuwawa inaanza kukua,wapi polepole, Ndugai, Nchimbi,simbachawene,Gwajima,Mhagama,Majaliwa(huyu hata ubunge alikatazwa kugombea),yule mjinga wa Bumbuli,Ummy etcNchimbi ni mwanaCCM mwenzetu na makamu wa rais mstaafu.
Zaidi ya yote ni mtanzania.
Tunaomba serikali iseme aliko au yeye ajitokeze.
Tunajua yupo hai.
Sisi watanzania wa kusini tunajiuliza maswali mengi mfano:
1. Kwa nini asionekane kwenye uapisho wa makamu mpya wa rais ikiwa kujihudhuru kwake ni kwa kawaida?.
2. Kwa nini kama kuna kosa au makosa kafanya asishtakiwe?
3. Serikali haioni kwamba watu wanazidi kupata ushahidi kuwa watu wote waliopotea au kutekwa waliikosea serikali.
4. Familia yake nayo imeshikwa na kigugumizi kusema alipo baba wa familia?
5. Kazi na utu! Utu una maana gani?.
Naomba yeyote aliemshikilia amuachie au kama ni yeye ameamua kujifungia sehemu ajitokeze.
Tanzania hii ni yetu na kila mtu aliyemo atapita kama upepo.
Kwa niamba ya watu wa kusini mwa Tanzania.
Mungu aibariki Tanzania.
Ukisha apishwa sio kaimu tena ni full VP sasaEN sio mwanaccm mzee . Huyu kashafukuzwa uanachama ia bado n VP mpaka tarehe 4 septemba japo haudhurii kazini kwasababu za kiofisi yaan kumpisha kaimu VP. Soon utamuona tarehe 4 kuwa nasubira
Hapo ndio moto utazidi kuchochewq ndani ya sisiemu na njeImeisha hiyo... You will. Never see him again..
Kuna kaka wa balozi aliongea sana, haikusaidia kitu.Hana ndugu kwanza? Hao wakiongea kumtafuta ndugu yao uzito utakuwepo
Lazima ataonekana siku ya kukabidhi ofisi. Tuwe na subira.
Mlikuwa mnashangilia na kulipa support shetani kwa kuiba kura, kuteka na kuua wapinzani, sasa limewafikia na ndio limeanza, list ya wana CCM waliodharirishwa,kupotezwa au kuuwawa inaanza kukua,wapi polepole, Ndugai, Nchimbi,simbachawene,Gwajima,Mhagama,Majaliwa(huyu hata ubunge alikatazwa kugombea),yule mjinga wa Bumbuli,Ummy etc
Tulia alikatazwa na ajiengue kwenye u spika.