Nchii yetu hakuna Chama cha siasa chenye wanafiki kama CCM

Nchii yetu hakuna Chama cha siasa chenye wanafiki kama CCM

Real wala sina salamu

CCM na watu wake ni wanaa kichizi

Sijapata kuona wanafiki kama wanaccm.

Wao wenyewe wametuleea Nchimbi

Wakampamba weee oo ndio chaguo letu oo anakijua chama o sijui amekulia ndani ya CHAMA

SASA BAADA TUU KUJIUZULUU .

WAMEJIFUNGIA SIJUI HATA WAMEJIKUSANYA SAA NGAPI.

Wamekuja na Jamaa yetu wa Ddm

Sasa ivi ooo ni mzuri .oo haumizi watu ooo sijuii

Kaaa nao mbali haw jamaaa maaan ni wanafikia vibaya sana.

Pinga kwa hoja

Mwisho nimemsikia yule jama sijui ni wa Jumuya w Wazazi leusi flani

Jana ameongea vitu vya kijinga sana

Eti ukitaka kuu nyoka mpige kichwa
Kwa tafsri yangu ndogo wapo wengine ndani ya Ccm.

Wanafikii tuu na hawanaga hata diri wal direction

Na kwenye CCM wanaongozaa kuwa wanafaki na machawa na Wachawi wanaongozaa ni watu wenye asili Kanda ya Ziwa ukiacha mkoa wa Kagera
Mafano sijui Makonda,msukuma ,cheki akina biteko akina bash wana hawa kichizi
Kumbe mkuu ulikuwa huwajui!kama wewe umenyooka huwezi kukaa na hao mbwa ni watu hatari sana
 
Back
Top Bottom