God bless Tanganyika....
Godbless lema.
God bless Tanganyika....
God bless Tanganyika....
Khaa!! hii nayo ni sababu tosha kabisa ya kuvunja Muungano :wave:Ki historia wakati ujerumani inajigawia Tanganyika kuwa koloni lake, ilikuwa super power, jambo la kujiuliza ni kwa nini super power ya wakati huo ikaamua kuacha sehemu nyingi tuu za africa na kujimegea Tanganyika?
Tunakumbuka pamoja na u super power wake ujerumani pia walikuwa na ushawishi zaidi, walikuwa kaka mkubwa ndio maana hata mkutano wenyewe wa kuligawa bara la africa ulifanyika kwao berlin.
Maswali ya kujiuliza ni kwanini kaka mkubwa akaamua kujigawia Tanganyika? Jibu ni rahisi tuu, Tanganyika is the blessed land, wajerumani wanalitambua hilo ila maajabu ni kwamba sisi waTanganyika hatulitambui, tena wengine mpaka leo hii.
Kama nchi kosa kubwa lilofanya ni kufuta jina la ubarikiwa tulilopewa na Mungu na kuambatana na jina la laana sijui tulilopewa na maono ya mwanafunzi!
Hebu tuirudishe nchi yetu iliyo barikiwa and tuone reaction toka kwa Mungu!
God bress Tanganyika, God bress Africa!
jina lina udini hili......dogo aliweka initial ya ya jina lake na dini yakeKi historia wakati ujerumani inajigawia Tanganyika kuwa koloni lake, ilikuwa super power, jambo la kujiuliza ni kwa nini super power ya wakati huo ikaamua kuacha sehemu nyingi tuu za africa na kujimegea Tanganyika?
Tunakumbuka pamoja na u super power wake ujerumani pia walikuwa na ushawishi zaidi, walikuwa kaka mkubwa ndio maana hata mkutano wenyewe wa kuligawa bara la africa ulifanyika kwao berlin.
Maswali ya kujiuliza ni kwanini kaka mkubwa akaamua kujigawia Tanganyika? Jibu ni rahisi tuu, Tanganyika is the blessed land, wajerumani wanalitambua hilo ila maajabu ni kwamba sisi waTanganyika hatulitambui, tena wengine mpaka leo hii.
Kama nchi kosa kubwa lilofanya ni kufuta jina la ubarikiwa tulilopewa na Mungu na kuambatana na jina la laana sijui tulilopewa na maono ya mwanafunzi!
Hebu tuirudishe nchi yetu iliyo barikiwa and tuone reaction toka kwa Mungu!
God bress Tanganyika, God bress Africa!
Msalimie ........................Godless lema
Huu nao ni upumbavu...mnapigania jina?
Ebu tiririka vizuri...sijakupata. Vinginevyo nitaamini umeshidwa kujenga hoja ama ya kukubali au kukataa kile nilichoeleze.Utumwa huo pimbi wewe.. Unakataa mpaka jina lako u ajipendekeza na na sisi.. Au unapenda hiyo zannnnn huh.... Aibu mtu mzima hiyo wacga kukataa unyika wako huo.. Jina limekaa kimsitu msitu kinoma mpaka mwenyewako unaliogopa..
Hebu tujiulize tarehe 9 deckila mwaka huwa tuna sherehekea nini? Jana nilisikia upotoshaji toka kwa Msekwa ati Tanganyika ilifutwa. Hii mi kweli au ni muendelezo wa siasa maji taka za Maccm??