Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Tanganyika hipo sema imemezwa na Zanzibar, na uhuru wake hilipewa dec 1961 bendera kupandishwa M.l.
kilimanjalo
 
Sio nchi,ilikufa tokea tarehe 26,april 1964.
Sasa fursa ipo,ya kuweza kuifufua kama wabunge wa bunge la katiba wakikubaliana.
 
Sio nchi,ilikufa tokea tarehe 26,april 1964.
Sasa fursa ipo,ya kuweza kuifufua kama wabunge wa bunge la katiba wakikubaliana.

Ni nchi ila haina wananchi waelevu wengi ni mburula wanaibiwa kila kitu huku wameka kimya hata ziwa nyasa linataka kuibiwa
 
Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !

Hiyo Tanganyika wanayoikataa wao ni ipi? Labda hii:
 
Rais wa nchi hiyo (Tanganyika) ni nani?

Ni mhishimiwa saana Jakaya Mrisho Kikwete. Ila yeye anajinasibu kuwa ni rais wa Tanganyika na Tanzania. Lakini havuki maji kwenda Zenj bila ruhusa ya Dr. Shein.
Kama unabisha, mwambie huyo mtoto wa mkulima aende Zenj Hapokelewi hata na Sheha. Kiini macho ndo kazi yao. Tnaganyika has never died and will never die. Labda Dr. Shein aivue Zanziba utaifa wake. Wameamsha jibwa lililo lala kazi kwao sasa
 
Kumbe!!!!
 
Kabla hapajatokea jibu muafaka ,nazidi kuulizia ,kuna hizi sherehe za kila mwaka ifikapo tarehe tisa ya mwezi wa kuminambili ,zinasherekewa kwa kila hali na mali na mabilioni ya hela hutumika ,hivi hapa kuna nini cha kusheherekewa ? Zanzibar wameuwa sherehe zao za uhuru wanasheherekea Mapinduzi na kwa vile waleo hawaijui Tanganyika kwa nini wasiwe wanasherehekea ile tarehe ya Muungano tu ,Je tukisema mahesabu haya ya hela za tarehe 9/12 kama si wizi ni kitu gani ? Wako wanaonufaika sana sana na hela hizi na ndio maana hawataki watu wajue kama Tanganyika ni nchi au sio nchi ,

Just sasa wamezuka na style mpya ya wengi wenu hamuifahamu Tanganyika , iweje waleo waifahamu Zanzibar wasiifahamu Tanganyika ? hivi huko mashuleni ,yaani saa ingine unaiona hali ya wanafunzi kufeli na wanaopasi hawajui kuandika ,haya ndio matunda ya viongozi wajuu kuwafanya watu wazima wenzao mazuzu ,CCM inawapoteza na kuwapotosha umma huu ,na imefikia hawana hata haya wala kuona aibu ,na watu wanawashangaa sana ,iko siku hawa itabidi washitakiwe na kupandishwa kwenye viriri naamini kabisa lazima atatokea kiongozi na alie shujaa na kuwaondolea uvivu viongozi wanaojifanya vipofu ,viongozi ambao wamekuwa kama wanachunga ng'ombe na mbuzi ,wakiwapitisha kwenye miba au tope wao hawajali.
 
Ni mhishimiwa saana Jakaya Mrisho Kikwete. Ila yeye anajinasibu kuwa ni rais wa Tanganyika na Tanzania. Lakini havuki maji kwenda Zenj bila ruhusa ya Dr. Shein.
Kama unabisha, mwambie huyo mtoto wa mkulima aende Zenj Hapokelewi hata na Sheha. Kiini macho ndo kazi yao. Tnaganyika has never died and will never die. Labda Dr. Shein aivue Zanziba utaifa wake. Wameamsha jibwa lililo lala kazi kwao sasa
Tanganyika limebakia ziwa tu pale Kigoma ,wenye Tanganyika wamelala huku Zanzibar akitumia Methali isemayo Aliyelala usimwamshe Wametumia Fursa hiyo kuvunja katiba kufanya watakavyo ! Hivyo Kama Tanganyika ni Nchi basi itakuwa ni Nchi iliyozubaa sana tena saaana kwani Zanzibar wameweza kukwepa Gharama za kuhudumia Muungano kwa Miaka 47 bila shinikizo lolote toka Tanganyika ! Huku Pia wakitumia pesa nyingi kuubembeleza muungano.
 
Ni nchi ila haina wananchi waelevu wengi ni mburula wanaibiwa kila kitu huku wameka kimya hata ziwa nyasa linataka kuibiwa

Kama ni Nchi basi itakuwa ni Nchi iliyozubaa saaana ! Maana Zanzibar waliweza kukwepa Garama za muungano kwa Miaka 47 pasipo kushitukiwa na bado Tanganyika inawanyenyekea sana inatumia pesa nyingi kubembeleza muungano Tanganyika ni Nchi iliyolala.
 
Sio nchi,ilikufa tokea tarehe 26,april 1964.
Sasa fursa ipo,ya kuweza kuifufua kama wabunge wa bunge la katiba wakikubaliana.

Ni Kama Nchi hv ! Japo imezubaa sana haina Sauti mbele ya Zanzibar ambao wanavunja katiba na wanafanya watakavyo Hakuna wa kuwauliza hivyo Tanganyika ni Nchi ambayo haijielewi elewi hv .
 
Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !

inategemea hilo swali unamuuliza nani maana utapata majibu tofauti kulingana na mtu mwenyewe unayemuuliza. kimfano ukimuuliza Wassira au Ole Sendeka watakuambia siyo nchi wakati Mchungaji Mtikila atakujibu kuwa ni nchi.
 
Kama ni Nchi basi itakuwa ni Nchi iliyozubaa saaana ! Maana Zanzibar waliweza kukwepa Garama za muungano kwa Miaka 47 pasipo kushitukiwa na bado Tanganyika inawanyenyekea sana inatumia pesa nyingi kubembeleza muungano Tanganyika ni Nchi iliyolala.

Hisa za Zanzibar kwenye iliyokuwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki ndizo zilizotumika kuendeshea Muungano! Sasa aliyelala nani hapo?
 
Hisa za Zanzibar kwenye iliyokuwa Bodi ya Sarafu ya Afrika Mashariki ndizo zilizotumika kuendeshea Muungano! Sasa aliyelala nani hapo?

Hapana Buchanan, hela hiyo ni hisa ya Zanzibar as an investment 11.5% katika BOT outside ya fundings za Muungano. Msipotoshe mambo kwa kukurupuka tu.

Masuala ya fundings za muungano yalikuwa yawemo katika katiba ya kudumu ambayo ingalitungwa Mwaka mmoja baada ya kipindi cha mpito. Katiba mpya ingalikuwa rattified by Bunge na BLM na hayo hayakutokea. Isitoshe katika ku streamline kero za muungano hili suala liliongelewa na maamuzi ya kuunda kamati ya Fedha ya pamoja ya kushughulikia mambo ya Muungano na kufunguliwa account ya pamoja ya kuendesha muungano by 2006. KITU AMBACHO HADI HII LEO HAKIACHUKULIWA HATUA KI VITENDO.

Isitoshe kuna mabilioni ya hela ambazo ni msahama wa Zanzibar katika mapato yanayohusiana na taasisi za muungano arreas zisiszopunguwa 18bln ndio wameanza miaka mtatu ilopita kulipa Zanzibar kidogo kidogo badili ya lumpsum katika 2006. HALAFU UTASIKIA. ETI TANGANYIKA BDO INAIDAI GHARAMA ZA MUUNGANO, AU BILI YA TANESCO.
 
Last edited by a moderator:
Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !

Cross multiplication:

JMT ni Muungano wa nchi mbili, i.e, Tanganyika na Zanzibar. Likewise, ikiwa Zanzibar ni nchi, na Tanganyika ni nchi pia. Therefore, Tanganyika ni NCHI.

Hence PROVED.
 
Cross multiplication:

JMT ni Muungano wa nchi mbili, i.e, Tanganyika na Zanzibar. Likewise, ikiwa Zanzibar ni nchi, na Tanganyika ni nchi pia. Therefore, Tanganyika ni NCHI.

Hence PROVED.

Hili jinamizi la utanganyika linawasumbua sana watu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom