Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
kwa mjerumani Tanganyika manayake the land of minerals, fertile land! unalijua hilo?
sasa jina zuri hilo unalifuta kwa jina hamnazo au nothing? is it fair, say mtoto wako umemname kwa jina Tajiri then babu yake aje ampe jina masikini utaridhika au utaanzisha tifu?