mayuni
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 404
- 32
Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.
Apprishieti....uuuuh😀😀😀😀😀
Hapana sisi sio watanganyika kwa kuwa Tanganyika ilikufa toka tarehe 26 aprili 64, hata kama wao ni waznz sisi ni watz tu, tuidumishe tz hata bila znz.
MUNGU mwenyewe aliwatenga , kuwabeba na kuwapendelea waisraeliUkimuona Mtu anautukuza Utanganyika ujue mtu huyo ni Shetani, Shetani siku zote huhubili utengano, umimi, uwao. Hutenganisha watu ambao wanapenda umoja. Jitengeni nao watu wa jinsi hiyo.
Ichukue basi unataka nani akuletee.Tanganyika Kwanza Mengine Baadaye
Mkuu eti wanasema wewe una mimba ya Lizaboni
Tanganyika itasaidia nini? Ni jina tu ambalo halibadilishi chochote. Nchi ile ile, watu wale wale.
Tanganyika Kwanza Mengine Baadaye
Ichukue basi unataka nani akuletee.
We dada umezaliwa baada ya 1964 Tanganyika umeijulia wapi??
Huna hata miaka 30 halafu unataka Tanganyika hovyo Sana akili za kushikiwa hizi.....