Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Hili jinamizi la utanganyika linawasumbua sana watu!

Linakusumbua wewe ulekuwa hutaki asili yako. Actually kama huitaki Tanganyika then Tanzania isiwepo lakini Zanzibar itabaki kuwa nchi since 7AD, upo?
 
Kimsingi Tanzania ndio Tanganyika na siku Muungano ukivunjika basi tutaendelea na jina la Tanzania kwa maana ya Tanganyika + Azania (a country spanning from lake Tanganyika to the coast of Indian ocean which is called Azania) which as well include Tanga and all plains (Nyika) like serengeti, Selous plains, savana zote za central regions na mambo lukuki ; upo hapo????
 
mkuu, kwa hiyo kumbe jina la zanzibar halikuingia kwenye jina la tanzania? basi huu muungano ni feki.
 
mkuu, kwa hiyo kumbe jina la zanzibar halikuingia kwenye jina la tanzania? basi huu muungano ni feki.

anakupotosha huyo,Tanganyika ilitoa TAN,Zanzibar ilitoa ZAN.then kwny Azania wakachukua IA
 
Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !

Hakuna Nchi inaitwa Tanganyika Duniani.

Hiyo kaitafute makumbusho ya Taifa.
 
Hakuna Nchi inaitwa Tanganyika Duniani.

Hiyo kaitafute makumbusho ya Taifa.

Shakespear katika kitabu chake cha comedy of errors kuna Character kama wewe. Nakuona unaishi katika ile.nchi ya kitabu cha Shaaban Robert - Kusadikika
 
ni nchi sasa mm nawashangaa hawa wanaoiona kuwa si nchi wakati ni nchi kwanini wanatufanya hhivyo

Hebu tuwekeni sawa ,hivi Tanganyika ni nchi au si Nchi ? Isije kuwa Zanzibar wanapiga mekelele wakati wenyeji hawaelewi hata Tanganyika ni kitu gani !
 
wala halitusumbui kabisa mkuu bali tulipumbazwa na ndipo tumefunguka tumeamka
na kujikuta kumbe tulilazwa wakati nchi tunayo

1395853084126.jpg
wanaokataa tanganyika ni.hao anaosema ghandi wanalinda system
 
Kikwete amehabarisha karibu mambo mengi yarudishwe au yaruhusiwe kuwepo na kufanywa na Zanzibar yenyewe ,sasa ikiwa hivyo nini faida ya serikali ya Muungano au uwepo wake ,Tatizo mnaamini kuwa ndege ya malaysia imeanguka baharini .
 
mimi sio mtanganyika,
sikuzaliwa Tanganyika,
maana ya neno Tanganyika, siijui,
Tanganyikailitoka wapi, sijui,
ilibatizwa jina na nani, sijui

nilizaliwa Tanzania,
nilizaliwa Afrika
nilizaliwa duniani
nlizaliwa na mwanadamu

kwa hiyo;

mimi ni mtanzania
mimi ni mwafrika
mimi ni mdunia
mimi ni mwanadamu

maana ya Tanzania, najua
maana ya Afrika, najua
maana ya Dunia, najua
maana ya mwandamu, najua

nawauliza wazanzibari,
nini maana ya Zanzibari,
nani aliipa jina Zanzibari,
kwa nini wajivunie uzanzibari?
kwa nini wasijivunie utanzania?

Isha mashauz.....
 
Ukimuona Mtu anautukuza Utanganyika ujue mtu huyo ni Shetani, Shetani siku zote huhubili utengano, umimi, uwao. Hutenganisha watu ambao wanapenda umoja. Jitengeni nao watu wa jinsi hiyo.
 
Wewe ndo utadumisha Tanzania,i hate this name Tanzania b'coz it contain a portion of Zenjibar which does not exist here in Tanganyika,long live Tanganyika!
Mwisho utakuja kutuambia kwamba wewe si mnyakyusa , kisa eti umezaliwa Dar es salaam tena unajivuna kabisa nimezaliwa Ocean Road!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom