Ki historia wakati ujerumani inajigawia Tanganyika kuwa koloni lake, ilikuwa super power, jambo la kujiuliza ni kwa nini super power ya wakati huo ikaamua kuacha sehemu nyingi tuu za africa na kujimegea Tanganyika?
Tunakumbuka pamoja na u super power wake ujerumani pia walikuwa na ushawishi zaidi, walikuwa kaka mkubwa ndio maana hata mkutano wenyewe wa kuligawa bara la africa ulifanyika kwao berlin.
Maswali ya kujiuliza ni kwanini kaka mkubwa akaamua kujigawia Tanganyika? Jibu ni rahisi tuu, Tanganyika is the blessed land, wajerumani wanalitambua hilo ila maajabu ni kwamba sisi waTanganyika hatulitambui, tena wengine mpaka leo hii.
Kama nchi kosa kubwa lilofanya ni kufuta jina la ubarikiwa tulilopewa na Mungu na kuambatana na jina la laana sijui tulilopewa na maono ya mwanafunzi!
Hebu tuirudishe nchi yetu iliyo barikiwa and tuone reaction toka kwa Mungu!
God bress Tanganyika, God bress Africa!