Nchi yetu inaitwa Tanganyika

Nchi yetu inaitwa Tanganyika

1.Where no priest will be shot dead
2.MP represents more than 157000 ,not 16000
3.Where there is freedom of religion;whether a Hindu,Muslim,Christian,Animist will worship without fear
4.Where Tanganyika shall not be an Islamic or Christian state
5.While our people have been denied to hold land on other part of the union,we will ask who
own land in our beloved Tanganyika to be clear of their loyalty
6.Tanganyika parliament will serve the interests of Tanganyikans

A day is coming!Tanganyika shall be free from shackles of the unequal union,where Tanganyikans will no be asked to subsidies other countries
 
Ki historia wakati ujerumani inajigawia Tanganyika kuwa koloni lake, ilikuwa super power, jambo la kujiuliza ni kwa nini super power ya wakati huo ikaamua kuacha sehemu nyingi tuu za africa na kujimegea Tanganyika?

Tunakumbuka pamoja na u super power wake ujerumani pia walikuwa na ushawishi zaidi, walikuwa kaka mkubwa ndio maana hata mkutano wenyewe wa kuligawa bara la africa ulifanyika kwao berlin.

Maswali ya kujiuliza ni kwanini kaka mkubwa akaamua kujigawia Tanganyika? Jibu ni rahisi tuu, Tanganyika is the blessed land, wajerumani wanalitambua hilo ila maajabu ni kwamba sisi waTanganyika hatulitambui, tena wengine mpaka leo hii.

Kama nchi kosa kubwa lilofanya ni kufuta jina la ubarikiwa tulilopewa na Mungu na kuambatana na jina la laana sijui tulilopewa na maono ya mwanafunzi!

Hebu tuirudishe nchi yetu iliyo barikiwa and tuone reaction toka kwa Mungu!

God bress Tanganyika, God bress Africa!
 
AMEN, AMEN!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Unawezaje kuitwa Eeka Mangi halafu from no where ukajiita Kasimba G! Tanganyika will stand as Tanganyika no replacement! Nina raha sana 1961 was the real Day! Oooooh my Tanganyika! Karibu nyumbani baada ya kuwa ugenini kwa muda mrefu!
 
Jina Tanganyika halikubaliki...! Hata kama hao wenzentu wataamua kututenga kamwe tusiruhusu kuangukia kwenye mtego wao
 
Jina Tanganyika halikubaliki...! Hata kama hao wenzentu wataamua kututenga kamwe tusiruhusu kuangukia kwenye mtego wao

Halikubaliki kwa nani? Hii ndiyo nchi iliyoungana na Zanzibar. Kama halikubaliki ja Zanzibar halikubaliki. Tuwe na Tanzania Bara (Tanganyika) na Tanzania Visiwani (Zanzibar). Lakini kama jina Zanzibar litatumika ni lazima Tanganyika litumike. Full stop. Huhitaji digrii ya chuo kikuu kulijua hilo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Jina Tanganyika halikubaliki...! Hata kama hao wenzentu wataamua kututenga kamwe tusiruhusu kuangukia kwenye mtego wao

Umeelewa kilichoandikwa? naona kama hujaelewa kabisa. Unajua asili ya jina Tanzania limetoka wapi? Pamoja na wanasiasa wetu kutaka kuuficha ukweli, kizazi hiki ni cha watu wadadisi! Tumeishajua mwanafunzi mtanzania mwenye asili ya Asia ndie alitupa kama nchi jina Tanzania kwenye quiz ya kutunga jina incase Tanganyika ingeungana na Zanzibar!
 
Haya niliyaandika kwingine , nayarudia hapa:

Kumbuka siungi mkono serikali tatu !
Sitaki kusikia Jina lilohasisiwa na Mkoloni linatumika kama jina la nchi yangu. Tutumie jina la Tanzania. Sababu ni kuwa jina hili litazidi kuimarisha historia ya nchi yetu (endapo Zanzibar watagoma kuyeyusha serikali yao na kukubali kuwa na serikali moja ya Jamhuri ya Muungano wa Watu wa Tanzania).

Kama wanzibar watatutenga Jina la Tanzania litaweka kukumbukumbu sawa kuwa tuliwahi (Watu wanaoishi eneo la bara la JMT) kuungana na Wazanzibari. Na hili litakuwa jambo jema kwa kumbukumbu ya vizazi vijavyo.

Huo ndiyo mchango wangu.

Hiki ni kimojawapo ya mambo makuu yanayonifanya kukataa kutumia tena jina La Tanganyika. Tanganyika limekaa katika mtindo wa kutugawa...umeona mwenye unasema linalandana na ziwa Tanganyika...hiyo maaana yake nini...kwamba na Kilimanjaro watataka wasikie jina lenye uhusiano na walipo, Songea hivyo hivyo mto Ruvuma, Dodoma na Bwawa lao maarufu Mtera...nakadhalika nakadhalika.

Faida chache za kubaki na jina Tanzania
1. Jina hili litatufanya watanzania (ambao wewe unataka tuitwe watanganyika) tuendelea kushikamana bila kutofautishana kwa misingi mingine.

2. Jina hili litaweka kumbukumbu sawa kuwa tuliwahi kuunga na nchi nyingine.

3. Jina hili litakuwa fimbo nzuri ya kuwatandika wale wenzetu waliotutenga(God forbid)-kama Wazanzibar watakubaliana na viongozi wao wanaowashawishi na kuwalazimisha kutubagua sisi watu wata Tanzania.

4. Jina hili litaendelea kutupa faraja na kujenga uimara wetu katika kuendeleza nia njema ya kuunganishwa waafrika kama wasisi wetu walivyokuwa wamefikiria hapo awali.

5. Jina hili litaonyesha ukarimu wetu kwa waafrika wenzetu.

6....
7.....
8..
Zipo nyingi faida za kuwaendelea kutumia jina la Tanzania.
 
Haya niliyaandika kwingine , nayarudia hapa:

kunakitu unamis hapo! hilo jina lako tukuka Tanzania unajua limekujaje? Je unauhakika lilikuja kibaraka au ki laana? Yeah, kweli Tanzania imdkuwa kimbilio a.K.A jamvi la wageni, je ujamvi wetu wa wageni tunanufaika au kuna faida kama taifa tunapata? au sifa, kama ni sifa is it fair enough?
 
Na kwenye herufi mbili za mwisho akaweka herufi za dini yake na jina lake sasa kama,na majina kimsingi ndiyo yanayokufanya uwe unavyoitwa kwa maana,jina lako lanushape wewe,hatima yako ipo ndani ya jina lako,sishangazwi sana na misuguano ya kidini tunayoendelea nayo hivi sasa.Karibu nyumbani Tanganyika,nitafurahi sana siku nitakaposhikilia pasi yangu ya kusafiria ikiwa imeandikwa ni pasi ya kitanganyika.I can't wait people.
Umeelewa kilichoandikwa? naona kama hujaelewa kabisa. Unajua asili ya jina Tanzania limetoka wapi? Pamoja na wanasiasa wetu kutaka kuuficha ukweli, kizazi hiki ni cha watu wadadisi! Tumeishajua mwanafunzi mtanzania mwenye asili ya Asia ndie alitupa kama nchi jina Tanzania kwenye quiz ya kutunga jina incase Tanganyika ingeungana na Zanzibar!
 
kunakitu unamis hapo! 1. hilo jina lako tukuka Tanzania unajua limekujaje? 2. Je unauhakika lilikuja kibaraka au ki laana? Yeah, kweli Tanzania imdkuwa kimbilio a.K.A jamvi la wageni, 3. je ujamvi wetu wa wageni tunanufaika au kuna faida kama taifa tunapata? au 4. sifa, kama ni sifa is it fair enough?

1. Umeishaeleza jinsi "lilivyopatikana" post #6 ya uzi huu.

2. Mkuu Ukiliangalia na kulitafakari jina la Tanzania kwa fikra za ki'laana' na ki'ubaraka' unapunguza nguvu ya hoja ya kile unachokizungumzia. Kwa maoni yangu njia sahihi ya Ukiliangalia na kulitafakari jina la Tanzania ni kujikita katika mantiki na nia hasa ya kuwepo jina la Tanzania. Ukiielewa vizuri mantiki na nia hasa ya kuwepo kwa Tanzania hasa ukilenga ustawi wa watanzania na waafrika kwa ujumla hauwezi kuendelea kufufua uwepo wa jina Tanganyika kuwa mbadala wa Tanzania.

3. & 4. Haya ni masuala ya msingi kuangalia kwa makini, binafsi, sioni kama umuhimu wa masuala haya unauhusiano wa moja kwa moja ufufuaji wa matumizi ya jina Tanganyika. Muasula uliyoyaeleza hapa yanafaa kujadiliwa na kufafanuliwa na maamuzi juu yake yatolewe kwa ajili ya kuweka usawa katika kufidika kwa namna ya "win-win". Haya haya hayahitaji Tanganyika kufufuliwa.
 
Nimeamini watanganyika kweli mbulula,hivi hadi leo miaka hamsini hamjajijua utaifa wenu ni upi!kazi kweli kuishi na nyinyi.
 
mpigakelele, unaweza kumpa mtoto wako jina laana, au hapendeki, au sipendeki, au mkosi, au maskini. Jua kua jina japo ni rahisi kutamka lina ashirio halisi, ukimwita maskini mwanao usitegemee awe tajiri, au ukimwita muuaji siku akiua usishangae, hebu fanya karesearch kidoogo, tumekuwa taifa la wavivu, wezi, waongo n.K hebu tutafute source!
 
Na kwenye herufi mbili za mwisho akaweka herufi za dini yake na jina lake sasa kama,na majina kimsingi ndiyo yanayokufanya uwe unavyoitwa kwa maana,jina lako lanushape wewe,hatima yako ipo ndani ya jina lako,sishangazwi sana na misuguano ya kidini tunayoendelea nayo hivi sasa.Karibu nyumbani Tanganyika,nitafurahi sana siku nitakaposhikilia pasi yangu ya kusafiria ikiwa imeandikwa ni pasi ya kitanganyika.I can't wait people.

Hebu nipe muono wa hizo herufi za mwisho inawezekana kunakitu nimekikosa
 
Nimeamini watanganyika kweli mbulula,hivi hadi leo miaka hamsini hamjajijua utaifa wenu ni upi!kazi kweli kuishi na nyinyi.

hebu tucheke ndugu, nadhani hatawewe umezaliwa wakati wa Tanzania, mimi nawalaumu saana waliokuwa viongozi wa Tanganyika, hivi nini kilitokea mpaka kuuuwa kabisa utaifa wa Tanganyika? Waliona nini, na tanganyika ilikosa nini kiasi cha kutaka kuifuta kabisa katika historia?

Nyie wenzetu wazenji hamkuvutiwa na kitendo hicho, nakumbuka wakati nakua walikuw wanatukataza kuiita zanzibar, ila Tanzania visiwani, lakini wazenj hamkuifuta zanzibar yenu hivyo badala ya propaganda ya tanzania visiwani mkawa mnaita tanzania zanzibar, huku kwetu we swallowed the propaganda! nawapongeza kwa hilo!
 
mpigakelele, unaweza kumpa mtoto wako jina laana, au hapendeki, au sipendeki, au mkosi, au maskini. Jua kua jina japo ni rahisi kutamka lina ashirio halisi, ukimwita maskini mwanao usitegemee awe tajiri, au ukimwita muuaji siku akiua usishangae, hebu fanya karesearch kidoogo, tumekuwa taifa la wavivu, wezi, waongo n.K hebu tutafute source!

Nina imani kuwa kwa JF ID yangu ya MpigaKelele hukusudii kuwaaminisha walimwengu kuwa mimi ni mpigakelele namba moja....(Natania !!!)

Ni kweli research zipo na zinasaidai sana kutatua matatizo yanayozikabili jamii. Kwa maana hiyo hiyo hiyo research ya majina ya watu na tabia zao yaweza kuwa na umuhimu pia kama imeishakuwa "verified'.

Lakini research hii ya kusema jina la Tanzania ni la laana (kama nimekunuu sawasawa) huku Tanganyika ni jina la baraka nina mashaka nayo. Binafsi "baraka" inayolenga kuwagawa waafrika tena wakati huu ambao tunaanza kujitambua naipinga waziwazi na ki-ukweli si hitaji kamwe. Nina imani pia kuwa na wewe hauko tayari kuona Waafrika wanarudishwa nyuma kwa jengewa mazingira ya kubaguana.

Ni hayo mkuu.
 
Ungezama kwenye uzi wangu nimeeleza kwanini jina Tanganyika linaashilia baraka toka kwa Mungu ulielewa hapo? Hebu twende taratibu nikuelimishe,
 
Nimeamini watanganyika kweli mbulula,hivi hadi leo miaka hamsini hamjajijua utaifa wenu ni upi!kazi kweli kuishi na nyinyi.
kama sikose juzi katika uzi wa "Dr. Shein kuteua makadhi watatu wa mahaka ya kadhi' nili kueleza hatari iliyopo ya ninyi kulazimisha kujitenga kutoka JMT... ngoja ni kukumbushe nilichokueleza:

Kuna wanzanzibar kule hawataki kabisa Zanzibar ijitenge na Tanzania...! Ila kwa sababu ya ubabe na uoga wa watawala fulani huko basi wazanzibar hawa wanaendelea kukaa kimya.

Na hili kuthibitisha haya...siku Zanzibar ikijitenga kutoka Muungano wa Tanzania. Wazanzibar wengi wataomba kuamia Tanzania.

Ila mbaya zaidi kwa Zanzibar inayolazimisha kujitenga (kwa kutengeneza mazingira ya kuikwa Tanzania) ni kuwa wazanzibar waliokimya watalazimisha Kisiwa kilicho na ikulu ya Zanzibar kiwe sehemu ya Jamhuri ya Tanzania. Na hapa ndipo hawa wanaoshadadia kujitenga kwa Zanzibar kutoka Tanzania watakapoonja joto ya jiwe.

Subirini muone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom