Nchi kama Tanzania ukiwa CHADEMA ni tatizo kubwa sana

KARNE YA 21 MATUSI YANAITWA FALSAFA

CHADEMA INA VIAZI SIJAWAHI ONA
 
Attachments

  • Screenshot_20220618-100342.jpg
    Screenshot_20220618-100342.jpg
    72.2 KB · Views: 2
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.
Wewe mwenyewe ndiye ndezi,hivi hukuona Yule dhalim mwendazake alivyotumia mabilioni ya kodi zetu kununua vijana toka Chadema na kuwapa nafasi za uwaziri baada ya kugundua kuwa huko CCM yamejaa mapooza tupu? Na hao hao ACT Wazalendo hujui wametokea wapi? Hoja zako hazina mashino hata kidogo umeandika kindezi sana. Naona hucho chuo chenu huko CCM cha kuzalisha wapumbavu kinapiga kazi sana. Kigogo 2014 umetokota hapa
 
Viazi kama wewe.
CDM inawanyima watu usingizi. Kipenzi chetu jpm kajitahidi kukiua lakini wapi. Baada ya mazungumzo na CDM tumeambiwa ccm imeamua kwenda mwendo wa katiba. Elimu bure na sgr chadema walipoleta ccm waliwacheka sasa wanajivunia. Tusubiri serikali za majimbo uone nchi ikichanganya. CDM wana matatizo yao lakini siyo hiyo pich uliyowakilisha. ACT inanguvu zanzibar lakini kwa tanganyika CDM ni mwamba.
 
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.
Tatizo la chadema kushindwa kwenye uchaguzi sio tume huru wala katiba mpya. Chama bado hakija kubalika na watanzania walio wengi
 
Watakufaje wakati wapo online. Matusi na kashfa tu. Hawaamini hata katika neno Demokrasia pale unapoenda kinyume na mawazo yao. They are here to stay : online .
Bora aliye online kuliko aliyejifungia na kula majani na kuivuta Moshi wa majani na kuzurura kuwaandama na kuwatesa wenye mawazo mbadala.
 
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.
Sasa ukiwa sisiemu si ndiyo unaonekana kunguni kabisa. Chama gani kinaendeshwa kama kikundi cha watu/koo fulani! Chama kinakumbatia mafisadi na wapiga dili! Kinakumbatia wageni na kuwadharau wazawa!

Kwa miaka zaidi ya 40, kimeifanya nchi kuwa shamba la bibi!
 
Naomba tafasiri/maana ya ''kindezi'', maana sisi wengine ni wazee tuliokulia kwenye maadili tofauti na wewe ambaye unaonekana kabisa kuwa na chuki binafsi dhidi ya CHADEMA na Mbowe.
 
Nimesoma sana siasa za maziwa makuu. Nimefuatilia sana siasa za vyama vya upinzani Afrika, Marekani na Ulaya. Ila sijawahi kuona chama cha kindezi kama CHADEMA, kule Twitter wanakiita UFIPA.

Binafsi sio CHADEMA kama ni chama cha siasa, mimi naona ni Business enterprise tu ambayo iko kupiga tu hela ila hakuna mipango thabiti na ya dhati ya kuongoza dola kuna siku.

Chama hiki ni cha ajabu sana. Tell me, for the past 10 years, CHADEMA imeibua kijana gani ambaye ana ushawishi zaidi kwa sasa Tanzania? Unataka kusema Pambalu, MMM au Hilda Newton? Hapana, Chama hiki hakina mipango endelevu ya ku-groom vijana, so unadhani lifetime ya hiki chama imekaaje?

Hii ni tofauti na vyama vingi duniani, CHADEMA kinakumbatia watu wale wale, tena mbaya zaidi wenye kabila lile lile na mwenyekiti yule yule ambaye hofu yake kubwa, nafasi ya mwenyekiti usiende mkoa mwingine, bali ibaki Kaskazini. Unadhani chama kinakuwaje?

ACT wako makini sana. Naona naiona Kabisa ikikua kwa kasi, ikiwa na malengo na mitazamo thabiti kabisa ya kukuza chama chao. Kwanza nisiikosee heshima ACT kwani inaongoza Serikali Zanzibar kitu ambacho CHADEMA itabaki kukiota tu. Sio matusi, ni ukweli.

CHAMA wana organized legion online, something inayowapa jeuri ya kudhani kwamba wanaushawishi kwenye jamii, kumbe hakuna kitu its like painting the castle in the air. Tuachane na hayo, ila kubwa ni kwamba if CHADEMA won't change their ways to become a real political party, not an activism movement kitakufa tu kama CUF an NCCR ambayo ijokongoja, sio miaka mingi sana mbele.

Karibuni.
Kigogo 2014 umeibukia huku?
 
Unasema for the past 10 years Chadema haijaibua vijana wa mfano?

Hawa walio rubuniwa na kutishwa na dikteta na kupewa madaraka walikuwa chama cha ukoo wenu huko ujiji?
Silinde, Katambi, Lijualikali, Nassari nk kwa kutaja wachache huwaoni?

Kabla ya kuandika kitu na kuleta JF home of great thinkers jaribu kushirikisha ubongo wako
Hao walipo ona there is no more way forward, waka amua waenda kwenye chama, kilicjokuwa na career path and progresion plans, na sio pahali palipokuwa stagnant
 
Back
Top Bottom