Nchi inazama Gavana anapanda pipa muda huu anaelekea wapi ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi inazama Gavana anapanda pipa muda huu anaelekea wapi ?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lunyungu, Jun 20, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wadau Gavana wetu nchi inazama na inflation yeye na JK wanapanda mapipa. Wana JF kuna nani hapo uwanjani aweze kutupa nyeti juu ya huyu jamaa anaenda kutumia wapi mapesa yetu ? Msaada wenu najua JF imetapakaa kila kona basi tujue akirudi shilingi yetu itakuwa juu au ni siasa tu ?
   
 2. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anaenda alikopangiwa kwenda tu...popote pale hata iwe mwezini lazima ale pesa zetu.
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ooooo.....wewe upo wapi now????
  Gavana huyu isije ikawa anaondoka kama BALALI?????
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kutokuwa na umoja wa kuamua mambo kwa pamoja ndio utatufanya kuwa maskini milele na hata milele Tz let us be the unit 2kemee hawa mafisadi
   
 5. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jamani bado niko mbali jamani ila nimepata habari hizi msafari mrefu umeingia airport eti anasindikizwa Gavana ana safari jamani .Ana enda wapi kuna mwenye kujua ? Hakuna JF hapo uwanjani ?
   
 6. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Aemeenda ku - sign, nafikiri tutaaminishwa ni mkutano.
  Wacha tusubiri......... BOT had never been clean, muulize Mkono.
   
 7. k

  kagosha Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
   
Loading...