Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
labda wakiristo wa znz hawakusoma kama walivyokuwa hawakusoma wasialm wa bara
oic kitu gani bwana! Badala ya kufikiri namna ya kutumia vyema rasilimali tulizo nazo. Nyie mnafikiri kupewa pesa za bure. Mtabaki masikini hadi akhera!
Jerusalemu, hakuna wa kukusema mdini. Wakristo Zanzibar ni asilimia 0.01%. Waislamu 99.9%.SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!

Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?
kwani nchi ikiongozwa na wakristu au wa tanzania bara ndo hukatiwi umeme? Ndo richmond inayeyuka? Ndo unapata katiba mpya? Ndo rushwa inafutika? Tatizo langu si nani anaongoza, kama ingerusuhu na ningekuwa na uwezo ningemuajiri kagame awe rais wetu baada ya mkwere kuondoka japo kwa miaka mi5. Kudai kiongozi wa kabila lako, au dini yako ni kufirisika kimawazo.
Ni sawa na wapuuzi wanaotuambia chadema ni chama cha wachaga kisa mbowe ni mchaga, hao ni mufilisi wa mawazo. Unachopaswa kuangalia ni uwezo wa akina shein, vuai na bilal, are they corrupt?
Unataka kuniambia nchi ingeongozwa na el, chenge, hosea nk ungefurahi kwa kuwa ni wakristu? Ni sawa na watu wanaowashambulia wapinzani wa chadema kwa kuwaita waislamu, mara madrasa al sul mara what, inatuuma baadhi yetu ambao ni waislamu
mimi ni muislamu safi na mfuasi wa chadema na mara zote nimesema kama zitto kimeo apigwe chini maana tunataka kiongozi msafi, mwajibikaji na makini hata kama wote wakiwa ni wahindu who cares, mufilisi wa mawazo tuu ndiyo wanaleta mambo ya yule wa kabila letu, yule wa dini yetu badala ya kuangalia uwezo.
Sometime fikiri kabla ya kukurupuka kuja na threads za kipuuzi hapa
Unapotosha uma................ hii kauli ni ya baadhi ya watanzania........akiwemo raisi mstaafu Mkapa, yule jaji, na Mbita.......... Mtikila ................CUF...............CDM.......etcla kesho tukibadili katiba mpya- kauli ya slaa
Yerusalem Kwanini unafikiri kidini zaidi? Kwanini si uzalendo? Adui yako ni nani?Dr. Mwinyi
Vuai Nahodha
Shein
Maalim Seif
Bilal
SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!
Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.
Duh, nyie kweli noma.
Watu tusiseme ukweli?
Jerusalemu, hakuna wa kukusema mdini. Wakristo Zanzibar ni asilimia 0.01%. Waislamu 99.9%.
Kitendo cha kuwepo Wakristo zaidi ya watatu kwenye Baraza La Mapinduzi, Edington Kisasi, Isaack Sepeku na Brigedia General Mwakanjuki, ni more than 0.01%, hivyo ni more than enough
Dr. Mwinyi
Vuai Nahodha
Shein
Maalim Seif
Bilal
SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!
Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.
Duh, nyie kweli noma.
Watu tusiseme ukweli?
Yerusalem Kwanini unafikiri kidini zaidi? Kwanini si uzalendo? Adui yako ni nani?
Dr. Mwinyi
Vuai Nahodha
Shein
Maalim Seif
Bilal
SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!
Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.
Duh, nyie kweli noma.
Watu tusiseme ukweli?