Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 337
labda wakiristo wa znz hawakusoma kama walivyokuwa hawakusoma wasialm wa bara
Hon. Agustino Ramadhani?
labda wakiristo wa znz hawakusoma kama walivyokuwa hawakusoma wasialm wa bara
umesema sawa na watz ndo wanalotakiwa kuwaza,waongeze hata kina kingunge tunachotaka ni maendeleo basi,Kwani nchi ikiongozwa na wakristu au wa Tanzania bara ndo hukatiwi umeme? ndo richmond inayeyuka? ndo unapata katiba mpya? ndo rushwa inafutika? tatizo langu si nani anaongoza, kama ingerusuhu na ningekuwa na uwezo ningemuajiri Kagame awe rais wetu baada ya mkwere kuondoka japo kwa miaka mi5. kudai kiongozi wa kabila lako, au dini yako ni kufirisika kimawazo.
Ni sawa na wapuuzi wanaotuambia CHADEMA ni chama cha wachaga kisa Mbowe ni mchaga, hao ni mufilisi wa mawazo. unachopaswa kuangalia ni uwezo wa akina Shein, Vuai na Bilal, are they corrupt?
unataka kuniambia nchi ingeongozwa na EL, Chenge, Hosea nk ungefurahi kwa kuwa ni wakristu? ni sawa na watu wanaowashambulia wapinzani wa chadema kwa kuwaita waislamu, mara Madrasa al sul mara what, inatuuma baadhi yetu ambao ni waislamu
mimi ni muislamu safi na mfuasi wa chadema na mara zote nimesema kama Zitto kimeo apigwe chini maana tunataka kiongozi msafi, mwajibikaji na makini hata kama wote wakiwa ni wahindu who cares, mufilisi wa mawazo tuu ndiyo wanaleta mambo ya yule wa kabila letu, yule wa dini yetu badala ya kuangalia uwezo.
sometime fikiri kabla ya kukurupuka kuja na threads za kipuuzi hapa
nilitaka kumwambia lakini naona umewakilisha mawazo yangu. Aache ujinga kwanza wazanzibar wote wasafi, amesikia kuna ufisadi zanzibar?