Nchi Inaongozwa na Wazanzibari

Mimi ni mtu wa peace.

Mtu wa amani na utulivu.

Wala sina adui na mtu, ila waache kutumia kigezo cha nchi kuongozwa na rais muislamu kuwa 'chambo' cha kutekeleza ndoto zao za linacha za kuitawala dunia.

Wewe mtu wa peace au pieces maana mitazamo yako na thread unazozibandika nadhani wewe mtu wa pieces unachokonoa ukifurahi kuona watu wanagombana donge tu limekukaba hamna zaidi waache wazanzibari wakwamuke kiuchumi wameteseka sana.
 
Jerusalem, unaongozwa na hisia za kidini lakini sio kosa lako unakabiliwa na ugonjwa sugu unaopatikana katika ukoo wenu na Malaria Sugu. Katika ukoo wenu wenye damu mchanganyiko ya Ukristo (Jerusalem) na Uislamu ( Malaria sugu) mnatanguliza mbele dini kuliko utaifa. Wote mmesahau wajibu wenu kwamba, vita ya kidini ikilipuka sote tutakosa mahala pa kumuabudu Mungu kupitia dini zetu (swala na sala zetu).
 
As long as ni watanzania, as long as wana-qualify na wan-deliver hakuna ubaya. Wazanzibar ni kama watu wa mwanza, Ntwara na kwingineko.
 
Dr. Mwinyi

Vuai Nahodha

Shein

Maalim Seif

Bilal

SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!

Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?
mi i tatizo langu si kuwapo mkistro au muislam,ila nataka kama wao wanavyopewa nyeo huku bara,basi na watu wa bara pia wapewe vyeo kwenye serikali ya zanzibar,ndo nitaona fair,beyond hapo tutakuwa tunalea watu wa tifa lingne pasipo wao kutujali-ambao huo ni ujinga
 
Una kitambulisho cha ukaazi..........???
 
Jamani tuwaangalie viongozi kwa sifa na sheria zinazowaweka madarakani na si vinginevyo.Kwani wakitimiza hayo wizi,ufisadi,umasikini na kuomba omba kutakwisha au kupungua katika kiwango kizuri.Haya ya udini,ukabila,mara tena uzanzibari na uzanzibara ni ubaguzi, tuupige vita kwa kila hali hautatupeleka mbele bali utatumaliza.aliyoyasema Nyerere kuhusu ubaguzi ndio haya mnayaongelea yametawala fikra zenu,badala ya kuangalia sifa na uwezo wao na nini matarajio ya mtanzania na hawa watatufikishaje huko we unaanza kuangalia walikotoka.Sasa mwishowe huu ubaguzi utaingia JF na hatutakuwa tunachangia mada za mtu kwa sababu hizo hizo za kipuuzi za kubaguana,Tanzania ni moja!
 
QUOTE=Malaria Sugu; wanakata oic

OIC kitu gani bwana! Badala ya kufikiri namna ya kutumia vyema rasilimali tulizo nazo. Nyie mnafikiri kupewa pesa za bure. Mtabaki masikini hadi akhera!

He! na nyinyi munapopeleka budget feki kwa wafadhili huwa munaomba nini???? Tena na kuadhiriwa kabisa kwenye vyombo vya habari.

Ama kwa umasikini nadhani hakuna wa kumcheka mwenzake kwani huko vijijini kwenu sijauona huo utajiri unaojivunia.
 
Udini hauna tija, muhimu delivery tunataka vichwa vya kututoa hapa tulipo kusonga mbele bila kujali dini zao kabila zao rangi zao na mila zao; kama tuna terms nzuri hasa katika uwaziri nadhani kuliko kwa mfano kumpa Magufuli Uwaziri wa Ujenzi tunaweza kutangaza kwenye magazeti tukapitia CV tukafanya interview na kuajiri mtu yeyote hata kama ni Mkorea tukamwambia tunataka baada ya miaka mitano tuone moja, mbili, tatu nk au Mtu kama Mkulo tungeweza kabisa kutangaza internationally na within kuomba mtu ambaye atakuwa Waziri wa fedha kuzuia shilingi kushuka thamani kila siku na kunyayua uchumi amgalao kwa wastani wa 3.7% baada ya miaka mitano alafu CV zinamwagika tunachagua mtu. Siku shilingi inashuka kama nyanya mbovu waziri wa fedha huyo huyo, uchumi unateremka kama kamasi waziri wa fedha huyo huyo hatari.
 
Kwani nchi ikiongozwa na wakristu au wa Tanzania bara ndo hukatiwi umeme? ndo richmond inayeyuka? ndo unapata katiba mpya? ndo rushwa inafutika? tatizo langu si nani anaongoza, kama ingerusuhu na ningekuwa na uwezo ningemuajiri Kagame awe rais wetu baada ya mkwere kuondoka japo kwa miaka mi5. kudai kiongozi wa kabila lako, au dini yako ni kufirisika kimawazo.

Ni sawa na wapuuzi wanaotuambia CHADEMA ni chama cha wachaga kisa Mbowe ni mchaga, hao ni mufilisi wa mawazo. unachopaswa kuangalia ni uwezo wa akina Shein, Vuai na Bilal, are they corrupt?

unataka kuniambia nchi ingeongozwa na EL, Chenge, Hosea nk ungefurahi kwa kuwa ni wakristu? ni sawa na watu wanaowashambulia wapinzani wa chadema kwa kuwaita waislamu, mara Madrasa al sul mara what, inatuuma baadhi yetu ambao ni waislamu

mimi ni muislamu safi na mfuasi wa chadema na mara zote nimesema kama Zitto kimeo apigwe chini maana tunataka kiongozi msafi, mwajibikaji na makini hata kama wote wakiwa ni wahindu who cares, mufilisi wa mawazo tuu ndiyo wanaleta mambo ya yule wa kabila letu, yule wa dini yetu badala ya kuangalia uwezo.

sometime fikiri kabla ya kukurupuka kuja na threads za kipuuzi hapa

endelea tuu kuwa muislamu safi na endelea tuu kuwa mfuasi wa chadema. Ila ukae ukijua kwamba kama wewe ni muislamu na mpaka leo hujaujua ukweli wa chadema, basi utakuwa huna akili timamu. Usikonde lakini kakaangu utakuja kujua tuu siku moja wakati utakapojikuta rais wako (phd in bible studies) hakutambui kama wewe ni mtanzania.
 
Huyo malaria sugu ni nani aliyekudanganya kwamba waislam ni wengi kuliko wakristo huku bara? au unaropoka tu kama kawaida yako!
 
dr. Mwinyi

vuai nahodha

shein

maalim seif

bilal

smz hakuna mkristo hata mmoja!!!!

hapa tena mtasema yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?

leo umeamua kuandika kwa lugha ya kiswahili? Si ulisema lugha hii ni ya waislamu na lugha yenu wayahudi ni english? Imekuaji tena yakobo?

Shaloom!!!!
 
Hivi nakuuliza nikitaka kujiunga na dini yenu ya uyahudi naruhusiwa? Au ni kweli kuwa mnaubaguzi kwani uyahudi ni dini kwa kuzaliwa na nasaba kwa kurithi?
 
Kwani nchi ikiongozwa na wakristu au wa Tanzania bara ndo hukatiwi umeme? ndo richmond inayeyuka? ndo unapata katiba mpya? ndo rushwa inafutika? tatizo langu si nani anaongoza, kama ingerusuhu na ningekuwa na uwezo ningemuajiri Kagame awe rais wetu baada ya mkwere kuondoka japo kwa miaka mi5. kudai kiongozi wa kabila lako, au dini yako ni kufirisika kimawazo.

Ni sawa na wapuuzi wanaotuambia CHADEMA ni chama cha wachaga kisa Mbowe ni mchaga, hao ni mufilisi wa mawazo. unachopaswa kuangalia ni uwezo wa akina Shein, Vuai na Bilal, are they corrupt?

unataka kuniambia nchi ingeongozwa na EL, Chenge, Hosea nk ungefurahi kwa kuwa ni wakristu? ni sawa na watu wanaowashambulia wapinzani wa chadema kwa kuwaita waislamu, mara Madrasa al sul mara what, inatuuma baadhi yetu ambao ni waislamu

mimi ni muislamu safi na mfuasi wa chadema na mara zote nimesema kama Zitto kimeo apigwe chini maana tunataka kiongozi msafi, mwajibikaji na makini hata kama wote wakiwa ni wahindu who cares, mufilisi wa mawazo tuu ndiyo wanaleta mambo ya yule wa kabila letu, yule wa dini yetu badala ya kuangalia uwezo.

sometime fikiri kabla ya kukurupuka kuja na threads za kipuuzi hapa

Mkuu leo umenifanya niishie hapa kusoma JF, naenda kupiga kazi. Kama wote tungekuwa tunafikiria hivi nadhani tungekuwa tunakaribishana hata kuswali au kusali misikitini na makanisani kwa ajili ya kujifunza mema zaidi na ingeweza kudumisha umoja wetu.
Siyo kama sasa ambapo baadhi ya viongozi wetu wanafanya dhambi mbaya ya kutugawa na inshu za udini, ukabila nk.

Inanikera sana kuona watu wanajadili inshu za udini bila kujua athari zake.
Ningeshauri tu watu wajaribu kufikiria zaidi na kuangalia hizi dini zilikotoka hali ikoje, je wanafanya kama kwetu hapa au kuna somthing behind the scene.

Siku njema jamani.
 
Jerusalemu, hakuna wa kukusema mdini. Wakristo Zanzibar ni asilimia 0.01%. Waislamu 99.9%.
Kitendo cha kuwepo Wakristo zaidi ya watatu kwenye Baraza La Mapinduzi, Edington Kisasi, Isaack Sepeku na Brigedia General Mwakanjuki, ni more than 0.01%, hivyo ni more than enough

nina wasiwasi na uwezo wako wa hesabu
 
mkuu hoja zako mh!! ndiyo maana watu wanakuhisi ni mdini. Kwani maalim Seif pia ni kiongozi serikali ya jamhuri ya muungano? Au sijaelewa!!
 
Back
Top Bottom