Nchi Inaongozwa na Wazanzibari

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Dr. Mwinyi

Vuai Nahodha

Shein

Maalim Seif

Bilal

SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!

Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?

QUOTE=Malaria Sugu; wanakata oic

OIC kitu gani bwana! Badala ya kufikiri namna ya kutumia vyema rasilimali tulizo nazo. Nyie mnafikiri kupewa pesa za bure. Mtabaki masikini hadi akhera!

oic kitu gani bwana! Badala ya kufikiri namna ya kutumia vyema rasilimali tulizo nazo. Nyie mnafikiri kupewa pesa za bure. Mtabaki masikini hadi akhera!

"neno la leo"

SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!

Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?
Jerusalemu, hakuna wa kukusema mdini. Wakristo Zanzibar ni asilimia 0.01%. Waislamu 99.9%.
Kitendo cha kuwepo Wakristo zaidi ya watatu kwenye Baraza La Mapinduzi, Edington Kisasi, Isaack Sepeku na Brigedia General Mwakanjuki, ni more than 0.01%, hivyo ni more than enough

Kwani nchi ikiongozwa na wakristu au wa Tanzania bara ndo hukatiwi umeme? ndo richmond inayeyuka? ndo unapata katiba mpya? ndo rushwa inafutika? tatizo langu si nani anaongoza, kama ingerusuhu na ningekuwa na uwezo ningemuajiri Kagame awe rais wetu baada ya mkwere kuondoka japo kwa miaka mi5. kudai kiongozi wa kabila lako, au dini yako ni kufirisika kimawazo.

Ni sawa na wapuuzi wanaotuambia CHADEMA ni chama cha wachaga kisa Mbowe ni mchaga, hao ni mufilisi wa mawazo. unachopaswa kuangalia ni uwezo wa akina Shein, Vuai na Bilal, are they corrupt?

unataka kuniambia nchi ingeongozwa na EL, Chenge, Hosea nk ungefurahi kwa kuwa ni wakristu? ni sawa na watu wanaowashambulia wapinzani wa chadema kwa kuwaita waislamu, mara Madrasa al sul mara what, inatuuma baadhi yetu ambao ni waislamu

mimi ni muislamu safi na mfuasi wa chadema na mara zote nimesema kama Zitto kimeo apigwe chini maana tunataka kiongozi msafi, mwajibikaji na makini hata kama wote wakiwa ni wahindu who cares, mufilisi wa mawazo tuu ndiyo wanaleta mambo ya yule wa kabila letu, yule wa dini yetu badala ya kuangalia uwezo.

sometime fikiri kabla ya kukurupuka kuja na threads za kipuuzi hapa

Mada nyingine si nzuri sana,hazina uhusiano wa moja kwa moja na maendeleo ya kisiasa na kiuchumi ya nchi yetu...tukianza kujadili wageni, Obama ni Mkenya, Sarkozy ni Myahudi, etc, na ni viongozi kwenye nchi kubwa tu, wazawa hawasemi...tujadili delivery jamani.

kwani nchi ikiongozwa na wakristu au wa tanzania bara ndo hukatiwi umeme? Ndo richmond inayeyuka? Ndo unapata katiba mpya? Ndo rushwa inafutika? Tatizo langu si nani anaongoza, kama ingerusuhu na ningekuwa na uwezo ningemuajiri kagame awe rais wetu baada ya mkwere kuondoka japo kwa miaka mi5. Kudai kiongozi wa kabila lako, au dini yako ni kufirisika kimawazo.

Ni sawa na wapuuzi wanaotuambia chadema ni chama cha wachaga kisa mbowe ni mchaga, hao ni mufilisi wa mawazo. Unachopaswa kuangalia ni uwezo wa akina shein, vuai na bilal, are they corrupt?

Unataka kuniambia nchi ingeongozwa na el, chenge, hosea nk ungefurahi kwa kuwa ni wakristu? Ni sawa na watu wanaowashambulia wapinzani wa chadema kwa kuwaita waislamu, mara madrasa al sul mara what, inatuuma baadhi yetu ambao ni waislamu

mimi ni muislamu safi na mfuasi wa chadema na mara zote nimesema kama zitto kimeo apigwe chini maana tunataka kiongozi msafi, mwajibikaji na makini hata kama wote wakiwa ni wahindu who cares, mufilisi wa mawazo tuu ndiyo wanaleta mambo ya yule wa kabila letu, yule wa dini yetu badala ya kuangalia uwezo.

Sometime fikiri kabla ya kukurupuka kuja na threads za kipuuzi hapa

nilitaka kumwambia lakini naona umewakilisha mawazo yangu. Aache ujinga kwanza wazanzibar wote wasafi, amesikia kuna ufisadi zanzibar?

QUOTE=Malaria Sugu;kwanini nyinyi matajirti. mbona mnalalal kwenye nyumba za tembe?

Tatizo lako lipo kwny SANITY. Wewe ukisikia masikini tu,basi unawaza material things. Poverty is a relative word. Umasikini wako ni wa kimawazo na kifikra. Tena huo ndo umasikini mbaya sana,ndo unapelekea wewe kuwaza kusaidiwa tu. Bora mimi naishi kwenye tembe ila nina ng'ombe zangu elfu 10 na shamba langu ekari 1000! Nina uhakika wa kula na kunywa. Siwazi kusubiria mwarabu aje kunipa pesa. Nawaza namna gani ng'ombe zangu zitaongezeka zaidi.

la kesho tukibadili katiba mpya- kauli ya slaa
Unapotosha uma................ hii kauli ni ya baadhi ya watanzania........akiwemo raisi mstaafu Mkapa, yule jaji, na Mbita.......... Mtikila ................CUF...............CDM.......etc

Nadhani unafanya utani ndugu Jerusalem, Christians are minority in Zanzibar, less than one percent! Kwahiyo kutaka waonekana kwenye orodha yako ni unafiki. Ni sawa na kudai waziri muislam Vatican au waziri mkristo Saudia. Lakini umesahau kuwa walikuwepo akina Isaac Sepetu na Maldine Kastico kama sikosei. Kwahiyo swala la ubaguzi Zanzibar halipo, ila huku bara lipo kimkakati kabisa!

Sidhani kama tunahitaji dini ya mtu. Nchi haiongozwi kwa msaafu au biblia ila sheria. Wapo wapagani mbona sijasikia wakilalamika?
Tuache dini kwenye majumba ya ibada. Uadilifu ni muhimu zaidi.

Dr. Mwinyi

Vuai Nahodha

Shein

Maalim Seif

Bilal

SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!

Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?
Yerusalem Kwanini unafikiri kidini zaidi? Kwanini si uzalendo? Adui yako ni nani?
Jerusalemu, hakuna wa kukusema mdini. Wakristo Zanzibar ni asilimia 0.01%. Waislamu 99.9%.
Kitendo cha kuwepo Wakristo zaidi ya watatu kwenye Baraza La Mapinduzi, Edington Kisasi, Isaack Sepeku na Brigedia General Mwakanjuki, ni more than 0.01%, hivyo ni more than enough

PASCO, UMESEMA VYEMA, SINA UHAKIKA KUNA WAZANZIBARI WAKRISTU WANGAPI KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI! ANY IDEA?

Yerusalem Kwanini unafikiri kidini zaidi? Kwanini si uzalendo? Adui yako ni nani?

Mimi ni mtu wa peace.

Mtu wa amani na utulivu.

Wala sina adui na mtu, ila waache kutumia kigezo cha nchi kuongozwa na rais muislamu kuwa 'chambo' cha kutekeleza ndoto zao za linacha za kuitawala dunia.

Dr. Mwinyi

Vuai Nahodha

Shein

Maalim Seif

Bilal

SMZ HAKUNA mkristo hata mmoja!!!!

Hapa tena mtasema Yerusalem ni mdini.

Duh, nyie kweli noma.

Watu tusiseme ukweli?

Duh. Mijitu mingine! Inashangaza! Donge hilo. Kama unaweza panda juu nenda ukazibe!

Wana JF jee bara kuna waislam ngapi?wakristo asilimia ngapi?pse anijuze anayefahamu

Yerusalem hili jina lina KUDHURU, HIVYO KILA UKIKAA UNATAFUTA CHOKOCHOKO ZA UDINI, hayo alishasema baba wa Taifa hili watu kama nyie muogopwe kama ukoma, tumeangalia list ya viongozi wa shirika la nyumba la taifa juzi katika magazeti 90% ni wakristo, mbona watu hawasemini, acha siasa za udini.

i had a point ila nimemuona ms humu ikapotea,malaria haikubaliki kweli

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom