Nchi inakoelekea kunatisha

Hizbu huyo....masalia ya itikadi za akina Sultan Jamshid.....
Haijalishi, so long as ana simamia anacho kiamini' juu ya jambo fulani ambalo analijengea hoja! kwangu si tatizo, Lazima tujifunze kukubali kutokukubaliana! Kuna hii dhana ya kila anayetoa angalizo ama jambo fulani lilokinyume na itikadi ya kundi fulani basi atapachikwa 'Kibaraka, anatumika na mabeberu na Si Mzalendo' mantiki ya Uzalendo imepotoshwa sana siku za hivi karibuni! Inasikitisha!
 
Majuha kama wewe ni tatizo kubwa sana nchi hii. Mmeongeza idadi ya Wapumbavu nchini na sasa Tanzania inaongoza duniani kwa kuwa na Wapumbavu wengi kuliko nchi yoyote ili duniani.
Chandimu πŸ˜‚πŸ˜‚ mtajifariji hadi kufa
 
Endelea kusikitika tu....

Huyo ni HIZBU....hizo hoja zake zifikirie/zikumbatie na kukufurahisha wewe.....
 
Kwani wewe unaishi Tanzania ipi ambayo huguswi na nchi kukosa maendeleo nchi baada ya miaka 60 ya uhuru haina chochote kile cha kujivunia?
Bongo ZWAZWA mkubwa!!!

Chandimu πŸ˜‚πŸ˜‚ mtajifariji hadi kufa
 
Unamchekeaje mtu Kama TUNDU LISSU na "mashoga zake" wa CDU waliotaka kupeleka muswada na kulobby BUNDESTAG ili MRADI WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE usitishwe......

Huyu hapa GODFATHER mmojawapo.....
Hawaendi wapi wewe Kibwengo?
 
Mtume (SAW) mlaani huyu shetani wa kike anayeonea watu
Yaaan marehemu ana nguvu tena duniani za kulaan watu?? tuwage silious kidogo basi mda mwingine!! shikamoo waarabu!
 
Kwani wewe unaishi Tanzania ipi ambayo huguswi na nchi kukosa maendeleo nchi baada ya miaka 60 ya uhuru haina chochote kile cha kujivunia?
Bongo ZWAZWA mkubwa!!!
Unailinganisha Tanzania na nchi za MAGHARIBI?!!

Kweli wewe si "hobobo" 🀣🀣🀣

Miaka 60 unasema hatujapiga maendeleo 😳😳😳

Kweli wewe ni sakala.....
 
Wewe mwenyewe ni JUHA mwenye DELUSIONS.....
Majuha kama wewe ni tatizo kubwa sana nchi hii. Mmeongeza idadi ya Wapumbavu nchini na sasa Tanzania inaongoza duniani kwa kuwa na Wapumbavu wengi kuliko nchi yoyote ili duniani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…