Kwani yeye ni Mungu wa kibaniani? Ukiona hata Kilolambwani nae anataka ajibiwe na Rais basi elewa watu hawajitambui nafsi zao.Inasikitisha maana mambo yanayofanyika sasa ndani ya nchi hii yanasikitisha. Jk hawezi kusema lolote lile. Kila mtu anasema lake hata kama si msemaji. Ebu fikiria suala la kupanda kwa bei za umeme, kuwalipa dowans, katiba mpya. Maisha bora kwa kila mtanzania yameshindikana sasa aseme nini. Pole sana jk, kwanini usiachie ngazi?