Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

Nchi ikishakombolea mkononi mwa wakoloni weusi Kuna Madaktari na Maprofesa wanapaswa kuvuliwa hizo tittle zao akiwemo Kitila Ili kusaidia watoto wetu

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
3,772
Reaction score
4,913
Maprofesa na madaktari ni watu wenye Elimu kubwa baada ya kufanya tafiti mbalimbali.

Pili ni watu ambao wanasimamia kile wanachoamini maana wamekifanyia utafiti

Tatu ni watu wanaolenga kusaidia jamii Kwa kile wanachoamini na kuifanyia utafiti

Maprofesa na madaktari wasiosimamia kile wanachokiamini ni wasanii wa Elimu na hawapaswi kubaki na tittle zao.

Maana yake wanataka kituambia wao wenyewe hawaamini kile walichokifanyia tafiti

Naomba tusaidiane kuwaorodhesha Hao madaktari na Maprofesa uchwara

Back
Top Bottom