Course Coordinator1
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 519
- 1,041
Aman iwe nanyi
Mwaka huu 2025 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama tunavyojua hiki kilikua kipindi ambacho Hayati Magufuli ikiwa angekuwepo angekabidhi kijiti kwa Rais mwingine ambaye ndo angekua Rais wa Awamu ya Sita, yakatokea yaliyotokea Mzee wa Watu mwili ukarudi katika mavumbi, mwili ukarudi katika majivu na udongo akafukiwa.
Kwa vile katiba yetu ni mbovu ikamfanye aliyekuwa Makamu wake kuchukua hatamu hadi uchaguzi mwingine kwa nchi zenye katiba nzuri ilitakiwa turudi kwenye uchaguzi siku 90 baada ya kifo cha Rais.
Makamu akaapishwa kuwa Rais, kumalizia muhula uliopo wa mtangulizi wake, alivyoapishwa akajiita Rais wa Awamu ya Sita, akijua kabisa ile sio awamu ila ni kipindi cha pili cha Uongozi Awamu ya Sita naye akamteua Makamu wake bila kuingia kwenye uongozi.
Makamu wa Rais alivyoapishwa akanogewa madaraka akaanza alivyoanza watu akacheka na kufurahi akaanza kuitwa majina mengi mazuri mama anaupiga mwingi , mama amefungua nchi, kumbe alikua analenga kupata misaada ya wahisani...
Akachanganya kuongoza U-KIKWETE NA U-MAGUFULI KWA PAMOJA. U-Kikwete kusafiri sana na kula bata ,kama bata hawa watu wamekula hadi akajisahau akawaambia wasaidizi wake kula kulingana na urefu wa kamba yao. U-Magufuli akaanza kuwaweka ndani wapinzani wake kisiasa tena kwa kesi kubwa kubwa (mara ugaidi tukumbuke kesi ya Mbowe mara uhaini kesi ya Daktari Silaa na Mwabukusi na Mdue) , tukaanza kuona watu kuuwawa hadharani mchana kweupe dunia ukapiga kelele lakini wapi...
Akalewa madaraka kutoka mama anaupiga mwingi hadi Yezebeli shetani, Ayatollah Muiran, Idd Amin Mama. Akaanza kuweka safu yake.
Kama unavyojua madaraka hulevya, mwaka huu ulikua mwaka wa kutafuta mgombea kupitia chama chake wagombea wachukue fomu wakatafute wadhamini mikoani waje wachujwe kwenye chujio kupitia Kamati Kuu na Kamati Kuu kuleta majina Halmashauri Kuu, hiyo ikashindikana, akawatumia watu aliyowateua kutoka Kizimkazi wafanye kila namna wavuruge utaratibu wa chama ili yeye apitishwe kama unavyojua nchi hii dola ilishakamatwa na chama, wakaagizwa walichoagizwa wakakitekeleza bila kupinga mara ghafla mtu akaropoka ukumbuni "Fomu iwe moja" mgombea wetu ni Yezebeli (kama mfalme atakavyo), akatoa binti mmoja kutoka kanda maalum akashauri yaletwe majina matatu na Kamati Kuu yapigiwe kura Yezebeli hata hakumjibu wala hakutaka kujishughulisha naye mchakato ukawa umevurugika hapo Yezebeli kama aishivyo.
Cha kushangaza akiwa katika kuzungukia mikoa yake anatoa maagizo wagombea flan flan wasirudishwe, hii ina maana kuwa anaagiza watu wachujwe ila yeye hataki achujwe, hataki demokrasia...
Kikwete alikua mnafiki kidogo wale waliokua wanampiga spana alikua anawarudisha kwenye kura za maoni na bado waliokua wanashinda bado Kamati Kuu ilikuwa inawarudisha wagombee ...Tukumbuke wale mitume 12 walivyokua wanampuga spina lakn wengi walirudi ukiacha Selelii, Shibuda na Lemberi.
Magufuli alikua amekosena na akina Nape na Makamba lakni kama mwenyekiti wa chama aliwarudisha kwenye mchujo maisha yakaenda.
Lakini Yezebeli anataka tu wale wanaomsifia yeye anavyovaa na kupaka wanja mdomoni ndo warudi
Yezebeli hataki kuchujwa ila anataka wengine wachujwe....
Hadi sasa Yezebeli amemchuja
CarTell4n
JaObama
GolilaMaradona
Mhasibu Mkuu
Kuhani wa Mungu
Ukitaka kuchuja sharti pia uchujwe.