Nchi hii haitawaliki tena!

Nchi hii haitawaliki tena!

kaka umeandika kweli tunayaona haya yote.....mtu anayedai ameingia madarakan kwa hela zake usitarajie hata siku moja akaja kuwa na Discpline kwa wapiga kura wake,so means watu wanaendesha nchi kama family zao wnyw.
This is stupide na Wa TZ tubadilke na totally.............Unapimwa kiatu leo aftr 5yrs unaulzwa unataka kiatu cha aina gan ??????????? Crazy
 
Huyu bora apumzike na siasa sasa, asije kufia kwenye jukwaa

anzeni na kingunge kambale mwitu apunzike,akili ya ndesamburo haijazeeka kama ya dhaifu,ni mzee lakini hasinzii bungeni kama komba na wasira aka ............wa gombe
 
wewe gamba,nimesema tumuweke sio nimuweke ona jinsi vichwa vyenu vilikuwa vigumu hata kinasomeka na kuonekana mnapindisha rudia tena kusoma DR.SLAA TUTAMUWEKA MADARAKANI 2015 KAMA TULIVYOFANYA 2010,,kuchakachua itakua ngumu mno...........maana patachimbika
wewe na mganga wako?
 
mbona kuna nyani liko CCM mpaka linatoka nywele kisogoni halistaafu

uuuuuuuh!!ah!ah!ah! Mkuu ilo nyani lina ugonjwa mbaya wa kusinzia hivi hauna tiba ule?teh!teh!teh!magamba majitu ya ajabu sana
 
MANGUNGO: Umesahau dhuluma wanayofanyiwa wanajeshi wetu na wakubwa wao katika haki ya jasho lao...nadhani bado mnakumbuka trilion 3.
 
Last edited by a moderator:
Kuna wadau wamepost picha kwenye facebook,yaani mbavu sina.
 
"Tafadhari mods wa jf, naomba mulinde uhuru wa mawazo ya watu kwani na nyinyi siku hizi mnabomoa uhuru wanajf kwa kutupia kapuni haja na michango ya wanajanvi wanaotoa uzi kama huu wa kuikosoa sirikali

Kuna wengi tumeanza kuwa na huu wasiwasi. Inakuwa kama serikali imefanya makubaliano fulani na JF
 
The country has run out of control...haya ndio matokeo ya rais dhaifu
 
Kuna wengi tumeanza kuwa na huu wasiwasi. Inakuwa kama serikali imefanya makubaliano fulani na JF

kweli mods nao wameanza kuwa waoga lakini leo wamekaza kiaina mabomu yanatisha ndugu kufumua watu utumbo kama wachinja kuku kisa nini?.....tuache uoga mi mwenyewe ready to die na mabomu yao aliyo nunua dhaifu kwa kodi zetu.
 
Ndiyo Wakuu ! Kwa wale munaofuatilia maandiko matakatifu ni kwamba pale mamlaka na tawala mbalimbali zilipo kuwa ziki enenda na kutenda kinyume na matakwa ya Mwenyez Mungu zilikuwa zinapigwa upofu. Ni dhahiri kuwa mpaka tulipofikia sasa tayari utawala huu wa ccm umekwisha pigwa upofu. Kuthibitisha hili ni kuwa ccm waliamua kama mpango mkakati wa kuwatumia policcm kama zilivyo jumuiya zingine za chama kama vile uvccm na uwt ili kuzuia vuguvugu la mabadiliko. Bila kulitambua hilo tazama namna wananchi wasio kuwa na hatia wanavyo uliwa kinyama,kuteswa na kunyimwa haki zao za msingi. Tunapokuwa tuna elekea kwenye chaguzi ndogo za madiwani ni muhimu nasi pia kwa unyonge na umaskini wetu tuwanyonge katika masanduku ya kura ili tuone kama wao wana uwezo wa kupambana na nguvu ya umma pamoja na mabomu yao. Ki ukweli lazima ccm wakinywee kikombe hiki kwa namna yoyote ile. MWL NYERERE ALIPATA KUSEMA "IPO SIKU WANANCHI WATACHAGUA KIFO KULIKO FEDHEHA." Naomba kuwasilisha ili tuijadili mada hii.
 
... Ki ukweli lazima ccm wakinywee kikombe hiki kwa namna yoyote ile. MWL NYERERE ALIPATA KUSEMA "IPO SIKU WANANCHI WATACHAGUA KIFO KULIKO FEDHEHA." Naomba kuwasilisha ili tuijadili mada hii.

Mkuu Mwalimu aliwahi kuisemea wapi na lini hiyo? Au katika tukio gani? Tafadhali tujuze.
 
Mkuu Mwalimu aliwahi kuisemea wapi na lini hiyo? Au katika tukio gani? Tafadhali tujuze.

hata kama hakusema lakini kikombe hiki dhaifu lazima akinywe akwepi hili.............
 
Mapambano daima!
Ndesamburo alilia jukwaani huku akisema yeye alishiriki kutafuta uhuru wa nchi hii lakini hakupigwa mabomu na wazungu leo hii anapigwa mabomu na vikaragosi vya kikwete, ilivuta hisia sana mpaka vijana walikuwa tayari kwa lolote....
 
Back
Top Bottom