Philipo Kidwanga
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 2,042
- 599
muongezee na hii kwamba vita vitaanzia ccm wakati wa mchakato wa kumpata mgombea uraisi kwa hiyo ni rahisi zaidi kwa ccm kuivuruga nchi kuliko cdm.yangu macho waache washabikie upuuzi wakati mwisho wa siku wote tutatafutana.wewe gambba sio yaani ukimpiga chura teke umempunguzia safari,mnazani mnawapiga chadema mkidhani wananchi tuta nyamaza kwa wizi na ujambazi wenu,mwambie baba na mwekiti wako kikwete mwisho wake na cccm yake 2015.......mtake msitake,rais wetu Dr.slaa lazima tumweke madarakani hamtaiba tena kura.mtaficha wapi sura zenu?mafisadi na watoto wa mafisadi kama wewe?f** you