Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
- Thread starter
-
- #41
wewe msimamo wako ni upi?tuseme kweli daima na fitina(UCHONGANISHI) kwetu uwe mwiko....!
Tulikuwa tunaweka sawa na si KUJIVUNIA,wala KUPOTOSHA
NGUVU MOJA katika maendeleo yetu....kweli wanakula ila hata wasipokula tuseme wamekula? na walipokula tuseme hawajala? NOOOO!
NDIYO YAKO NA IWE NDIYO ..NA SIYO YAKO NA IWE SIYO....!
Ni vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.
Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?
hatutaki kitu kama hii..tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine.. kwanza hapa tunaitangaza nchi na ajira kibao tu huwezi kuniambia kuwa ndege zilipotea au kufa au shirika limekufa kwa sababu eti hakuna abiria, abiria wapo kibao sema vichwa marais wetu ndio mabuyu tunakufa kwa kiu baharini , huu si ni uzembe? mimi nina hasira sana juzi juzi kenya airways walinifanyia dharau kubwa sana ndio maana nimekasirika na hapa kial kikicha watu wanakuaj na malalamishi ya hii kenya airways.. kwa nini mmeua Tanzania airways?
Uingereza hawana ndege ya rais/waziri mkuu. Viongozi wanatumia ndege ya BIASHARA BA ambayo ni lishirika la umma
mkuu naona umeshajijibu ,kinachotakiwa ni serikali iwe na share or whatever ila kampuni iwe strong na kutoa huduma safi na ajira a liweze kujipanuaMkuu Ivuga sijakuelewa unaposema "tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine." Una maana kuwa hizo ndege zimilikiwe na serikali or hata na kampuni binafsi so long ni flag carrier ya Tanzania?
Kujibu swali la Kimbunga sio kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali. Kwa mfano Kenya Airways au British Airways hazimilikiwi na serikali. They are flag carrier ambazo zinamilikiwa privately. Kuhusu Marekani wanayo American Airlines ambayo inamilikiwa na AMR Corporation. Kenya wana Kenya Airways ambayo ilikuwa inamilikiwa na serikali hadi mwaka 1995 ilipobinafsishwa. Kwa sasa inamilikiwa na KLM (26%), Kenyan Government (23%). Percent iliyobakia inamilikiwa na private persons. Unaweza kuwa mmoja ya wamiliki pia b'se shares zinauzwa Nairobi stcok exchange na Dar Stock Exchange.
ziko wapi? flag carier?au mm nipo sayari nyingine.MSIMAMO WANGU...!
Wakala wa Ndege za Serikali (TGF) kwa mujibu wa tovuti (year 2008) inamiliki ndege nne, ambazo hukodishwa na pia hutumika katika matumizi ya kiserikali(REFER SSC ILIVYOENDA KUCHEZA NA TP MAZEMBE)
KWA HIYO SI KWELI KWAMBA NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MILIONI 40 HAIMILIKI NDEGE........ NA SI KWELI KWAMBA NDEGE iliyopo ni MOJA na inatutia hasara
fact za kuzungumza zipo nyingi tu na si uzushi ambao hata "ka-utafiti" ka ku-copy na ku-paste wikipedia kanaweka mambo bayana
mkuu naona umeshajijibu ,kinachotakiwa ni serikali iwe na share or whatever ila kampuni iwe strong na kutoa huduma safi na ajira a liweze kujipanua
sijui kama zanzibar, somalia, south sudan, zina ndege ya rais.... lakini nadhani the question here had a special meaning kuliko unavyojaribu kuleta ushabiki kivuzi
Okay, kama Marekani ina shirika la ndege, American Airlines, basi Tanzania nayo ina shirika la ndege, Precision Air!Yeah, Marekani ina shirika la ndege American Airlines
National flag carrier maana yake nini?Ni vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.
Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?
Ni vizuri tukaelimishana. Wengine hatujui haya mambo ya flag carrier. Hivi ni kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali? Marekani ikoje? Serikali ina ndege za biashara kama ilivyokuwa ATC? Kenya je? Najua Uganda shirika lao liliwahi kufilisika sijui kama linamilikiwa na serikali kwa sasa.
Hivi hatuwezi kuwa na Air Tanzania ambayo ni national flag carrier lakini ikiwa inamilikiwa na watu binafsi?
Labda mwenye kufahamu zaidi atujuze ni nchi gani aina ndege ya Rais tuinge mfano
Airbus A350-900 | - | 12 | - | 30 | 318 | 348 | Expected EIS: 2017[SUP][42][/SUP] |
Boeing 737-700 | 5 | - | - | 16 | 102 | 118 | |
Boeing 737-800 | 5 | 10 | - | 16 | 138 | 154 | |
Boeing 757-200 | 3 | - | - | 16 | 144 | 160 | |
1 | 154 | 170 | |||||
2 | 155 | 171 | |||||
2 | 159 | 175 | |||||
Boeing 767-300ER | 1 | - | - | 24 | 208 | 232 | |
1 | 210 | 234 | |||||
2 | 211 | 235 | |||||
2 | 213 | 237 | |||||
3 | 221 | 245 | |||||
1 | 30 | 190 | 220 | ||||
1 | 195 | 225 | |||||
Boeing 777-200LR | 4 | 1 | - | 34 | 287 | 321 | |
Boeing 787-8 | - | 10 | 2 | 24 | 246 | 270 | Expected EIS: January 2012 |
Bombardier Dash 8 Q400 | 8 | - | 4 | 0 | 78 | 78 | |
7 | 64 | 71 | |||||
Boeing 747-200F | 2 | - | - | N/A | |||
Boeing 757-200PCF | 2 | - | - | ||||
Boeing 777F | - | 2 | - | Expected EIS: September/October 2012[SUP][2][/SUP] | |||
McDonnell Douglas MD-11F | 2 | - | - | ||||
Total | 47 | 35 | 6 |
MSIMAMO WANGU...!
Wakala wa Ndege za Serikali (TGF) kwa mujibu wa tovuti (year 2008) inamiliki ndege nne, ambazo hukodishwa na pia hutumika katika matumizi ya kiserikali(REFER SSC ILIVYOENDA KUCHEZA NA TP MAZEMBE)
KWA HIYO SI KWELI KWAMBA NCHI YENYE WATU ZAIDI YA MILIONI 40 HAIMILIKI NDEGE........ NA SI KWELI KWAMBA NDEGE iliyopo ni MOJA na inatutia hasara
fact za kuzungumza zipo nyingi tu na si uzushi ambao hata "ka-utafiti" ka ku-copy na ku-paste wikipedia kanaweka mambo bayana
Okay, kama Marekani ina shirika la ndege, American Airlines, basi Tanzania nayo ina shirika la ndege, Precision Air!
National flag carrier maana yake nini?
Huyo MTM na concept yake ya nationa flag carrier hajui anachokiongea, atakupoteza, anadai wao wanalazimishwa kununua tiketi za Delta Airlines na Northwest! Wao kina nani? Wanalazimishwa na nani? Wanalazimishwa kivipi, kwa mpango gani? Wanalazimishwa ina maana Air France, Virgin Atlantic, Emirates, Lufthansa wanakatazwa kuuza tiketi Marekani? Huyu atakuwa ni ile dizaini ya wahamiaji ambao wanatokomea kwenye immigrant community wanazungukwa na ignorant immigrant wenzao mpaka wanapitwa na uelewa wa national affairs za nchi enyeji.
Mmarekani anajivunia kwamba Boeing, Continental Airlines, Delta, Northwest, etc. ni makampuni ya aviation ya kimarekani lakini sio makampuni ya marekani kwa kumilikiwa na serikali. Kabaila hajivunii serikali kumiliki njia za uchumi, nchi ya kabaila nia yake ni serikali kujitoa kwenye kufanya biashara. Kama unataka kuiona ATC hewani, na unasema unataka imilikiwe kibinafsi sasa hizi smoke and mirrors za "national flag carrier" za nini?
Tunaambiwa Tanzania haina ndege, Rais wake ana ndege. Rais wa Marekani ana ndege, Air Force One, Marekani ina ndege?
Mkuu Ivuga sijakuelewa unaposema "tunataka nchi iwe na ndege zake na ziweze ku compete na nchi nyingine." Una maana kuwa hizo ndege zimilikiwe na serikali or hata na kampuni binafsi so long ni flag carrier ya Tanzania?
Kujibu swali la Kimbunga sio kila nchi duniani ina ndege za biashara ambazo zinamilikiwa na serikali. Kwa mfano Kenya Airways au British Airways hazimilikiwi na serikali. They are flag carrier ambazo zinamilikiwa privately. Kuhusu Marekani wanayo American Airlines ambayo inamilikiwa na AMR Corporation. Kenya wana Kenya Airways ambayo ilikuwa inamilikiwa na serikali hadi mwaka 1995 ilipobinafsishwa. Kwa sasa inamilikiwa na KLM (26%), Kenyan Government (23%). Percent iliyobakia inamilikiwa na private persons. Unaweza kuwa mmoja ya wamiliki pia b'se shares zinauzwa Nairobi stcok exchange na Dar Stock Exchange.
Mkuu i know what i am speaking
i work on a us government funded intiative and believe me, tukinunua tiketi ambayo haina connection na national carrier, it is a unallowable cost
siwezi kukurupuka kwasbabau we tried to follow this one hata kwa ndege zetu hadi foreign ili tukiwa/na wao wakiwa tanzania wafuate hayo tukashindwa kwani hakuna hiyo kitu
usidhani kila unayemsoma jf ni wikipedia addict, some are suffering through experience... last week i was forced to cancel a ticket dar IAD simply because there was booking related to national carrier
unapohangaika kujibu hoja, usitunge jiandae
JUST FOLLOW THIS LINK
U.S. Department of State | Welcome to Federal Assistance - Grants
THANKS
Well written backed with facts. Big up mkuu!
National flag carrier inasaidia kwa saanaaaaa kuitangaza nchi, whether it's 100% government owned like Ethiopian Airlines ama privately woned like American Airlines....kama ATC wangekuwa ktk hatua waliofikia Ethiopian airlines basi hata kujitangaza kwa Tanzania isingekuwa issue tena. Tusingekuwa tunalalama ooh sijui mlima Kilimanjaro na Serengeti viko Kenya. Aliesema kuhusu Precision to play that role as a national flag carrier naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah....bado wana safari ndefu. Ukitaja Precision Air nobody really even knows if there's ever an airline with such a name, beside, Precision Air doestn't have good aircrafts...bado mnarusha ATR-propeller engine planes!!
Ethiopian Airlines (Amharic: የኢትዮጵያ አየር መንገድ; የኢትዮጵያ[SUP]?[/SUP] in short), formerly Ethiopian Air Lines, often referred to as simply Ethiopian, is an airline headquartered on the grounds of Bole International Airport in Addis Ababa, Ethiopia.[SUP][3][/SUP] It serves as the country's flag carrier.[SUP][3][/SUP] The company is wholly owned by the Government of Ethiopia.[SUP][3][/SUP][SUP][5][/SUP] Its hub is Bole International Airport, from which the airline serves 61 international destinations and 17 domestic.[SUP][3][/SUP] The company flies to more destinations in Africa than any other airline.[SUP][5][/SUP][SUP][6][/SUP] Likewise, it is one of the few Sub-Saharan profitable airlines,[SUP][5][/SUP] as well as one the fastest growing airlines in the industry.[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP] The airline's cargo division has been awarded The African Cargo Airline of the Year in early 2011.[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP][SUP][9]
The airline was featured by The Economist as an example of excellence in late 1987,[SUP][21][/SUP] and economist Paul B. Henze recognized it in 2000 as being "one of the most reliable and profitable airlines in the Third World",[SUP][22][/SUP] In 2007, Ethiopian Airlines provided basic pilot and aviation maintenance training to trainees from African countries including Chad, Djibouti, Madagascar, Rwanda, Sudan and Tanzania. Other training was given to employees of Kenya Airways, Air Zimbabwe, Bellview Airlines, Cape Verde Airlines and Air Madagascar.[SUP][23][/SUP]
Ethiopian Airlines started "Vision 2010" in 2005 which aimed to increase passenger traffic to 3 million, revenue to US$1 billion and employees to 6,000 by the year 2010. In its fiscal year 2007/2008, the airline transported 2.5 million passengers and generated 9.2 billion birr revenue (US$900 million) with a net profit of 507 million birr (US$56 million).[SUP][
Airbus A350-900 - 12 - 30 318 348 Expected EIS: 2017[SUP][42][/SUP] Boeing 737-700 5 - - 16 102 118 Boeing 737-800 5 10 - 16 138 154 Boeing 757-200 3 - - 16 144 160 1 154 170 2 155 171 2 159 175 Boeing 767-300ER 1 - - 24 208 232 1 210 234 2 211 235 2 213 237 3 221 245 1 30 190 220 1 195 225 Boeing 777-200LR 4 1 - 34 287 321 Boeing 787-8 - 10 2 24 246 270 Expected EIS: January 2012 Bombardier Dash 8 Q400 8 - 4 0 78 78 7 64 71 Boeing 747-200F 2 - - N/A Boeing 757-200PCF 2 - - Boeing 777F - 2 - Expected EIS: September/October 2012[SUP][2][/SUP] McDonnell Douglas MD-11F 2 - - Total 47 35 6
[/SUP][/SUP]